RPC Dodoma: Viongozi wa BAVICHA kufikishwa Mahakamani Jumatatu kwa kumkashifu Rais

Hahahaha,
Inipeleke shule inanijua?
Ila inasema fanyeni kaazi kwerikweri, hii ni Tanzania ya viwanda.

Ina maana hujatusikia namna tulivyoweka speaker
Kaazi -kazi
Kweri kweri -kweli kweli
Ndio maana Swiss anahoji kama walikupeleka shule
 
Sasa sehemu ya 'Wananchi' ndio hiyo inayokwenda Dodoma kuhakikisha Amri ya mh Raisi haivunjwi ...

Kila la kheri mkuu ila itabidi wahalalishe kwanza unga alafu "kwa msaada WA watu WA marenika waextend support yao hadi kwenye viroba ili waende wengi.
 
mmeshaambiwa mikutano ya vyama ya kiutawala ya ndani haijakatazwa,:ila sasa nyie ndio mnakwenda kukusanyika nje isivyo halali, subirini kichapo na mjue freemason wenu wanataka damu yenu.
Usiongee tuu kwa kukurupuka kama dikteta uchwara, yale mahafali yaliyo zuiliwa ulikuwa mkutano wa nje? Mwanza viongozi wa Chadema taifa walizuiwa hata kuingia ofisi za chama au kusalimu watu njiani mpaka wakafungua kesi huko kupinga udikteta uchwara.
 
Poleni sana makamanda. Ukombozi uko hivyo. Wanawakomaza kiharakati. Taifa hili litakombolewa tu hata wafanyeje. Huo ukaburu mamboleo utatokomezwa tu.
 
Pamoja na kuwakamata zoezi la kuzuia mkutano haramu wa CCM liko pale pale.
mbona walizuiwa kukaa ndani ya mita mia mbili baada ya kupiga kura wakaufyata? Hata sasa wataufyata mkia pamoja na kelele zao.Mwenye hamu ya kuchomolewa nyonga na aende DOM akazuie mkutano halali wa CCM,miguu ya shingo na buti za mbavu zitawahusu wakaidi wote,hamna namna nyingine ya kumsaidia mkaidi.
 
Duh! Wananipa mori ya kwenda kujitoa muhanga kwenye mkutano wao au sehemu yoyote nitakakogundua wamekusanyika hawa wavaa nguo za kijani
 
Back
Top Bottom