Paje
JF-Expert Member
- Apr 24, 2010
- 1,185
- 455
Orodha ya makisio ya misamaha ya kodi kwa magari yaliyoingizwa nchini kupitia Taasisi za Dini kuanzia mwaka 2006 hadi sasa;
1. BAKWATA na Taasisi zake (Shule, Vyuo, Hospitali, misikiti etc)
-magari 82 ya aina tofauti yenye thamani ya Bil 6.8 (Kodi iliyosamehewa Bil 1.9),
2. Kanisa Katoliki na Taasisi zake (vyuo, shule, hospitali, parokia etc) - Magari 691 yenye thamani ya Bil 59.5 (Kodi iliyosamehewa Bil 19.3),
3. CCT na Taasisi zake (vyuo, shule, hospitali, makanisa etc), magari 527 yenye thamani ya Bil.42.9 (kodi iliyosamehewa Bil.13.8),
4. Makanisa ya Pentecoste na Taasisi zake (vyuo, shule, hospitali, makanisa etc) - magari 2,719 ya aina mbalimbali yenye thamani ya Bil 186.1 (kodi iliyosamehewa Bil 57.4),
5. Taasisi nyingine za dini (Hindu, Budha etc) magari 203 ya aina mbalimbali yenye thamani ya Bil 36.4 (kodi iliyosamehewa Bil 9.01).
JAUMLA ya Magari yaliyoingizwa nchini kwa mwavuli wa Taasisi za dini tangu Mwaka 2006 (Magari 4,222).
JUMLA ya Kodi iliyosamehewa BIL 102.41
#Hizi ni pesa zinazotosha kujenga Mabunge matatu yenye hadhi sawa na Bunge la Dodoma na chenchi ikabaki. Kumbuka hii ni misamaha ya Kodi kwa magari tu bado vitu vingine kama Vifaa vya Hospitalini, Vitabu vya mashuleni na vyuoni, etc...
MY TAKE.!
Kesho nafungua Kanisa.. 
nukuu chanzo cha hizo data tafadhali