Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser

Run as fast as you can MwanaCHADEMA mwenzangu.Kweli sasa nimeamini kuwa ukishajiweka upande wa maCCM katika jambo lolote lile uwezo wako wa kufikiri la zima ushuke tu.Nashangaa unamshangaa yule Mama wa Rwanda kuwa Waziri Mambo ya Nje,Je JK wakati huo akiwa katika Wizara hiyo alisomea nini?

Duh kwani JK aliweza sana?Si ndiyo maana tunataka kuwaondoa mkuu?
 
Kweli nyani haoni kundule, unatilia shaka uwezo wa kidiplomasia wa huyo mama huku wa Membe unauona perfect...
Kumbe Membe na mtangulizi wake Kikwete walisoma International relations kama Hillary Clinton na John Kerry, ha ha haaa, good good Jembe la Chadema

Membe alisomea International Relations.JK hakusomea na ali-mess.Taaluma za watu ziheshimiwe.Leave US out maana wana policy ya mambo ya nje ambayo ni clear na ni pilot.Makamu wa Rais ni bingwa wa sera za mambo ya nje na anabeba majukumu mazito.Tusijichanganye!
 
Kobello

Nilikuwa nafuatilia thread hii kama guest. Niliposoma maoni yako uzalendo ukanitoka nikasign haraka ili nikupongeze. You spoke my mind. You fit replace Membe in order to sharpen our edge on international matters. We have lost quite a lot over the last 16 years.

I do not think that what you said is strictly classified to Tanzanians! Why our "government in the absence of government" is not coming up so strongly to tell this truth?

Inasikitisha sana kuona baadhi ya watanzania wamefikia kumwona Kagame kama role model wao na hata kumwona ndiye mrithi halali wa fikra za Kambarage. Ama kweli la Kuvunda halina ubani.

Signing out
Baija
==========



1.We supported Kabila senior since the 60s, after the assasination of Patrice Lumumba. The aim was to establish a Socialist and democratic Congo, with the help of Che Guavara and Cuban Special forces, it didn't work because of the lack of committment from Kabila Troops coupled with CIA and other mercenaries supporting Mobutu. We were involved in the march to Kinshasa and subsequent training of Congo forces for a short period, before Kabila, walked out of the power sharing meeting held at Dar es salaam Sheraton Hotel. We somehow disowned him and RPF took over the military operations under Kabila.

2.Labda ungetuambia, kuhusu Mtikila, ila Ngara,BIHARAMULO na Geita zimekuwa over saturated na illegal immigrants. Siyo Mtikila peke yake hata wakazi wengi wa wilaya hizo wamekuwa wakilalamika .. crimes, land disputes, corruption etc. Something has to be done, dont you think?

3. Kwa watanzania, ni rahisi sana kumjua mhamiaji. Kwa mfano wewe ni mhamiaji, siyo mtanzania. We can easily spot them, ukiwa mtulivu poa, ukileta chokochoko huwa tunakuwa na roho mbaya sana, naomba mungu aepushie mbali.

4. Kuhusu mgogoro, we USED TO love and admire Kagame as a no nonsense president, he curbed corruption and helped change Rwanda a lot, we wanted a president like him. We used to (just few months ago) think that he's just like one of our own, we harbored RPF fighters. Kagame speaks good swahili na hata kwata za RPF zinapigwa kiswahili, wewe unadhani kuna kwata ya kitusi kwenye trainings za M23?, RPF?, NRA? .... HATA MAHI MAHI NA iNTERAHAMWE KWATA ZAO siyo za kiswahili.
Tunajua kuwa tumewatrain RPF, directly or indirectly, tumewakalisha na Habraymana na tumewafavor RPF from day one. Museveni is our own too, JWTZ, RPF na NRA NI brothers at arms kama walivyo FRELIMO na MPLA na SWAPO au hata ZANU fighters.... why would we want anything bad to happen to Rwandese??

AMEHARIBU NA AMEPOTEZA Heshima iliyokua mioyoni mwa watanzania, Tanzania is the most patriotic, the most Pan Africanist and above all those, the most blessed geographically and tactically to smash any surrounding "Districts" that dare disrespect, cause harm and/or move an inch of our borders ..... what makes it dangerous is, we know that and we grew up knowing that.

YOU GUYS NEED TO REALLY CHECK YOURSELVES, TALK TO YOUR COUNTRYMEN ....
 
Huyu na rais wake wote wapumbavu tu.

Fatou Mbesuda sijui anasubiri nini? Angekuwa rafiki yangu Moreno Ocampo ungesikia siku nyiiingi yupo mitaa ya maziwa makuu kuctafuta ushahidi wa kuwafikisha mbele ya ICC akina Kagame na M23 kwa sababu ya madhira wanayowasababishia wacongoman wa Goma na Uvira.
 
mnaomtetea kikwete akili zenu ni kama za kikwete mwenyewe.. you all FDLR sympathisers..!!

