Rufaa: Barua ya Mtela Allamu Mwampamba kwa katibu mkuu wa CHADEMA taifa hii hapa

Kwakuwa ametuandikia wana JF na Dr. Slaa, nafikiri majibu aliopewa na wanaJF yanatosha. Angetaka kumwandikia Dr. Slaa kama kiongozi wake basi sisi wanajf ambao wengine sio wanachama wa CDM asingetushirikisha.
 
Mwampamba siku nyingine ukitaka kutuma kitu mbele za watu hakikisha mtu mwingine anakipitia kabla. Ona barua yako inamakosa kibao ukianzia na kujitambulisha hajamalizia. Unapojitambulisha kiuanachama lazima useme mwanachama wa CDM mwenye kadi no---iliyotolewa tarehe.... na imelipiwa ada mpaka kwa list kumbukumbu no... ili katibu ajilizishe kuwa wewe ni mwanachama kweli na mwanachama hai, usije ukawa ulishajifuta uanacham au so mwanachama kabisa halafu unasumbua watu.
 
condom ikishatumika huwa inarudiwaga bro? Hapo walipo hawana msaada tena kwa magamba, sasa unategemea nape ni mjinga kiasi gani aendelee kuwafadhili?wameishiwa, zile kelele zote za kuzunguka nchi nzima kwishney hata magamba wanajua kwamba jamaa kwa sasa hawana mvuto popote pale kwahiyo kuwatumia ni kupoteza hela zao bure.


salute kwako mkuu!!!! In short dogo kakosea njia watam...w.t.!
 
Afanaleki wallah huyu ndo alitaka kuwa M/kiti Bavcha???? kweli hatupo siriaz huyu mburura awe m/kiti???
halafu alivokuw hamnazo anapeleka rufaa kwa mtu ambaye anamtukana anavotaka, ana wazaz kweli huyu? Km Mwampamba ulienda shule basi haijakusaidia kabisaa, hata malez nyumban cdhan km ulipata!
 
Mwalimu mwenye degree ndio umefundishwa kuandika tarehe hivyo? Eti 19-01/2013 format ya wapi hii?
 
Headed paper ya cdm umeipata wapi???una mamlaka ya kuitumia??unasema jimbo lako liko wapi???bad timing lazima u regret bwana mdogo!!!!!!!!!!!11
 
Mwampamba, kusema kweli kama kuwa watu ambao nina wasiwasi na uwezo wao wa kufikiria basi we ni miongoni mwao, wewe umemtuhumu Dr Slaa, leo unaandika upuuzi wako hapa unasema ni rufaa alafu unamtukana tena huyo huyo Dr Slaa, kweli we mbwiga wa mwisho duniani!!! rudi kwenu na kundi lako la masalia ukawe mganga wa kienyeji
 
kajifunze kuandika kwanza wewe hata kuwa mwenyekiti wa kijiji bado kwanza jiulize nani ndani JF amepongeza uupuuzi wako hufai hata kidogo wanambozi hawawezi kukuchagua kilaza kama wewe
 
hujui kuandika kwanza kwa hilo kosa ningekufukuza uanachama hatuwezi kuwa na mwanachama kilaza na huwezi kuwa mbunge kwasababu mbozi kuna wenye akili hakuna atakaekua tayari kumpa mtu ubunge asiejua kuandika hata mada.
 
Kama chadema inashindwa kuwatendea haki watu waliojitoa muhanga kwa ajili ya harakati za chama, itaweza kuwatendea haki watanzania masikini na wanyonge?

Ni CCM tu ndio inajua kuwatetea wanyonge, kwa kuwapa elimu bora isiyo na mitaala kwa miaka zaidi ya kumi, kuwapa huduma duni za jamii na kuendeleza ufisadi wa kutisha. CCM ni cha chama bora kabisa
 
Duh,eti huyu jamaa ndo alitaka kuwa mwenyekiti wa BAVICHA!! hata kuandika hajui,kujenga hoja ndio zero kabisa!kwa mujibu wa yale maelezo aloyatoa heche kwenye hotmix,hapa sijaona namna huyu jamaa atachomoka!taratibu zote zilifuatwa.nachokiona ni kupaniki,kuhamaki na kutapatapa mithili ya kuku alokatwa kichwa.!
 
na tatizo lako jingine, unapenda mno madaraka, huku hukubaliki....kwanini unalazimisha kuwa lazima uwe mbunge wa mbozi? hulka hiyo wanayo magamba, kwahiyo ungana nao tu, usimsumbue Dr.slaa.
 
