Saba saba hiiiiiyo inaanza

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Wakuu najua wengi haswa wakazi wa DSM iwa mnafuatilia kwa makini maenyesho ya saba saba katika viwanja Mwl J.K Nyerere Mtoni..watoto kwa wakubwa ni muda muafaka wakwenda kuenjoy yataanza rasmi kesho.
Jamani aandaeni mikwanja hiyo kwa ajili ya 7 7 ndo hiyo kesho tarehe 1 July watu wanaanza kumiminika kule kuangalia Simba na wanyama wengine. Banda la Maliasiri kila mwaka linaongoza lakini kwa nini Maliasiri inafanya vibaya sana in reality?
 
Watu wamechoka kiuchumi mtu mzima,
Mbaya zaidi kuanzia leo bei za vitu mbalimbali ziko juu mpaka vocha za simu
 
bei ya
Watu wamechoka kiuchumi mtu mzima,
Mbaya zaidi kuanzia leo bei za vitu mbalimbali ziko juu mpaka vocha za simu

Mkuu yaani serikali inatuumiza vibaya mno eti vocha ya buku sasa ni 1100/= dah huyu waziri wa fedha natamani nimtoe roho. Soda wanauza 500 mpaka 600 we acha kwa sisi tunao tumia ze lager safari yangu sasa napigwa 1500/= kabla nilikuwa nalipa 1300/= hizi za juu 200 tunamlipia JK na timu nzima yake mweh! tutakamuliwa mpaka tuhamie nchi jirani.
 
Back
Top Bottom