Tatizo lililopo ni kwamba PK ataendelea kuua mpaka lini!? Kaeni muongee muyamalize. Mnajenga nyumba moja kwa nini mnyang'wanyane fito?
 
mnaomtetea kikwete akili zenu ni kama za kikwete mwenyewe.. you all FDLR sympathisers..!!

Duh tunaambiwa mpo wengi hapa nchini na hata humu JF. Baada ya ndugu yenu kuharibu kwa kutoa maneno machafu kwa JK sasa mmeingia JF ili kupigana vita ya kimtandao. Mmetukosa!! Mlidhani tofauti zetu za kisiasa zitakuwa za kitaifa; hakuna kitu hapo watanzania wote linapokuja suala la kitaifa tunaacha CUF, CCM, CHADEMA, TLP na tunakuwa WATANZANIA. Nyie endeleeni tu kuwaita wenzenu wauaji ilihali nanyi wakati mnaingia Kigali mlikuwa na damu imejaa viganjani mwenu mkianzia na damu ya Fred Gisa Rwigyema.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Membe alisomea International Relations.JK hakusomea na ali-mess.Taaluma za watu ziheshimiwe.Leave US out maana wana policy ya mambo ya nje ambayo ni clear na ni pilot.Makamu wa Rais ni bingwa wa sera za mambo ya nje na anabeba majukumu mazito.Tusijichanganye!

Ben bhana!first degree ya Benard Membe unaijuwa?ni B.A General,sijui ndo nini,MA ndo kadokoa IR
"Vox populi,Vox dei"
 
Nenda mbele rudi nyuma, tetesi tu wameajiriwa wangapi na kwenye sehemu nyeti nchini. Diplomacy kwa wote- africa ni yetu. Tuifanye iwe salama wote.
 
Ni muda muafaka sasa tanzania kuweka uzalendo kwanza,hivi hawa watu wanaojiita waangazi ni kwanini tusiwatumie watusi wote wanaojifanya ni watanzania
 
Huyu kagame si alikuwa msituni na anahusika na mauaji ya hao wanyarwanda kama inavosemekana?
since aliingia kwa damu madarakani kiburi chake hakiwezi kwisha.
ajiangalie sana kwani Ghadafi was like him, yuko wapi sasa?
how can u be a good president if yu dont side with your enemies?
sawa kabisa alichowafanyia wenzake ndiyo kinachomtesa ,ana usiri ambao wenzao wanataka kuumaliza yeye bado anauficha
 
Watu tunapenda vita! Hata baada ya hotuba ya Rais bado tunajadili mapigano?!
Vita ni vita hata ukishinda utakuwa umepoteza nguvu nyingi sana. Labda kwa watoto waliozaliwa baada ya vita ya kumuondoa Iddi Amini ndo hawajui gharama tuliyoipata. Lakini watakuwa wanajua hata waliopaka ulemavu wa maisha.
Nimesoma Guardian ya leo na kuona ukomavu wa Editor kwa suala hili.
Someni mambo mengi vinginevyo tutakuwa tunarudia haya haya.
Anjo
 
Sidhani Kama kagame ana kiburi cha kupiga Tanzania lakini huyu jamaa na historia yake ya mauaji anatishia amani za mtu mmoja mmoja especially viongozi wetu ndo maana alisema mi nitasubiri nitakupiga hakusema atapiga nchi hiki kimama hakifai hata kujadiliwa na great thinkers pumbaf Kabisa
 
Huyu dada yake Londe Ndasingwa aache kutumia emotions. Huyu Mama aliwekwa katika hiyo position na Kagame kwa makusudi ili mtumie kwenye rhetorics za genocide kwa kuwa kaka yake Londe aliuawa mwaka 1994 akiwa mtutsi pekee kwenye baraza la mawaziri la Habryiamana. Alitekwa na kuuawa yeye na mke wake raia wa Canada.

Sasa Kagame alijua Louise atakua bitter katika rhetorics za Genocide ndiyo maana akamteua badala ya kuteua wanadiplomasia wengine. Huyu mama kitaaluma kasomea public relations kwa hiyo intellectual pedigree yake inaweza kuwa questioned kwenye masuala ya kimataifa kwa kuwa anaweza kuwa na upungufu wa maarifa katika fani hiyo

Hajui waliommaliza kaka yake ndiyo waliomzunguka?

watanzania bwana eti elimu yake siyo chenge si msomi acha zako ni charisma ndiyo I smarter. Kuna waziri wa uchumi na fedha katika nchifulani ndogo katika umoja wa ulaya ana degree ya uvuvi marine and fishing lakini uchumi wa nchi hiyo umetulia na unastwai and. Stable yakwetu hapa maprofessor halat bwenyenye
 
Back
Top Bottom