Rpc nyombi anatuhumiwa kuiba 8kg za dawa za kulevya mby

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Tar 17 nov 2010 42.5 zilikamatwa na polis tdm, na kupelekwa masijala ya polisi mkoani mby chini ya maelkezo ya rpc.taarifa zinaonyesha kuwa dawa hizo zilichakachuliwa na kuwekwea mkaa kwa rushwa ya 300m
baada ya siku 10 dawa hizo zilipelekwa dsm na rco malimbisa ambapo zilibainika kuwa 8kg ni mkaa na hiyo ni kashifa ya polisi mby.
Igp ameunda tume ambayo imemtaja rpc na rco kuhusika na wizi huo ambapo anawahamisha watuhumiwa hao badala ya kuwakamata.
Hii haina tofauti na hofu ya dr hosea kwa kachero wa usa
 
Kwa nini polisi wakifanya makosa huwa wanahamishiwa makao makuu badala ya kukamatwa na kufunguliwa mashitaka.
Polisi wa vyeo vya chini wanakamatwa lakini polisi wa vyeo vya juu wanaachwa !!
Huu ni ubaguzi mkubwa na chanzo cha ujambazi nchini
 
Ukitaka kujua utajiri haramu wa Nyombi nenda kaithamini nyumba yake,..kama hamujui basi huyu ni sampuli ileile au ni mabaki ya akina Zombe ndani ya jeshi la polisi
 
haya tena,polisi na wizi je ni ndugu?
KWANI JAMANI polisi hawa wamezidi hakuna wa wakuadhibu?

mapinduziiii daimaaaaaa
 
Rpc alishinikiza hizo dawa zipelekwe mby siku ya tukio yaelekea alikua na agenda yake ya siri.....
 
du dah .................matunda yetu hayo RUSHWA ,,,,,UMASKINI,,,,,,,,,,MASLAHI MADOGO..............WANA MACHO,,,,,,,,,,,,,WANAONANAKUSIKIA JINSI MAFISADI WANAVYOKULA NCHI NA HAWAFANYIWI CHOCHOTE,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KAMA INGEKUWA WEWE UNGEACHA KWELI ANGALIA MAISHA YAO............
 
Back
Top Bottom