Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 505
- 583
Tunatengeneza 'kizazi cha Wasafiri' badala ya wasomi. Matokeo yake yataonekana miongo miwili au mitatu ijayo.Imekaaje hii
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA