Rostam Aziz Vs. Ridhiwani Kikwete; Ridhiwani Anamiliki Malori 100 Ya Mizigo

Status
Not open for further replies.
Wakati ni kweli dogo ana pesa isiyo na maelezo, bado sioni uhusiano kati ya degree na pesa. Bakresa ana degree mia ngapi boss?
Bakresa hakuibuka kama uyoga.. alianza kama njasiriamali mdogo aliyekuwa anauza keki na bidhaa za namna hiyo. biashara yake imeenda ikukua mpaka kaja kuwa tajiri mkubwa. nafikiri wanachohoji wa2 hapa, kama ni kweli riz ana utajiri mkubwa kiasi hicho (ambao wengi humu jamvini hatuna uhakika/ evidence), hiyo capital kubwa hivyo kaipata wapi ghafla? kakopa bank? karithi kwa wazazi? au u-advocate umemlipa sana akawa na hizo mali
 
Ridhwaan chukua malori mengine 1000 achana na hawa wagagagigikoko. wakiambiwa inameni wanainama bila kuuliza huyu anainiambia niiname anataka kunifanya nini? yeye anainama huku akiimba pppppppp pppppppp. kula nchi mtoto wa Mr President. wahoji kwanza pesa anazotumia babu US ni za walipakodi wao wanaenda kuzipigia katerero.
 
Tatizo la UFISADI Tanganyika ni la kudumu na halina chama, Leticia Nyerere hana elimu yeyote na anaishi USA kwa ubabaishaji. CDM wamempa Ubunge wa viti maalum huyu dada ambaye ni mkazi wa Marekani. Huyu Fake Nyerere aliteuliwa Uwaziri kivuli, lakini kwa kukosa elimu na uchungu na Tanganyika, aliomba kujiuzulu. Huu ni UFISADI mkubwa uliofanywa na CDM. Pia kuna yule Mwanamke alietelekezwa na Dr. Slaa ambaye naye ni Mbunge wa kuteuliwa. Alipewa hiko cheo, kuhakikisha anapata kipato ili kuficha maovu aliyofanyiwa na Slaa. Yule Mama nae pia hana elimu yeyote na sio mtetezi wa Mtanganyika. Pesa zetu walipa kodi, zinamsaidia Dr. Slaa kutunza watoto aliotelekeza. Kuna watu wengi wenye elimu na Uchungu na Tanganyika, ambao kama wangepewa nafasi hizi mbili adimu, Miccm wangekimbia bunge.
 
umesahau BILICANAS aliyomkodishia Mbowe na ghorofa zote za Moshi mjini
Hebu tuchangie mali za riz 1.
Ana. Aman bank.
Lake oil. Kamel oil.
Kamel cement.
Transports malori 300.
Magorofa kam 25. Kwa dar tu. panone zote tanzania.
Kiwanda cha unga cha azania.
Ratco mabasi ya tanga. Endeleza tafadhali.
!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wewe KIBE kijana mdogo lakini unashabikia MAGAMBA,sasa wewe unadhani huo utajiri wa Ridhi unaendana na umri wake?aaah nyie MAGAMBA bwana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom