Ruge Mutahaba anaumwa nini?

NI KWELI MKUU UTASEMAYO,HUYU JAMAA AMEDHOOFU MNO.AMEPOTEZA NURU KABISA.
Kama haumwi basi itakuwa ni laana za wasanii aliowahi kuwanyonya au kuwakandamiza
kwahiyo unataka sisi tufanywje sasa mbona ytu unatutoka
 
Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa
Mwili umechoka dose kali..
Akabadilishe damu..na aende service garage!

Hayo mengine ni nakshi nakshi tu...Ruge hanaga kufa kwa mapenzi!
Zake alichoka ndo akaondoka!pamoja na figisu nyengine kuchangia!
Tumuombee nusra kiumbe wenzetu ila mwiba unapochomea ndo unapo tokea@
 
tuchukukie hiki ukisemacho ni kweli, huko alikoenda kuolewa mkewe nako mambo yapo hivihiv? nikimaanisha mumewe mpya nae anaginga dozi?
 
tuchukukie hiki ukisemacho ni kweli, huko alikoenda kuolewa mkewe nako mambo yapo hivihiv? nikimaanisha mumewe mpya nae anaginga dozi?
Inawezekana mkuu..
mbona harusi za hivyo zipo nyingi sana ..na zinadumu na wanazaa!
Ukijikubali umeme unadhibitika!
 
Aaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
 
Back
Top Bottom