Rwanda, mazingira ya kazi mazuri, mshahara mzuri na.........? Karibuni wana JF!

warwanda wanakimbilia tz,,uganda na europe nyie ukimbizi wenu mnaenda rwanda tena sie yetu macho,bada ya muda mtaomba kurudi maana huko hakutabiriki
 
WAFANYA JOB GANI HAPO NCHINI...na una elimu kiasi gani koz nataka more information ili nijue kama naweza kuwa na cv ya kupata kazi hapo...thanks much kwa gud newzzz
 
wanataka Chabala aka Katerero na wanaamini kuwa wanaume wa kinyarwanda pekee ndio wanaojua mchezo huo...

Mmeanza kwa kupeana mchongo fresh, mmerukia kwenye libeneke. Huko mmeng'ang'ania utafikiri ndo first priority ya kitakacho wapeleka Rwanda. rudini kwenye main agenda ili tuanze mikakati ya kukimbia nchi ya CCM ving'ang'anizi!
 
Hizi sura na kazi vinauhusiano gan na ufanyaji wa kazi?. Naomba ufafanuzi juu ya elimu yako na kazi ufanyayo
 
Mkuu Analyst, ni vizuri umeamua kurudi kwenu maana nyumbani ni nyumbani., to say a few.
 
Hellow JF members!!, Nimepata Kibarua Rwanda, kwakweli ninafurahia kusoma kwangu na ninawashukuru wazazi wangu kwa kunihimiza kusoma na kwa kunifacillitate!!. Ninafanya kazi ktk mazingira mazuri, ninathaminiwa utu na utaalamu wangu, mshahara wangu ni mzuri sana mara tatu ya mshahara wanaolipwa watu wenye taaluma kama yangu hapa TZ. Na zaidi, mhh!! yale mambo yetu yale!! Yani kuna viburudisho bomba mbaya!! watoto wazuri hakuna mfano!!. Any way la msingi, karibuni tufanye kazi!!

malaya wewe
 
Hizi sura na kazi vinauhusiano gan na ufanyaji wa kazi?. Naomba ufafanuzi juu ya elimu yako na kazi ufanyayo

huyu ndo papaa fataki? ndo kasumba yake yake hiyo, malaya mkubwa tu. kwanza atutajie taaluma yake, na ofisi anayofanyia kazi
 
Mkuu Ntamaholo- kwani wewe huko Rwanda uko mkoa gani?, na unafanya kazi taasis gani?!, kwahiyo hutaki analyst aje kuchapa mizigo huko Rwanda?!. Lol!, yuo made ma day.
huyu ndo papaa fataki? ndo kasumba yake yake hiyo, malaya mkubwa tu. kwanza atutajie taaluma yake, na ofisi anayofanyia kazi
 
Hellow JF members!!, Nimepata Kibarua Rwanda, kwakweli ninafurahia kusoma kwangu na ninawashukuru wazazi wangu kwa kunihimiza kusoma na kwa kunifacillitate!!. Ninafanya kazi ktk mazingira mazuri, ninathaminiwa utu na utaalamu wangu, mshahara wangu ni mzuri sana mara tatu ya mshahara wanaolipwa watu wenye taaluma kama yangu hapa TZ. Na zaidi, mhh!! yale mambo yetu yale!! Yani kuna viburudisho bomba mbaya!! watoto wazuri hakuna mfano!!. Any way la msingi, karibuni tufanye kazi!!

Mengine umeeleza vema ila hapo kwenye red nakutahadharisha ndugu yangu. Kafanye kazi kwani ngono si kitu cha ku shadadia sana ni vema tafuta mwenzako uoe kabisa ndo utapata heshima na maisha yako yatakuwa na msimamo. Kumbuka unasema una professional uliyosomea na ukawashukuru wazazi kwa kutumia fedha zao kukufikisha hapo ulipo. Hivi wazazi wako wangepata hiyo comment ya kufurahi kwamba kuna viburudisho badala ya kuongea mambo ya maana wangejisikiaje?

Wewe ni balozi wetu hapo please watch you steps usije ukaitia doa TZ kwa kuendekeza ngono badala ya kuonyesha utanzania wako kitabia na uwezo wa kuwajibika.
 
Mshukuru Mungu kwanza na kwa yote..

Hizo red ukichanganya then ukawa na mis ya upako wa Mungu. Ngoma inaweza kukutembelea. play fair and responsibly.
kweli kabisa,hapo umenena jambo la muhimu sana kwake!
 
Back
Top Bottom