Rubani na msaidizi wa Precision Air iliyopata ajali wamekufa kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika na uokoaji

Nobunaga

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,170
4,994
Rubani, Kapteni Buruhani Rubaga, na Afisa wa Kwanza Peter Omondi Odhiambo awali walinusurika kwenye ajali hiyo na walikuwa wakiwasiliana na maafisa baada ya ndege hiyo kutumbukia ziwani.

Wote wawili hatimaye walikufa kwa sababu ya kushindwa kuokolewa kwa muda muafaka.

Someone must take responsibility for this negligence.

Screenshot_2022-11-06-23-59-15-614-edit_com.twitter.android.jpg
 
Ile mikopo na misaada tunayojinasibu kupokea kila kukicha tunashindwa kweli kuwekeza kwenye vyombo vya maana vya kukabiliana na majanga kama haya.

Kitendo cha uwanja wa ndege kuwa karibu na ziwa kulipaswa kuwe na kila nyezo ya kukabiliana na swala kama hili.

Leo hii dunia nzima inaona uokoaji unafanywa kienyeji kama vile enzi Noah na safina yake. Watu wanavuta ndege na kamba.

Kesho utasikia kuna kongamano la kusifia jitihada za 'mama' na mamilioni ya pesa yakatumika lakini mambo ya msingi yanapuuzwa.

Ajali imetokea lakini serikali imechangia mauti kwa kushindwa kuwa na maandalizi ya maafa.
 
Eh! Wandugu tunapoelekea tutaja mkufuru Mungu

- we are all underlined what is written-

Tuwaombee tu wapumzike salama pia kama ni somo tumesha lipata

Sent using Jamii Forums mobile app
Imani yako kwa Mwenyezi Mungu sitoijadili ni imani na haki yako, kama mimi ninayeamini Mizimu yangu, ILA la kusema some tumejifunza huu ni uongo, unafiki na uzuzu wa hali ya juu wa middle class as you, Mv Bukoba iliua maelfu ya watanzania wenzetu ,kama nchi tulijifunza nini?mpiga picha aliyepiga picha pekee ya uzamaji alitoka Kenya, PM wetu wakati wa ajali alikua anakunywa Meerlust Rubicon pale jhb, kuomba msaada kutoka SA wakati yupo kule akapuuzia, baada ya pressure ndio akakutupuka na mpaka wanamaji wa SA wanafika Mwanza was to late, mazuzu ya kitanzania kimya no push back yeyote ya kuiwajibisha serikali, na sasa tumo humu JF kulalama kama kawaida yetu baada ya few day's tunasahau na maisha yanaendelea.
 
Tutasahau na maisha yataendelea binadamu wote ndio tumeumbwa hivyo
 
Rubani, Kapteni Buruhani Rubaga, na Afisa wa Kwanza Peter Omondi Odhiambo awali walinusurika kwenye ajali hiyo na walikuwa wakiwasiliana na maafisa baada ya ndege hiyo kutumbukia ziwani.

Wote wawili hatimaye walikufa kwa sababu ya kushindwa kuokolewa kwa muda muafaka.

Someone must take responsibility for this negligence.

View attachment 2408892
Tuspo ichorea mstari hii Serikali hakuna kitakacjo badilika, ni wakati wa kuchorewa mstari
 
Ile mikopo na misaada tunayojinasibu kupokea kila kukicha tunashindwa kweli kuwekeza kwenye vyombo vya maana vya kukabiliana na majanga kama haya.

Kitendo cha uwanja wa ndege kuwa karibu na ziwa kulipaswa kuwe na kila nyezo ya kukabiliana na swala kama hili.

Leo hii dunia nzima inaona uokoaji unafanywa kienyeji kama vile enzi Noah na safina yake. Watu wanavuta ndege na kamba.

Kesho utasikia kuna kongamano la kusifia jitihada za 'mama' na mamilioni ya pesa yakatumika lakini mambo ya msingi yanapuuzwa.

Ajali imetokea lakini serikali imechangia mauti kwa kushindwa kuwa na maandalizi ya maafa.
Ccm ina wapigaji wa kutosha Mama kazungukwa na Wapigaji tupu na hao ndio anao wakumbatia wamsaidie uchaguzi ujao
 
Back
Top Bottom