Router

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Kwa yeyote anayejua mahali router znapouzwa kwa bei nafuu anitaarif location hyo. Nataka nijipatie 1.
 
....au kama hufahamu vyema kuhusu router unaweza kueleza dhumuni lako na utaelekezwa type na model inayokufaa.
 
@ino, hebu naomba niorodheshe baadh ambazo ni 4 home usage. Manake cpo familiar xana na routers
 
Kwa kifupi router ni network device ambayo inafanya kazi ya kufilter na kudirect data packets kwenda ktk aimed system(computer). Hufanya hvyo kwa kusoma destination adres ktk data packets inazopokea. Cjui umenpata what router realy is.?
 
Katafute D-link, maduka kibao tu yanayouza computers unaeza pata. kama upo arusha nenda Cyberworl, JR electronics, compucat
 
nunua dlink wireless router ya 8ports itakufaa zaidi kwa laptop utaunga kwa wireless na device nyingine kama printer na desktop ndio unaweza tumia cable, price inategemea na muuzaji ipo kati ya 120000 hadi 150000
 
Samahani wakuu. Je internet Tanzania inapatikana kwa cable? Nimekuwa nikitumia internet ya vodacom kwa kutumia modems za kuweka sim card. Hapa nilipo napata internet kwa cable. Kutoka hapo ndipo nimeunganisha modem yangu yenye router ambapo napata wifi kwa laptops na vifaa vingine vya wifi.
 
@dingswayo. Kaka kama nimekuelewa vzur unamaanisha kupata service ya cable, ni kwamba ttcl ndo wanasupply broadband kwa cable.
 
Back
Top Bottom