Rwandan bid for Kagame third term undermines democracy: EU

Sawa bruh! nadhani nazenyewe ni propaganda za UN Habitat ndio maana hutaki kusikia
Ni recognition tu, kuwa mji wa Kigali una harmony now (bearing in mind, we are talking about barbarians here). So, that shouldn't be confused with the cleanest city in Africa.
There's no place in that document mentioning that.
 
hiyo yote ni kwa ajiri ya maendeleo sio fashion, shida yetu ni maendeleo na kuridhika nayo, haijarishi anatuongoza nani kwa muda gani, sisi wasukuma tumeongozwa na mtemi kwa miongo kibao, wahehe walitawaliwa na ukoo wa mkwawa kwa miongo mingi sana, usifikiri waingereza hawana akili kuongozwa na ukoo mmoja bali wana akili na wameridhika na utawala

Ndio maana nimesema kuwa pengine si vibaya kumfanya Kagame awe MFALME - maisha.
 
Back
Top Bottom