Saada Mkuya Salum ana elimu yenye utata

Wee Mamuu!

Mbona waleta matusi machafu/ya nguoni kama haya jamani Dadangu!? Daah!

Huyo Mkuu Mipangomingi,mbona amejitahidi mno kuliweka sawa hili suala...kwa kuchangia na kutoa ufafanuzi mzuri tu penye takriban kila bayana!

Au weye hukuliona hilo Dadangu!?

Kumbuka pia,yakua hii ni Public Forum,kila mtu ana haki ya kuchangia bayana yoyote aipendayo au aonayo aieza kuijibu!

Kama una msgs binafsi...ndipo ikawekwa hizo PMs,huko ndo utawasiliana na umtakaye/unaemtamani!

MODS...tafadhalini embu njooni kiduchu kumshughulikia huyu jamaa!

Ahsanta sana.
Umeona alicho kiandika akiwa ananijibu wakati sikumquote yy?
 
Nina shaka na huyu mama itakuwa chakula ya mwenyekiti maana ndiyo zake kugawa vyeo kwa style hiyo. Yaani hii nchi viongozi wanakera kupindukia.
 
......mtu ukiwa mswhili bana ...sisi tunaangalia nchi wewe unasema wivu wa kike...punguza USHAMBA na UTOTO....ongea kama mtu MZIMA na MWELEWA wa mambo....naona umenikimbia kenye ile mada ya dini......Nlichogundua una ujuaji ujuaji na ushabiki lakini Hujui kitu

Mkuu,

Mbona unatumia maneno ya kashfa,kebehi na tashtit kwa ndugu zetu Waswahili/wana Mwambao na Zanzibar na pia Wanawake,ambao wengi wao ni Wazazi wetu na Dada zetu kwenye families...wamekukosea nini!? Daah!

Sasa hapo unajitofautisha vipi na huyo unaejaribu "kumuelimisha"!?

Jana niliona katika mojawapo ya bayana yako,ukidai ati yakua wewe pia ati ni "Muislam",sio!?

Lakini nikaona wakti huo huo...ukishabikia yakua ati Waislam ni "wavivu" wa kusoma,wapuuzi,hawajishughulishi na maendeleo na upuuzi mwangineo mwingi mno!

Sasa sisi tutakutofautisha vipi na yule mgalatia self-confessed alcoholic Nicholas,anaeshinda humu mitandaoni kuendeleza kuwachafua Waislam na uharo wake wa Islamophobia!?....ati kwa niaba ya Chadema Daah!

Hizo terms nilizo-BOLD,jinsi ulivyozitumia hapo kwenye hiyo bayana yako...I mean in a negative portrayal....yaani inaashiria hizo prejudices,stereotypes,sexist attitude na colonial connotations zilokujaa kichwani mwako!

Embu tutajie nawewe Mkoa/Kijiji utokeako,khalaf uone tutakavyonyambua hapa hapa jamvini kama utabaki kitu!?

Jitahidi kuko-control hizo degree za hizo prejudices zako japo kiduchu,Mkuu!!

Khalaf jamaa kama weye ndo kweli unajiita ati msomi na kujaribu kumchafua Mkuu Ritz,sio!?

Ni agh'lab/nadra mno kumkuta Muislam yeyote hapo Tanzania mwenye kujitambua,hata akiwa hana asili ya Mwambao/Pwani na Zanzibar...mathalan,Muislam mwenye asili ya Kamachumu/Muhaya,Muhehe/Iringa na labda wa Machame au Rombo/Kilimanajaro...

....basi hao Waislam takriban woote hawathubutu asilan ati kutumia hilo neno, in a negative way and/or manner,kwa kuwa-describe au kuwa-address ndugu zao wenye asili ya Waswahili/Wana Mwambao...kama hivyo ulivyofanza weye ujiitae ati ndo Dr Mo!

Huo "wivu wa kike" ndo uko vipi!? Hivyo kweli ndo ulivyofundishwa kuwathamini Waanwake kwenye family na society yako,Mkuu!? Au nawe unataka kujifunzxa dasturi mbaya ya kudhalilisha Wanawake kwenye Public Forums!?

Wivu ni wivu tu!...kwani kama kuna "wivu wa kiume",ndo una maana au afadhali ipi kwa huo mtazamo wako dhaifu, Mkuu!? Daah!

Tafadhali shughuli hiyo chafu mwachie Mkuu Pasco aka Nikupateje ndo aendelee nayo!

Maneno machafu ulotumia mara nyingi hutumika kama vile ati ni derogatory term dhidi ya Waislam woote kwa ujumla...na trendy hii ilishamiri mno/very popular kipindi kile "enzi ya Mwalimu"! Daah!!