hoja zilizotolewa na mwampamba zina tija kwa mtu mkweli,lkn kinacho shangaza ni namna ambavyo baadhi ya watu wanamshambulia mtu badala ya kuangalia authenticity ya hoja,tuache kuongozwa na hisia,ushauri kwa mwampamba fuata nyayo za kafulila, machali na mkosamali,walivyoona zengwe limezidi walitafuta alternatives,na wote wapo mjengoni,jiimarishe jimboni mi naamini kama ipo ipo tu,muige mh.zitto ambae kutokana na kukubalika kwake kigoma,anaweza kugombea jimbo lolote na akashinda kwa kishindo hata kama atakua mgombea binafsi asikua na chama.never gige up time will tell.tunakusupport
 
aina ya watawala wa africa wote wanafanana, maana mwalimu wao ni mmoja na alishakufa bila kufanya masahihisho,ktk tanzania context haijalishi viongozi hao nwa chadema,ccm nccr.kikubwa kwao ni kumfanya mtu afikiri vile wanavyo taka wao,vinginevyo utaadhibiwa bila hata kujitetea kama alivyokua akifanya b.mussolin wa huko Italy miaka ya 1930.cha kukatisha tamaa,hata wanachama tumekua tukishabikia vitendo hivi vya viongozi badala ya kuwakemea.tunapaswa kubadili mtazamo wetu na kuwaunga mkono viongozi wanaowatumikia wa Tz kwa moyo wa dhati na kuwapuuza wote wanaotumia vyama kujinufaisha wao na familia zao
 
watawala wa ujerumani waliwahi kumfukuza mwasisi wa ujamaa duniani Carl Max aliamua kwenda urusi na kumkuta fedrick angel ambae walishirikiana kufanya mapinduzi ya urusi na kuunda dola kubwa ya USSR.hii inathibitisha kua watu hatupaswi kukata tamaa katika kufanya yale tunayoyaamini hata kama kuna mtu hayamfurahishi,hii ndio demokrasia ya kweli,lazima wanadamu wapishane kimtazamo ili kipiga hatua flani ya maendeleo,mwapamba ninaamini unauwezo na pia we ni kijana bado unao muda wa kujipanga and i predict that u will be the better politician never give up
 
Bwana mwampamba,kweli umechanganywa! Maana,ktk barua yako,unamuomba slaa akusaidie kufafanua baadhi ya mambo ambayo unadai yana utata na wakati huohuo,unamponda slaa kua hakuwezi! Je,umenaswa ktk ile semi ya mfamaji haishi kutapatapa?ok,je,si kweli kwamba wewe mwampamba unakatabia ka usaliti ktk chama cha chadema? Unapojibu,elewa kua unamjibu mtu aliye fuatilia na hata kupigania ubunge wako kule mbozi ulipokua unachuana na dhambi! Je,ulishindwa kihalali? Uliibiwa kura? Au ulipoozwa na dhambi ? Mwampamba,wewe ulishinda na ulijua kua umeshinda na kwa maksudi,ulituuza wana wa vwawa na ukatokomea ulikojua wewe! Ok,unautaka ubunge pale mbozi eti? Time will tell!tatizo la sisi vijana tunataka kua maarufu kuliko hata waliotukaribisha ktk siasa hata pale ambapo umaarufu bado hatujaufikia,huyo kafulila unaemtolea mfano,nae amefukuzwa huko nccr,au ndie anaekupooza kwa ushauri? Yeye ni mbunge wa mahakama kwa sasa!unasema unaugomvi na heche,ok,hatujui.je,kuleta barua huku jf una maana gani,unatafuta huruma?unaweka ukweli peupe,ili? Eti utagombea hata kwa chama kiitwacho kitunguu swaumu!jimbo gani hilo lenye wajinga wawezao kuchagua kitunguu swaumu kikawawakirishe bungeni?mbona una matusi hivyo mwampamba!? Yaani ukutuliga bhwebhulo! Nenda ccm,hawatakupa kitu,ila akina joji na mwaipula watakugeuka na kukwita shushushu tu na utaishia kua kama kumbikumbi ambaye hutoka ktk kichuguu kwa mbwembwe na kuishia kuliwa tu huko nje akimbiliako! Mwampamba,chutama!
 
Usipoteze muda kurumbana na slaa,kisaikolojia tunaamini kadri mtu anavyozidi kua mtu mzima hasa kuanzia miaka 65 huanza kupoteza umakini ktk kufanya mambo,mzee umri ndio unao mtesa,na hata ungefanya nini hawezi kubadilika huu ndio ukweli licha ya baadhi ya watu kuiona nyeupe kua nyekundu na nyekundu kua bluu,hawa ni sawa na aki na mwigulu nchemba ambao wako tayari kuitetea ccm hata kwa mambo yanayotia aibu,hawafanyi hivyo kwa kukipenda chama,ila ni mwendelezo wa kujitafutia rizki ili waendelee kuishi mjini."CHAMA KUA NA WANACHAMA WASIOJITAMBUA NI SAWA NA BUWA NA BUNDUKI ISIYOKUA NA RISASI"
 
Back
Top Bottom