Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
kustopishwa kwa makinikia hakumuathiri yeye maana yeye pale kakodisha mitambo inayochimba na analipwa kwa masaa na uchimbaji haujasimama,Ni Persian kutoka Iran, yupo dubai lakini naye number anaisoma kutokana na kustopishwa kwa makinikia sababu ni mwanahisa mkubwa wa Caspian limited pamoja na Debeers na Barick