Mkuu hapa anatakiwa kujibu Membe au Sitta?, anyway nimeona kuna thread humu ndani inasema PK atafunguka leo jioni, ngoja tuone kama atamjibu mkuu mwenzake, sidhani kwa hatua ya sasa Membe au Sitta anatakiwa kusema jambo
Kazi za waziri wa eac sitta ni nini????? Vikao vinafanyika ata kutoa taarifa; toa msimamo wa serikali anakaa kimya; sioni kwa akili yangu anamkomoa jakaya kikwete ila anakomoa watanzania. Rwanda waziri na anajibu kwa niaba ya rais kp