Hivi sasa hiyo discriminatory term inatumika mno pia kwa wale vinara wa Islamophobia,yaani wafuasi wa Chadema kama vile Nicholas,Nyakageni,Matola,Matumbo,Mzito Kabwela,Mlaleo aka 2013,TEKNOLOJIA,Yericko Nyerere na wapuuzi wangineo wengi tu!

Au na wewe Dr Motema...ni mmojawapo ya wale self-hate Muslims kama Mohammed Mtoi na kikundi chake ndani ya Chadema!? Daah!

Kama ni hivyo itanilazim nikusamehe kama utaendelea kutumia tena hizi discriminatory terms!

Ahsanta.
 
Waziri wetu wa Fedha, Muheshimiwa Saada Mkuya Salumu, Mbunge wa kuteuliwa na Rais alimaliza Elimu ya sekondari mwaka 1993 katika Sekondari ya Hamamni' na akamalizia elimu ya kidato cha sita mwaka 1995. Wale mnaofahamu mfumo wa elimu hasa mfumo wa elimu wakati ule utagundua kuwa muheshimiwa mwaka 1995 alitakiwa ndio awe anatoka kidato cha tano kwenda cha sita kwani mtihani wa kidato cha nne ulikuw uifanyika Novemba, majibu machi au aprili kujiunga kidato cha tano July 1994, kuingia kidato cha sita July 1995, kumaliza kidato cha sita May 1996. Sasa huyu wazir wetu alisoma kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja pale Lumumba? Taarifa zake zapatikana website ya Bunge. Anayemfahamu uzuri atujuze
domokaya.

Jilizishe na haya majibu chini kutoka kwa mwana JF mwenzetu.
Mkuu tataizo la kutojua kusoma na kuandika limehamia JF kutoka shule za Kata. Hakuna utata wowote wa miaka katika elimu yake ya msingi na sekondari nilishamuelewesha mtoa mada lakini kwa makusudi hataki. Hakuna popote palipoandikwa kwamba amemaliza form 4 mwaka 1993, ni mleta mada tu ameamua kutunga, CV hiyohiyo aliyoweka mtoa mada nenda kaipitie hapo juu utaona kwamba hakumaliza mwaka 1993. Ukweli ni kwamba Saada alimaliza form 4 mwaka 1992, then mwaka 1993 akajiunga na form V na kumaliza mwaka 1995 (Na hivyo ndivyo CV aliyoiweka mtoa mada inavyoonyesha), hivyo alisoma A Level miaka 2, na O level miaka 4, na Primary miaka 8, kwani muundo wa Zanzibar msingi ni darasa la kwanza hadi la 8, na elimu ya lazima ni darasa la 10 (Form two)

Last edited by a moderator:
Umeona alicho kiandika akiwa ananijibu wakati sikumquote yy?

Basi tuyamalizeni,jamani!

Haileti nakshi njema,kurembeana yaso mana asilan!

Akuleteaye matusi mrejeze kwa hoja...mwishoe atatokomea!

Nakhis labda ulipatwa na ghadhab/kero kiduchu...haina neno,ndo dasturi ya minakasha ya aina hii!

Jaribu kutuama na kujiburudisha japo kiduchu kwa kile ukipendacho,hapo ulipo!

Shukran kwa kunisikiza na tusemezane jamani!

Ahsanta.
 
Mkuu,

Mbona unatumia maneno ya kashfa,kebehi na tashtit kwa ndugu zetu Waswahili/wana Mwambao na Zanzibar na pia Wanawake,ambao wengi wao ni Wazazi wetu na Dada zetu kwenye families...wamekukosea nini!? Daah!

Sasa hapo unajitofautisha vipi na huyo unaejaribu "kumuelimisha"!?

Jana niliona katika mojawapo ya bayana yako,ukidai ati yakua wewe pia ati ni "Muislam",sio!?

Lakini nikaona wakti huo huo...ukishabikia yakua ati Waislam ni "wavivu" wa kusoma,wapuuzi,hawajishughulishi na maendeleo na upuuzi mwangineo mwingi mno!

Sasa sisi tutakutofautisha vipi na yule mgalatia self-confessed alcoholic Nicholas,anaeshinda humu mitandaoni kuendeleza kuwachafua Waislam na uharo wake wa Islamophobia!?....ati kwa niaba ya Chadema Daah!

Hizo terms nilizo-BOLD,jinsi ulivyozitumia hapo kwenye hiyo bayana yako...I mean in a negative portrayal....yaani inaashiria hizo prejudices,stereotypes,sexist attitude na colonial connotations zilokujaa kichwani mwako!

