RUn your favourite Android Apps in ur PC

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Ndio wakuu, salaam sana. kwa kifupi kitu ninachotaka kukitoa si kipya saana ila si mbaya kwa wasiofahamu pia kushare nao idea. ni hivi, kuna softwares ambazo ni kama emulator zinazokuwezesha ku run android apps kwneye pc. wengi wanatumia Youwave lakini tatizo la Youwave ni kwamba wanakupa trial version ya 10days so inabidi utafute patch au crack. ila kwa kutumia software ya bluestacks, utapata full version na kuweza kurun softwares kama Whatsapp, Viber,Angry birds etc. vile vile unaweza kuingia kwenye android market nakushusha 2 masoftwares utakavyo. software hii inapatikana kwenye link hii hapaRun Mobile Apps on Windows with BlueStacks :: Mobile Apps on PC :: Mobile App Player for Windows | BlueStacks, Uuuuurrrrgghhhhhhhhhhhh........!!!!!!
 
mzee unaweza kunambia unadownload vipi android market? Maana yangu haidownload kwenye playmarket
 
hii mzee inakuja na inbult android market what u do just ni kusign in na google a/c yako,tofauti na Youwave ambayo lazima udonwload kwanza android market
 
Back
Top Bottom