Rwanda photo scandal Minister resigns

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Rwanda's youth and sports minister, Joseph Habineza, has resigned following allegations of improper behaviour. The announcement came after photos began circulating on the internet showing Mr Habineza in intimate poses with several women.

Mr Habineza told Rwanda's The New Times newspaper that he had resigned for personal reasons. "But when you see people publishing pictures and all that, it is not good for your image as a minister," he said.

The photos, which Mr Habineza says were taken in 2008, were published on Sunday on an opposition website called Le Prophete. Most of the 11 photos show the minister dancing or cuddling with one woman in particular in a well-furnished room.

The person who posted them said he was a university student and wanted to show how the government was spending lavishly. The BBC's Geoffrey Mutagoma in the capital, Kigali, says the affair has become the talk of the town. He says it is the first time a minister has tendered his resignation in such circumstances.

minisitre-habineza-joseph-ushinzwe-umuco-yabaye-uwo-kurarura-abana-b-abanyarwanda.jpg

ndebera-uko-inkumi-zamugaritse-zikamufata-ubwanwa-abaminisisitiri-b-iyi-ngoma-ntibasanzwe-pe.jpg

nyamara-uyu-mugabo-ngo-afite-urugo-ra.jpg

reba-amacupa-y-inzoga-bamaze-kwirenza.jpg

dore-uwo-munezero-ndagaca-namwe-mumbwire-nk-uyu-koko-ari-fiyanse-wawe-umutima-ntiwaguhagararana.jpg

naragendesheje-byararangiye.jpg

abakobwa-bose-b-igihugu-ni-abe-nta-kundi.jpg

iyi-narayibonye-mperako-nkurayo-amaso.jpg

yego-ga-minisisiriri-w-umuco-abaminisitiri-baragwira.jpg

minisitiri-w-umuco-oye-oye-harakabaho-leta-ya-paul-kagame.jpg

SOURCE: Rwanda photo scandal Minister resigns | Nehanda Radio
 
Bongo hawawezi kujiuzuru, jambo hilo linaonekana la kawaida sana! Mbona tunao waheshimiwa wengi tuu na wengine wamezichapa na wanamziki, lakini hawakujiuzuru
 
KWA RWANDA NI KASHFA MTU KUJIUZULU LAKINI BONGO INGEKUA
NI USHUJAA KIONGOZI KUPANDISHWA ZAIDI CHEO NA KUKEJELI
WENYE KUOTA KUJIUZULU KWAKE

Kwa hili ni sawa na kusema Mabinti Delila Wamemwangusha puu chini kule Mbabe Samsoni wa kwenye serikali ya Mhe Paul Kagame.

Lakini ingalikua ni hapa nyumbani nadhani kila mmoja jibu mnalo: tungeambiwa SI SERA YA CCM KUINGILIA JINSI GANI KILA WAZIRI WAKE ANAVYOENDESHA MAISHA YAKE BINAFSI HUKO MITAAANI. Kwa lugha nyingine, CCM inaendekeza kawaida ya viongozi wao kuweka VIDUMU kila mtaa na hata kubeba vingine kila wanapoenda bungeni dodoma au kutangulizwa safarini ziara za ughaibuni unapoibuka.

Na kwa mtindo huo, tutaweka kila aina ya matangazo magazetini, redioni na hata kwenye televisheni na bado wala MDUDU HUYU UKIMWI hautotupa tulia nchini na momonyoko wa maadili kugeuka kuwa ndio ujanja kwa watu wanaojaribu kuwaiga viongozi wao ili nao wasiachwe sana nyuma kimaendeleo - na kwa mtaji huo UKIMWI lazima kuendelea kupaa nchini.

Bahati nzuri tu ni kwamba Viongozi wetu Tanzania hata siku moja hawajawahi kufa na UKIMWI isipokua tu hivi vi-shinikizo la damu, mafua ya kuku, chunusi na hata hivi vimekanda midogo midogo ya jeshi na kiharusi, basi!!!
 
Bongo hawawezi kujiuzuru, jambo hilo linaonekana la kawaida sana! Mbona tunao waheshimiwa wengi tuu na wengine wamezichapa na wanamziki, lakini hawakujiuzuru

Kujiuzuru au kujiuzulu?
 
Rwanda's youth and sports minister, Joseph Habineza, has resigned following allegations of improper behaviour. The announcement came after photos began circulating on the internet showing Mr Habineza in intimate poses with several women.

Mr Habineza told Rwanda's The New Times newspaper that he had resigned for personal reasons. "But when you see people publishing pictures and all that, it is not good for your image as a minister," he said.

The photos, which Mr Habineza says were taken in 2008, were published on Sunday on an opposition website called Le Prophete. Most of the 11 photos show the minister dancing or cuddling with one woman in particular in a well-furnished room.

