Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

Makamba kasema anatangulia kuwaandalia makazi na wengine watakaomfuata!

Who knows, who will be the next to go??????
 
Chinua Achebe: "Things Fall Apart"

I disagree with you in harmony. It should be No Longer at Ease-Chinua Achebe.
Was Obierika who said "The whitemen have put a knife on the things that join us and we fall apart" No one from outside who put "upupu" that they go into this "timbwilitimbwili" to fall apart.

It is because they decided to take that advice, if you want to eat a frog, choose a fatty and juicy one then they will no longer be at ease. Corruption and bribe from in-within CCM eat themselves.

Respect!!
 
Katika vikao vya CCM List of Shame ya Chadema haijajadiliwa bali walijadili Richmond, Dowans, Kagoda na Rada na waliwataja kwa majina Lowassa, Rostam na Chenge.
Ulikuwemo kwenye vikao hivyo uliposikia wanataja majina? Na habari yenyewe ya Mtanzania naanza kui doubt, tungepata nakala badala ya tafsiri ya Tina.
 
Mukama mzee wa Manfesto za ccm alikuwa tbc those dayz akasema ccm ina ilani mpka ya 2025, there is a short plan ana long plan. Ha ha ha Hana isue mkuu ni yale yale tu.
 
kWA AKILI ZA MTU MWEUSI HANA CHA KIJIFUNZA LABDA MBINU MPYA ZAIDI YA ZILE ZA EPA AU RICHMOND
 
Yaani hii movie ni kali kinoma, wale waliokuwa wanasema hawakosi usingizi kwa kelele za mlango, sasa hawalali hata kwa piriton na magamba wanavua.
kaaaazi kwer kwer!!!

Mungu ibariki tan..........a.
 
.....I saw with my physical eyes utawala huu ukianguka and have been warning them lakini wakaona kama vile ni utani. Watch and see the best is yet to come!

U sound like Prophet TB Joshua! Ha ha ha, no offence!
 
We form the same body he might be the eyes and I the ears of that body!

Was thinking of going to Scoan Abuja, looks like l might get my prophecy right here at JF! Would love to meet u!
 
I think kuna point hapo ya kuangalia, sio kwamba CCM haijawahi kuwa na list yake sema tu haikuwekwa hadharani kama kawaida ya unafiki wao, lakini both Msekwa na Kinana wametuweka wazi kwamba top kwenye hiyo list ni Chenge, Rostam na Lowassa. Sasa kwa kutaja scandals husika for sure wamewa implicate wale wote walitajwa kwenye list of shame. Lakini wakina RA wana point tatizo ni kwa wao kutaka kuitumia kwa faida ya matumbo yao, kama wao kama sisi tunajua hata kikwete ni fisadi, wamfungulie kesi ni lazima wajue kwamba JK hatapona its just a matter ya tunaanzia wapi.
 
je ni nani atakuwa Okonkwo 'Amalinze the cat' yaani asiiye angushwa kamwe?

umenkumbusha amalinze the cat whose back never touched the ground! Yan hakuwai kuangushwa! Mmh kule ccm hayupo wote watakuwa chali soon!
 
Ng'anangwa kuquote Achebe umenkumbusha mbali pia nakumbuka trick ya chadema na maneno ya Mzee Ndesambuli eti wakitaka nchi isitawalike wanaweza,jk akachekacheka,sasa anatekeleza yaliyosemwa na wanagawanyika! Nakumbuka Things Fall Apart pg.100, "...a whiteman/cdm is very clever,he came peaceably and quitely in our land,he has converted our brothers and sisters,he has put a knife on the thing/ufisadi that held us/ccm together,now our brothers and sisters cannot hold together! We have follen apart!! Nadhani hii inapaswa kuwa slogan ya ccm baada ya cdm kuwavuruga mpaka wakakimbizana wenyewe! Na bado maneno ya Ndesa pesa yanatimia soön!
 
Back
Top Bottom