RPC Kamuhanda na RPC Shilogile wakalia kuti kavu!

Exactly kwa nguvu na shinikizo la jana la CHADEMA na maandamano ya waandishi pale jangwani yaliyopelekea Kumu_ignore waziri Nchimbi ambaye naye yupo kikaangoni ni wazi sasa vibarua vya makamanda wa polisi wa mikoa ya Iringa na Morogoro yenye kashfa ya polisi kuua 'ITAOTA NYASI MUDA WOWOTE'.Taarifa za ndani zinadai kuwa makamanda hao wameachiwa wapime wenyewe bila shinikizo ila wakiwa wagumu watang'olewa na hii ni kutokana na Agizo 'lenye moto' la chadema hapo jana.

Haiwezekani kabisa hawo jamaa kukalia kuti kavu kwani serikali yetu ni serikali ya chama cha hovyohovyo, wabunge wenye PhD lakini wanatabia kama za watoto wa chekeche, Rais anaeongoza ni dhaifu unategemea hilo kutokea?
 
Bila RPC Kamuhanda kuburuzwa mahakamani kwa mauaji, hakuna kitu hapo. Huwezi kuua watu Songea, ukahamishwa Iringa nako ukaua na bado uko ofisini au ukaishia tu kusimamishwa kazi. Haikubaliki.
 
Kamanda kamhanda kwa maombi ya watanzania kwa MWENYEZI MUNGU atasambaratika tu.huwezi kuua mtu kwa staili ile ukabaki salama.
 
CDM kama chama kinachoonekana cha ukombozi machoni kwa watanzania wengi imeshindwa kutumia fulsa mbalimbali zilizojitokeza ili kuharakisha ukombozi.

zaidi sana tumeshuhudia matamko yaliyojaa vitisho pasipo utekelezaji. yawezekana kabisa watawala wetu wameendelea kutupiga risasi na mabomu baada ya kuugundua udhaifu wa cdm.

tufike mahali sasa tukisema no, na iwe no. yale ya ireland ya kaskazini ya wananchi kujiundia mabomu ya petrol ili kujilinda na uonevu wa watawala yatakuja kwetu punde. tumechoka
 
Saharavoice hiyo teknolojia ya watu wa ireland kaskazini imefika wakati muafaka tuitafute, hata kama ni kwa gharama kubwa itabidi iwe hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom