Runzewe Majambazi wavamia, waiba Ng'ombe, wajeruhi vibaya

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Ujambazi umetokea Kijiji cha musasa, Runzewe Ushirombo. Hali Ni ya Taharuki usiku wa kuamkia leo! Wafugaji waogopa Sana kuona matukio haya yamerudi upyaaa! Polisi tusaidieni
 
Jioni ya Leo utamuona ama RPC wa geita anasema majambazi waliposhituliwa na polisi wakarusha risasi ndipo vijana wetu hodari wakajibu mapigo na kuwajeruhi kadhaa na tulipowakimbiza hospilltali wakawa wamekata roho, au RPC kagera ataielezea kwa kusema kuna tukio LA kiharifu, majambazi wenye asili ya nchi Jirani waliteka mifigo na kutaka kuitorosha nchini, kwa weredi wa intelligentsia yetu, tulifanikiwa kuwakamata wawili, jambazi mwenzao akataka kuwaokoa wenzake kwa kurusha risasi bahati mbaya zikawapata majambazi.

Nawaomba wananchi wafike mochwari za hospitality ya biharamulo kuwatambua ndugu zao.

Maoni yangu:

Polisi, tiss na wananchi: kila mkibaini wahalifu tuwatembezee kichapo hadi kuwaondoa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Wananchi, mkimkamata mwizi na ushahidi asilimia 100, tembeza kichapo cha haraka sana, cha mawe na then mnambatiza kwa petroli
 
Mkoa wa Geita una mtandao wa ujambazi ambao polisi unawalinda. Pili kampuni binafsi za ulinzi mkoa wa Geita ni sehemu ya kuchangia ujambazi ili wapate wateja . Hizi kampuni binafsi Zina siri kubwa ya kutokea kwa ujambazi Geita, Ziondolelewe tu au suma Jkt watumike.
 
Jioni ya Leo utamuona ama RPC wa geita anasema majambazi waliposhituliwa na polisi wakarusha risasi ndipo vijana wetu hodari wakajibu mapigo na kuwajeruhi kadhaa na tulipowakimbiza hospilltali wakawa wamekata roho, au RPC kagera ataielezea kwa kusema kuna tukio LA kiharifu, majambazi wenye asili ya nchi Jirani waliteka mifigo na kutaka kuitorosha nchini, kwa weredi wa intelligentsia yetu, tulifanikiwa kuwakamata wawili, jambazi mwenzao akataka kuwaokoa wenzake kwa kurusha risasi bahati mbaya zikawapata majambazi.
Utashangaa majibu atakayokupa ukiuliza sasa mifugo iko wapi?

Utaambiwa mifugo ilisambaa ikakimbilia porini wakati risasi zinarushwa kumbe kikosi kimeshagawana
 
Bongo nyosso😅😂🤣nimechekaah
Mifugo iko maporini huko!

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Jioni ya Leo utamuona ama RPC wa geita anasema majambazi waliposhituliwa na polisi wakarusha risasi ndipo vijana wetu hodari wakajibu mapigo na kuwajeruhi kadhaa na tulipowakimbiza hospilltali wakawa wamekata roho, au RPC kagera ataielezea kwa kusema kuna tukio LA kiharifu, majambazi wenye asili ya nchi Jirani waliteka mifigo na kutaka kuitorosha nchini, kwa weredi wa intelligentsia yetu, tulifanikiwa kuwakamata wawili, jambazi mwenzao akataka kuwaokoa wenzake kwa kurusha risasi bahati mbaya zikawapata majambazi.

Nawaomba wananchi wafike mochwari za hospitality ya biharamulo kuwatambua ndugu zao.

Maoni yangu:

Polisi, tiss na wananchi: kila mkibaini wahalifu tuwatembezee kichapo hadi kuwaondoa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Wananchi, mkimkamata mwizi na ushahidi asilimia 100, tembeza kichapo cha haraka sana, cha mawe na then mnambatiza kwa petroli
Sio mbaya walau wakiongea. Inaweza saidia kupunguza hofu iliyopo
 
Ujambazi umetokea Kijiji cha musasa, Runzewe Ushirombo. Hali Ni ya Taharuki usiku wa kuamkia leo! Wafugaji waogopa Sana kuona matukio haya yamerudi upyaaa! Polisi tusaidieni
Ndugu yenu Magufuli yuko busy na Kampeni ya kubadili Katiba awe Rais milele
 
Jioni ya Leo utamuona ama RPC wa geita anasema majambazi waliposhituliwa na polisi wakarusha risasi ndipo vijana wetu hodari wakajibu mapigo na kuwajeruhi kadhaa na tulipowakimbiza hospilltali wakawa wamekata roho, au RPC kagera ataielezea kwa kusema kuna tukio LA kiharifu, majambazi wenye asili ya nchi Jirani waliteka mifigo na kutaka kuitorosha nchini, kwa weredi wa intelligentsia yetu, tulifanikiwa kuwakamata wawili, jambazi mwenzao akataka kuwaokoa wenzake kwa kurusha risasi bahati mbaya zikawapata majambazi.

Nawaomba wananchi wafike mochwari za hospitality ya biharamulo kuwatambua ndugu zao.

Maoni yangu:

Polisi, tiss na wananchi: kila mkibaini wahalifu tuwatembezee kichapo hadi kuwaondoa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Wananchi, mkimkamata mwizi na ushahidi asilimia 100, tembeza kichapo cha haraka sana, cha mawe na then mnambatiza kwa petroli
Hahahaa we jamaa, waondolewe kwenye orodha ya daftari la kudumu la wapiga kura???,

Sasa hiyo sisawasawa kama kuwa nyang'anya silaha haraka haraka.
 
Back
Top Bottom