Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

Kenya ilikuwa hivyohivyo lakini sasa wanasonga mbele, wanadevelop saana, hivi miaka yote hiyo unanang'ania sisiemu na wafuasi wake wa Ict wazalendo wanaoridisha maendeleo nyuma kwa kusaini mikataba mibovu. Acha habari yako tusonge mbele Ukawa hoyeeee

Hoyeeeeeeeee
 
CosaNostra

Hii Malaria mtapona tuu. Ngoja Dr.aongeze Dose. ccm must go whatever the case.
 
Last edited by a moderator:
Eng.Livingstone
Hizo hezabu zako niza wapi? Utafiti wa kuwaliwaza UKAWA?Tumeona kuchanganyikiwa kwa UKAWA baada ya Magufuli kuteuliwa, Kama haitoshiumekula matapishi yenu, Yule Fisadi sasa amekuwa Mtakatifu kwenu. Mjiandaekujitetea na kukanusha,baaada ya kushindwa mshikane uchawi!
 
Last edited by a moderator:
CosaNostra
Mdomo ni mali yako unahaki ya kusema lolote kwa ajli ya kujipunguzia stress ulizonazo ndani ya ccm
 
Last edited by a moderator:
CCM bado ina chance kubwa zaidi ya kuendelea kutawala. Upinzani ujiandae kwa kupata wabunge wengi zaidi Ili check and balance iwepo kwa ajili ya ustawi wa nchi

Acha story za mwaka juzi hizo. CCM is dead lazima izikwe
 
Hizo hezabu zako niza wapi? Utafiti wa kuwaliwaza UKAWA?Tumeona kuchanganyikiwa kwa UKAWA baada ya Magufuli kuteuliwa, Kama haitoshiumekula matapishi yenu, Yule Fisadi sasa amekuwa Mtakatifu kwenu. Mjiandaekujitetea na kukanusha,baaada ya kushindwa mshikane uchawi!

Hicho kichaa chako kitapona tu,na hiyo ni baada ya october, maana unajifanya huoni ingawa macho unayo pia kaa ukijua kuwa panapo fuka moshi ujue chini kuna moto,ccm kwa sasa zimebakia bendera tu
 
Mfumo cha chadema mteuliwa hana say kwa katibu mkuu,

katibu mkuu ndiye kila kitu ndani ya chama

katibu mkuu ndiye kiongozi mkuu wa shuguli zote na ndiye anaye mpangia rais wake ni nini la kufanya.
 
mfano mtoto anazaliwa Leo halafu nchi au dunia yake inakuwa Jf hadi anakulia humu anaweza kuhisi ccm ishakufa!! jamani hebu njooni field muone nguvu ya ccm najua wapo watakaopinga lakini hebu piten tu,
 
Jamani hivi hawa ccm mbona wanatia aibu. Hivi wanapigana.wenyewe kwa wenyewe je kampeni itakuwaje. Huyu jamaa alikuwa mbabe hafai hata spika ni hivyo hivyo ubabe sasa amelikoroga atalinywa.
 
Back
Top Bottom