Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 11,729
- 36,083
Na umri huu Mjukuu hizo nguvu nazitoa wapi Mimi šUlinyonyoa kweli babu tena kuku wenyewe kishingo
Na umri huu Mjukuu hizo nguvu nazitoa wapi Mimi šUlinyonyoa kweli babu tena kuku wenyewe kishingo
Kwakwel uvumiliv wa kukaa na namba ya mtu niliegombana naye sinaaaa,huwa nafuta hapo hapo na habar inaishia hapo..Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?
Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.
Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Na umri huu Mjukuu hizo nguvu nazitoa wapi Mimi
š¤£ š¤£ š¤£ š¤£ š¤£ Itoshe kusema akiba haiozi!!!Weekend ya jana nmerudia jimbo langu la 2016
Leo asubui nmekuta message anataka Kuja tena ijumaa jioni ataenda kwake jumapili
Huyu alisemaga tusijuane kabisa na akablock number
š¤£š¤£š¤£ š·Jipoze kidogoSasa tumebaki kuwa Ndugu watazamaji š¤Ŗ
Mwendo you wa kula mibamia tu kazi iendelee bwashemWewe babu unazuga humu!! Kuku kishingo alikuja kutoa ushuhuda eti āBabu hajashuka mpira dk 90ā
Ukapiga mpk za nyongeza
Hio cycle Hatari sana kwa afyaa babuu bora kubaki njia kuu tu kwakweli!Tunajaribu kuwatahadharisha Vijana wetu Mjukuu, sisi umri umetutupa Mkono š¤Ŗ
Imagine una ma-ex watatu, na wote bado mnapeana utamu.
Ikitokea mmoja ameungua, si wote mtaunganishwa?
š¤£ š¤£ š¤£ š¤£ š¤£ Kwa wanaume mabwege lakiniHapo kwenye kurudi kwa upole atakuletea drama kwa kujiliza au kukupea sex
Wanawake wana silaha zao kuu 3 wanazotumia kuwatawala wanaume mabwege
1. Kulia/machozi
2. Sex
3. Drama
Hapo ndipo wanaume mabwege hushindwa kuvunja mahusiano na wanawake wasaliti au wasumbufu (toxic relationship)
Uzi umeshiba haswaaaHio cycle Hatari sana kwa afyaa babuu bora kubaki njia kuu tu kwakweli!
Mi Hapana kwakweli! š®š®šEx ni kama tyre used tu ni mahususi kwa spea endapo mambo yatakuwa sio mazuri.
Mimi Mtu tukivunjiana heshima tu anafariki nimezika wa 5Kama usemacho ni sahihi basi utakuwa una roho ya mauti.
Kuna jamaa naye kila Mwanamke atakaye funga naye ndoa baada ya mwaka mmoja lazima afe huyo Mwanamke.
Ameshafiwa na Wake wanne
Juzi nimeona akitafuta Mwanamke mwingine sina hakika kama atapata labda kwa wasiomjua
Hujakutwa na bwana Pepsi bado. Kuna mtu akikuingia vizuri unaweza ukatengana nae ila always yuko akiliniMi Hapana kwakweli! š®š®š
Mwendo you wa kula mibamia tu kazi iendelee bwashem
Labda kama alikua mcheza rafuuu na mentocrazyy kwabedi ndio nikimiss michezo yake naeza mkumbukaš¤ ! Tofauti nahapo mi akwendree tu!Hujakutwa na bwana Pepsi bado. Kuna mtu akikuingia vizuri unaweza ukatengana nae ila always yuko akilini
Ni huyo mimi š¤£ achana na kitu inaitwa good secs mademu wangu wote tuliopeana ki deadly namba zao sifuti š¤£Labda kama alikua mcheza rafuuu na mentocrazyy kwabedi ndio nikimiss michezo yake naeza mkumbukaš¤ ! Tofauti nahapo mi akwendree tu!
Mtu hali nyama ya mbuzi tu madam, lazima ya bata, kuku, ng'ombe na hata Kitimoto š¤£Hio cycle Hatari sana kwa afyaa babuu bora kubaki njia kuu tu kwakweli!
Kwamba ute.lezi wa kushato?Mibamia situmii
Kwamba ute.lezi wa kushato?
Hapana wa vipajii hiohio nyama yako unaibadilisha mapishi buana leo unaichemsha tu kesho unairost keshokutwa unaichoma ivoivo!!Mtu hali nyama ya mbuzi tu madam, lazima ya bata, kuku, ng'ombe na hata Kitimoto š¤£
Yeah kideadly noumaaa nanusuuuu asee lazima mtu akumisoooo!š!Ni huyo mimi š¤£ achana na kitu inaitwa good secs mademu wangu wote tuliopeana ki deadly namba zao sifuti š¤£