Embu tutajie nawewe Mkoa/Kijiji utokeako,khalaf uone tutakavyonyambua hapa hapa jamvini kama utabaki kitu!?

Jitahidi kuko-control hizo degree za hizo prejudices zako japo kiduchu,Mkuu!!

Khalaf jamaa kama weye ndo kweli unajiita ati msomi na kujaribu kumchafua Mkuu Ritz,sio!?

Ni agh'lab/nadra mno kumkuta Muislam yeyote hapo Tanzania mwenye kujitambua,hata akiwa hana asili ya Mwambao/Pwani na Zanzibar...mathalan,Muislam mwenye asili ya Kamachumu/Muhaya,Muhehe/Iringa na labda wa Machame au Rombo/Kilimanajaro...

....basi hao Waislam takriban woote hawathubutu asilanati kutumia hilo neno, in a negative way and/or manner,kwa kuwa-describe au kuwa-address ndugu zao wenye asili ya Waswahili/Wana Mwambao...kama hivyo ulivyofanza weye ujiitae ati ndo Dr Mo!

Huo "wivu wa kike" ndo uko vipi!? Hivyo kweli ndo ulivyofundishwa kuwathamini Waanwake kwenye family na society yako,Mkuu!? Au nawe unataka kujifunzxa dasturi mbaya ya kudhalilisha Wanawake kwenye Public Forums!?

Wivu ni wivu tu!...kwani kama kuna "wivu wa kiume",ndo una maana au afadhali ipi kwa huo mtazamo wako dhaifu, Mkuu!? Daah!

Tafadhali shughuli hiyo chafu mwachie Mkuu Pasco aka Nikupateje ndo aendelee nayo!

Maneno machafu ulotumia mara nyingi hutumika kama vile ati ni derogatory term dhidi ya Waislam woote kwa ujumla...na trendy hii ilishamiri mno/very popular kipindi kile "enzi ya Mwalimu"! Daah!!

Hivi sasa hiyo discimanatory term inatumika mno pia kwa wale vinara wa Islamophobia,yaani wafuasi wa Chadema kama vile Nicholas,Nyakageni,Matola,Matumbo,Mzito Kabwela,Mlaleo aka 2013,TEKNOLOJIA,Yericko Nyerere na wapuuzi wangineo wengi tu!

Au na wewe Dr Motema...ni mmojawapo ya wale self-hate Muslims kama Mohammed Mtoi na kikundi chake ndani ya Chadema!? Daah!

Kama ni hivyo itanilazim nikusamehe kama utaendelea kutumia tena hizi discriminatory terms!

Ahsanta.
Mkuu gombesugu.

Unajua miafrika inayojifanya mizungu uwa inakuwa mibaya kuzidi wazungu wenyewe sasa huyu kauzu eti anawaponda waswahili, ebu msome hapa chini kiduchu.
Hii nchi tu wajinga sana....waziri wa fedha tuna mpa mtu mwenye elimu ya kuunga unga....eti amesoma chuo kikuu huria....ulishaona mwanafunzi wa chuo kikuu huria ana kaa chini ana soma....alafu mi MITOTO ya CCM inamtetea ujinga mtupu
Cha kushangaza Mwenyekiti wake Mbowe kutoka Chadema ni DJ kaishia kadato cha nne ndiyo wanamtegemea kuwa Waziri Mkuu eti Chadema wakichukuwa dola, sasa hapa sijui nani mjinga, msome tena hapa chini anajinasibisha na Waislam nakuanza kejeli na dhihaka.
....haya ndo maneno ambayo tunaambiana na unafki wetu.....sisi waislamu ukichunguza kwa makini ...ni wawivu, tunapenda mambo rahisi, tuna ushabiki, tuna famila ambazo zinafanya dhambi za kufuru kwenye jamii...(angalia majina ya wasanii wa bongo fleva na bongo movie) , waislamu sisi ni kulalamika tu....mimi nimesoma na nlikua nakaua kweli na jina langu ni la kiislamu haswa sijawahi kufelishwa wala kufeli..................tuache UNAFKI tuache visingizio.....tubadilike
Mkuu wangu gombesugu nadhani umemsoma huyu kauzu hizi kauli zake, msome hapa chini eti anajifanya mzungu miafrika bana.
......mtu ukiwa mswhili bana ...sisi tunaangalia nchi wewe unasema wivu wa kike...punguza USHAMBA na UTOTO....ongea kama mtu MZIMA na MWELEWA wa mambo....naona umenikimbia kenye ile mada ya dini......Nlichogundua una ujuaji ujuaji na ushabiki lakini Hujui kitu
 
Mkuu gombesugu.

