Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Safi sana ila itawagharimu CCM, maana tayari walishawaingiza matajiri na matapeli kwenye system zao
za ushindi, Leo hii huwezi kushunda jimbo lolote bila ya hawa magwiji. Kazi kwaon na Hongera kwa CDM maana
hasira za mafisadi furaa kwa CDM.
 
Rostam-Aziz.jpg


First of all the presumption of innocence is a longstanding feature of both of our civilian laws and it is a critical part of our tradition of justice and deeply imbedded in our culture as well as our systems of justice as reflected in the language of the United Republic of Tanzania constitution and this presumption of innocence is directly related to the requirement that guilt be established by legal and competent evidence beyond a reasonable doubt; put another way, the presumption of innocence embodies the principle that one accused of a crime is entitled to have his guilt or innocence determined solely on the basis of the evidence introduced at trial, and not on grounds of official suspicion, indictment, continued custody, or other circumstances not adduced as proof at trial.

I'm sorry to say this lakini kila mtu anajua kuwa INDEPENDENT THOUGHT is not a concept with which very many JF members...aka "GREAT THINKERS" are familiar or comfortable. Most here want to have their emotions stroked, to be told what they want to hear. They already know what they think. A different breed of JF member aka INDEPENDENT THINKER's A writer's job is to validate it, and if the poster doesn't, he is, depending on the ideology of the reader, a misogynist, a greeno CCM commie, or an operative for the JK establishment. All will agree that he is a no good SOB.

Either way some of us (minority in the case of this JF's mob mentality) have still believe no matter how much our opinions are sidelined, still believe in the presumption of innocence after all the United Republic of Tanzania isn't ruled by laws of the jungle. Unless anyone has a court ruling that found Rostam is gulty of the alleged wrong doing
 
There are currently 2281 users browsing this thread. (391 members and 1890 guests)
 
CCM lazima wanaumwa vichwa. Kuondoka kwa RA ndani ya CCM ni pigo kubwa sana. Mkoa wa Tabora wote utaangukia mikononi wa wapinzani, kwani kipingamizi kikubwa alikuwa ni RA. Huku sasa ni kujivua ngamba mpaka unatoka damu, na haitakiwi kuwa hivi. Hongera RA

Acha matusi hivi CCM niwakufundishwa jinsi gani watapata wa kuwapigia kura,vyama vya upinzani vyote vinapata maarifa yote ya kupambana na UFISADI kupitia mbinu wanazotumia CCM.Naona unawasikia CCM!!!!!.

Kuna wadau wanalifikia RACHEL hawata ng'oka mbona ndio mwanzo.
 
CCM ‘’ A Purposefully Scavenger
‘’CCM ‘’ A Purposefully Scavenger

Huwezi kuamini katikati ya Harakati za Wabunge wa Upinzani kuendeleza jitihada za kuikaba koo serikali. Ghafla CCM inachomoa turufu yake tata kufumba macho watanzania mpaka wachangiaji hapa JF.

Kwa mwezi mzima habari itakuwa hii huku shauku, udadisi na tetesi zikimulika kundi la mapacha wawili waliosalia itakuwaje.

Wakati haya yakiendelea, Agenda ya Umeme itasahaulika, Agenda ya kuunda Tume kuchunguza ubadhilifu katika Jeshi la Wananchi Tanzania litasahaulika, maneno ya kejeli ya Sitta yasahaulika na turufu nyingine nyingi za ukombozi wa Tanzania ambazo zimesikumwa tangu Bunge lilipoanza awamu hii.

Lets get focused People
 
yapata kama masaa 7 toka bw Rostam azizi atangaze rasmi kuachia ngazi zote ktk nyadhifa zote alizokuanazo,je unafiki sirikali ichukue hatua gan kutokana natuhuma alizokuanazo?
 
Hilo bado na kufungwa na kufikishwa mahakamani wote mafisadi kwnnye list ya list of shame ya Dr. Slaa ndio tunaweza kusema hivyo
 
 
Thanks REV Masanilo naisoma thread yako kwa aliyeikopi na kuweka mawazo muflisi maana hat sijui ipo page gani. CCM wamefanikiwa kutukamata hata hapa kwa kutuhadaa na huu upuuzi huku Bungeni wanapeta kwa kwenda mbele no one put attaention to that
 
Nimefurahishwa sana kwa Uamuzi wake! Ni viongozi wachache sana wanaoweza kuwa Accountable
Viva Rostam! Ukienda CDM watakupokea kwa mikono miwili cuz CDM ni Chama cha Wafanyabiashara wenzako
 
baada ya kusikiliza kuwa rostam azizi kaachia ubunge nilizama mtaani kujua kinachoendelea mimi kama director wa ctu mu niliwatuma watu wangu wa kazi Jack beur na tony almeida kujua ni kwanini na hii ni ripoti kamili inasemekana kuwa Mh rostam azizi ameamua kujivua magamba baada ya kuona kuwa hata rafiki wake wa karibu ****** kamtosa kiaina chanzo changu cha habari kinasema kuwa baada ya ****** kuona kuwa hawa jamaa wamefikia pabaya akaamua kuwamaliza kwa kuwatumia watu wengine kamtumia sana NAPE sasa hapa inasemekana kuwa baada ya hapa mtu anayefuatia ni mzee wa mvi yule jamaa wa arusha na bwana wa vijisenti inasemekana kuwa hii wanataka wajisafishe ili 2015 wamweke mtu ambaye hawatapata shida katika kumpigia kampeni kwani watu watakuwa na imani na chama cha magamba kwa kifupi ccm hivyo basi ****** sasa hivi hataki utani na kaamua kuanza na huyo kaja na msemo unaosema urafiki pembeni hapa kazi tu
 
MOD tunaomba mtusaidie kuna vilaza kazi yao ni kukopi current user na kuweka hapa! Wanakera hakuna asiyeweza kwenda na kuona users chini ya thread! Wanakuwa kama wadwanzi bwana lol
 
Back
Top Bottom