RPC Dodoma: Viongozi wa BAVICHA kufikishwa Mahakamani Jumatatu kwa kumkashifu Rais

Udikteta ni Verb na Adjective
Dikteta ni noun

mliofilisika mawazo muelekezeni RPC

Mnahangaika na kivuli..
 
1468133872576.jpg
 
Atanyooka yeye.... Ameshindwa ghadafi na Hosin mwenye mizinga na vifaru ataweza yeye
Hamna sababu za msingi za kumpinga na kumshinda, wala usijifananishe na mambo ya Libya sijui Gaddafi hakuna uhusiano wowote na maandamano ya kipuuzi ya kudai bunge live,div IV wapewe digrii! Ni ujinga tu, na watakaowaunga mkono labda vichaa, so far mafisadi mnaowatetea watashughulikiwa ipasavyo kudadadeki!
 
Uchwara mbaya zaidi ni ujinga wa kuandamana Tanzania nzima halafu unaishia selo Dodoma.
Jiunge na hao jamaa ufaidike.
Lakini kwa vile umwoga bakia nyuma ya keyboard!
Poleni sana CCM mmechutama mmekubali yaishe kupitia jeshi la polisi baada ya ku-surrender kuwa mikutano ya siasa ya ndani sasa ni ruksa.
Mziki wa Bavicha umechezwa vema na CCM mmekata mauno wee hadi mwisho wa siku mmejikuta uchi na kuchutama haraka sana.
Big up Bavicha.
 
Poleni sana CCM mmechutama mmekubali yaishe kupitia jeshi la polisi baada ya ku-surrender kuwa mikutano ya siasa ya ndani sasa ni ruksa.
Mziki wa Bavicha umechezwa vema na CCM mmekata mauno wee hadi mwisho wa siku mmejikuta uchi na kuchutama haraka sana.
Big up Bavicha.
Tutafanya siasa kulingana matakwa ya chama tawala.
Baada ya mkutano wetu tukuone ukiandamana!
 
LAITI MAISHA YA MWANADAMU YANGEKUWA NI YA MILELE NA DAIMA NA KAMA TULIVYONAVYO TUNGEENDA NAVYO KABURINI KUNA KUNDI LINGEOMBA KUWE NA KIFO
 
Nafikiri udikteta una stages ili kufikia lengo, nafikiri huu wa jamaa karuka stage ndio maana unakuwa mgumu kutekelezeka.
 
Back
Top Bottom