Saa 48 za Pasco zimeisha tunatoa saa 24 za nyongeza

Huyu kijana nawashauri tumpuuze kabisa amekua kama msemaji wa serikali na kuleta assumptions ambazo hazitekelezeki,ukomavu wenu maDr unafaa kuigwa sana kwani mlijipanga sana wakuu,all the best
 
ndugu madaktari ili munalopipanga linanitia shaka,nimesikia hata watakaorudi kazini wameahidi kufanya kazi kwa uzembe wa hali ya juu,kwa ili mnaamua kutuua sie maskini,sawa kulazimishwa si suluhu ila bora muendelee kugoma kuliko mgomo baridi!
 
Who is Pasco??

Ni boya fulani hivi anayependa sana umaarufu usio rasmi hasa anapochangia anataka watu wampe usikivu na kuchangia mada zake hata kama ni za kipuuzi hasa zile ambazo analipwa na Lowassa lazima ajitokeza na kama unataka kumjua vizuri ki uhalisi anzisha Thread inayomhusu au kumgusa Lowassa na suala la ufisadi lazima ataibuka popote hata kama yuko chooni atakatisha ili aje kuchangia mada na kumtetea bosi wake.

Kifupi ni kwamba ana mambo mengi ya kipuudhi tofauti na siku za nyuma nilifikiri ni mtu makini lakini kumbe ni kama ritz,malaria sugu,tropical,kishongo,Faiza Foxy na wengine ambao wako kwenye payroll ya kuchafua hali ya hewa kwenye thread za maana zenye masilahi ya wengi.
 
Back
Top Bottom