No one Cares Kwasababu watoto wao wanakula na kulala pazuri,
No one cares because they sure we cant touch them,
No one cares because they think of short term impact of their political career ,
No one cares because mioyo yao inawasuta kwa pesa walizoshirikiana kuiba na RA,
No one Cares because they are shareholders in most of RA companies,
No one cares!
But there is blood of Inocent which care and that are Tanzanian wanaokufa kwa magonjwa mbalimbali kwa kukosa matibabu kutokana na ukosefu wa vifaa vya kisasa vya afya, Damu ya kina mama wanaokufa kwa kukosekana kwa huduma za afya wakati wa kujifungua, Watu Hizi damu hazitaondoka bure, Katika kila damu inayomwagika, Itakaa Juu yao.
The end is coming now... (QUOTE)LEOKWELI
na hiyo the end kwanini isiwe wana jf au sisi wenye uchungu na nchi yetu tusimfungulie mashtaka huyu ROSTAM AZIZ na huyu YUSUPH MANJI? kwa ufusadi wao na Uraia,najua humu ndani kuna lawyers na wengine tuliobaki tukichange ili kuwe na uwezekano wa kuendesha hii kesi mpaka kieleweke,(tushinde au washinde) kuliko kubaki kuongea tu