Unajua miafrika inayojifanya mizungu uwa inakuwa mibaya kuzidi wazungu wenyewe sasa huyu kauzu eti anawaponda waswahili, ebu msome hapa chini kiduchu.

Cha kushangaza Mwenyekiti wake Mbowe kutoka Chadema ni DJ kaishia kadato cha nne ndiyo wanamtegemea kuwa Waziri Mkuu eti Chadema wakichukuwa dola, sasa hapa sijui nani mjinga, msome tena hapa chini anajinasibisha na Waislam nakuanza kejeli na dhihaka.

Mkuu wangu gombesugu nadhani umemsoma huyu kauzu hizi kauli zake, msome hapa chini eti anajifanya mzungu miafrika bana.

Mkuu Ritz,

Shukran! Nimekusoma kwa utuvu mno.

Khalaf ndo huyu Dokta Motema aka Dr Mo ati najifanza yeye "Muislam"! Duuh!

Huyo jamaa kweli ni mahoka na hoja zake zoote ni chovu kama fikra zake!

Ahsanta.
 
baada ya kuvuliwa madaraka zito waziri kivuli wa fedha ni nani?

Mkuu,

Bakora kama hizi utumiazo weye wale misukule hawazipendi asilan! Teeh! Teeh! Teeh!

Tafadhali kimuona Mkuu lusungo,mwambie ile post yake ya jana usiku kuhusu Antibalaka!...yaani nalicheka pasi kiasi! Daah! Teeeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
chadema tunawajua mnavyowachukia waislamu...wewe tunakujua umetumwa na chadema kuwatukana waislamu.chadema kura za waislamu mtazisikia bombani tu.....

Acha udini wewe..dini ni kitu ambacho siwezi mbagua nacho mtu maana ni upumbavu mtupu...unafahamu dini ya kweli ni ipi? Unafahamu mungu ni wadini gani? Mungu hana dini...ndo maana mi namwamini mungu ila si dini yoyote. Dini za wazungu na waarabu..upopo mtupu
 
Rais Kikwete na uteuzi wa Saada Mkuya ni mpango wa Mungu kuwafumbua Watanzania UMHIMU wa kuwa na mawaziri kwanza ambao sio wabunge, na pili mawaziri ambao wamefanyiwa vetting na independet body. Mungu ana njia zake nyingi za kuonesha mambo yake.

Yes we need mawaziri wasio wabunge...
 
Basi tuyamalizeni,jamani!

Haileti nakshi njema,kurembeana yaso mana asilan!

Akuleteaye matusi mrejeze kwa hoja...mwishoe atatokomea!

Nakhis labda ulipatwa na ghadhab/kero kiduchu...haina neno,ndo dasturi ya minakasha ya aina hii!

Jaribu kutuama na kujiburudisha japo kiduchu kwa kile ukipendacho,hapo ulipo!

Shukran kwa kunisikiza na tusemezane jamani!

Ahsanta.

Shukrani. Nimekuelewa
 
Uzi ukishavamiwa na viwavi GombeSugu, Ritz na wadini wengine basi ujue mada hugeuka na kuwa mhadhara wa kidini
 
Ndugu Tanzania hakuna kisichowezekana mambo ya ki-CCM yanaenda ki-CCM tu., Tanzania ni hela tu hakuna kisichowezekana mda wowote time yeyote., ww kama umefika form 4 na unataka uwe na certificate ya University chakarika tu inawezekana
 
Kelele za mlango hazimuudhi mwenye nyumba,nyie pigeni kelele weeeee!!!!! mwenzenu anakula Nchi,Nyumba nzuri,gari na maposho yasiokwisha,Domo Kaya lete thread zinye akili sio hii.
 
Uzi ukishavamiwa na viwavi GombeSugu, Ritz na wadini wengine basi ujue mada hugeuka na kuwa mhadhara wa kidini

Dadangu Hilipendo,nafurahi kwa kuniruzuku hiyo compliment ya "Udini"! Najisikia faghari mno!

Lakini kuhusu hiyo mihadhara ya kidini hapo umekosea kiduchu...yaani tangia nimekuwamo humu duniani sijawahi kuhudhuria wala kuhubiri kwayo,asilan!

Hiyo ilikua ndo shughuli ya yule Mwanakijiji...yaani Mwana-Chadema mwenzio,pale viwanja vya Jangwani/D'salaam,dhidi ya Watanzania wenzie/Waislam,tena kwa takriban myaka mitano mfufulizo...na alikua ndo Kinara/Nguli,na ati akiwashinda kwa "hoja nzito" mno hao Waislam mara kwa mara!? Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Need I say more!?...

Ahsanta.
 
Back
Top Bottom