Rwandair kuongeza ndege mbili (2) brand new CRJ 900 kutoka kiwandani

Rwanda wanafanya vizuri sana, lakini ukilitazama suala la maendeleo kwa muda wa kati na muda mrefu, Tanzania iko juu sana
 
Mhh, kumbe picha zipo nyingi........

JK.jpg


2763766_017990ba91_m.jpeg
 
Hivi ule mpango uliokuwa unapigiwa debe na baadhi ya Mawaziri na Wabunge wa kununua ndege... zilizotumika umefika wapi????
Ikiwa kampuni kama Prosicion Air inaweza kununua ndege mpya, iweje Tanzania (nchi) ishindwe????.
Masirika ua umma hayatoweza kusimama imara ikiwa kama wafanya maamuzi na watekelezaji wamewekeza kwenye mashirika binafsi (biashara zao), lazima kuwe na mikakati madhubuti ya kudhoofisha mashirika shindani ya umma ili kuongeza wateja na faida.
 
aaah mkuu Joseph sasa hayo majaribu nchi gani itaendelea bila mikopo bwana!
Tmezoea kuishi kwa mikopo na kuombaomba huku kila siku wananchi wanalipa kodi na huduma za msingi za jamii nzima zinakosekana.
Rais wetu kila wakati anaomba hela za miradi kwa wahisani huku tuna kila rasilimali za kuweza kufanya miradi mikubwa ya kuinufaisha nchi na kutotegemea wahisani,ukiona nchi inaendeshwa kwa kukopa ujue maendeleo ni ndoto.
 
Back
Top Bottom