The person who posted them said he was a university student and wanted to show how the government was spending lavishly. The BBC's Geoffrey Mutagoma in the capital, Kigali, says the affair has become the talk of the town. He says it is the first time a minister has tendered his resignation in such circumstances.

minisitre-habineza-joseph-ushinzwe-umuco-yabaye-uwo-kurarura-abana-b-abanyarwanda.jpg

ndebera-uko-inkumi-zamugaritse-zikamufata-ubwanwa-abaminisisitiri-b-iyi-ngoma-ntibasanzwe-pe.jpg

nyamara-uyu-mugabo-ngo-afite-urugo-ra.jpg

reba-amacupa-y-inzoga-bamaze-kwirenza.jpg

dore-uwo-munezero-ndagaca-namwe-mumbwire-nk-uyu-koko-ari-fiyanse-wawe-umutima-ntiwaguhagararana.jpg

naragendesheje-byararangiye.jpg

abakobwa-bose-b-igihugu-ni-abe-nta-kundi.jpg

iyi-narayibonye-mperako-nkurayo-amaso.jpg

yego-ga-minisisiriri-w-umuco-abaminisitiri-baragwira.jpg

minisitiri-w-umuco-oye-oye-harakabaho-leta-ya-paul-kagame.jpg

SOURCE: Rwanda photo scandal Minister resigns | Nehanda Radio
kwa nini ka resign? mimi sioni tatizo na hizi picha kabisa !!!!!!! ok wait
compare these pics na milipuko ya mabomu
then coclude who was supposed to resign
 
Mkuu kuna tatizo kubwa hapo. Kuna kitu kinaitwa miiko ya maadili. Hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaendeshwa bila kuwa na miiko. Kupewa kazi ya nchi ni lazima ujieshimu. Wenzetu wanatilia mkazo miiko ya maadili. Msikilize Mwalimu Nyerere kwenye hiyo video hapo chini anaelezea kiundani suala hili. Anzia kwenye dakika ya 7.50.

Last edited by a moderator:
hizi picha zilipigwa wakati ameshakuwa waziri au kabla...na kama ilikuwa kabla je aliwaambia jamaa wakati wanamfanyia vetting?
 
hivi hakuna mapicha ya design hii pale magogoni muyafurumushe humu
 
Ili serikali yote isionekane kuwa chafu jamaa kaamua ajitoe. That is a very good sign of responsible leadership. Ingekuwa hapa tz tungesikia ...ni masuala binafsi!!
 
Mkuu kuna tatizo kubwa hapo. Kuna kitu kinaitwa miiko ya maadili. Hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaendeshwa bila kuwa na miiko. Kupewa kazi ya nchi ni lazima ujieshimu. Wenzetu wanatilia mkazo miiko ya maadili. Msikilize Mwalimu Nyerere kwenye hiyo video hapo chini anaelezea kiundani suala hili. Anzia kwenye dakika ya 7.50.

Moderator naomba mwongozo nini kinapaswa kifanyike wakati mwana JF anapolidanganya bunge lako tukufu la JF. Ndugu yangu EMT naomba ufute kauli yako kwamba hakuna serikali duniani inayoendeshwa bila kuwa na miiko. This is completely untrue mkuu, zipo serikali kadhaa zinaendeshwa bila miiko, Tanzania ni one of them na niko na ample examples za kujustfy hilo.
 
Last edited by a moderator:
Huo ndio uwajibikaji wa viongozi wanaoheshimu wananchi wao sio kwetu
 
Moderator naomba mwongozo nini kinapaswa kifanyike wakati mwana JF anapolidanganya bunge lako tukufu la JF. Ndugu yangu EMT naomba ufute kauli yako kwamba hakuna serikali duniani inayoendeshwa bila kuwa na miiko. This is completely untrue mkuu, zipo serikali kadhaa zinaendeshwa bila miiko, Tanzania ni one of them na niko na ample examples za kujustfy hilo.

Miiko ipo tatizo haifuatwi si kwamba haipo.
 
Mallaba, kuna mtu kakufagilia hapa please uwe mwangalifu usijeukaporomoka. So ikiwepo na isifuatwe tofauti yake na kutokuwepo ni nini? By the way tunachozungumzia hapa ni uendeshaji wa serikali pasipokufuata miiko meaning kwenye utendaji wa serikali huoni miiko ikiapply whether ipo kwenye makaratasi au la it doesnt matter lakini kwenye utendaji hatuionekani. Na hii ndio case ya Tanzania na nchi nyingine chache zinazoongozwa na majuha.
 
Jamaa kaumbuliwa na mtandao kama JF huko Rwanda.
Tungekuwa na utamaduni huu hapa TZ nadhani cabinet yote asingesalimika mtu
 
Hapo ingekuwa kwetu Tz JK angemuongeza cheo kwa kujua kutumia pesa za walipa kodi vizuri tena kwa starehe kama hizi.
 
Back
Top Bottom