Rostam aibukia kanisani!

Imekuwaje Mtu ambaye sio muumini akapewa fursa ya katika Madhabahu na kusema katika ghafla rasmi ya Kikanisa/ kidini? Hapa kuna usaniii naona Paroko kaweka Pesa mbele mmno; ndiyo maana tumeona baadhi ya Makanisa yakigombania waumini Ktk Tv kwa lengo la kuongeza sadaka/ Mshiko.
 
Hapo Tunaliona Tatizo La Wazi Kwetu Watanzania, Kkkt Wameingia Tena Mtegoni.

Hawakuwa Na Sababu Ya Kufanya Hicho Kilichofanywa Na Ndg.mariki, Huo Ni Upotofu Mkubwa Ktk Imani.

Kanisani Ni Mahala Pa Wadhambi Na Si Vinginevyo.

Kanisa Lipo Kutuunganisha Na Mungu Na Si Kututenganisha Naye.

Rostam Anaweza Kuwa Ni Mdhambi Kama Tulivyo Sote Hapa , Je Ni Nini Hatima Yetu Mbele Ya Mungu Endapo Watumishi Wa Mungu Wataanza Kututenga Na Upendo Wake??

Mariki Anapaswa Awajibike Mbele Ya Mungu Na Waumini Wote.

Ingekuwa Rostam kaenda kanisani kutubu na kurudisha mali zake za wizi kwa Mungu hapo hoja yako ingekuwa na uzito. Lakini yeye alichofanya ni kwenda tu kujisafisha kuwa yeye sio fisadi na kwamba yote yasimwayo ni maneno ya vijiweni. Sasa badala ya kuzungumza na Mungu wake anakwenda kujisafisha mbele ya waumini. Wakristu wangesema ametoa Sadaka ya kifarisayo, ya kujionyesha na kujipiga kifua na kujiapiza. Sisi tumsubiri mwezi wa toba manake uko usoni labda atamrudia Manani

Asha
 
Imeandikwa: Balozi Richard Mariki, Katibu Mkuu, KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani... Si Katibu Mkuu wa KKKT Taifa.... Habari zinasema kwamba, Mchungaji na kwaya yake wamesimamishwa kwa muda, wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu nyendo zao. Nadhani Rostam anaweza kuanzisha kanisa na unaweza kusikia mgogoro kama ule wa Meru ama wa Pare

Wacha wasimamishwe kwanza na pia hizo cd ziangaliwe zilikuwa na ujumbe gani!
Na wakifungua kanisa lao watachomwa moto!
 
Imeandikwa: Balozi Richard Mariki, Katibu Mkuu, KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani... Si Katibu Mkuu wa KKKT Taifa.... Habari zinasema kwamba, Mchungaji na kwaya yake wamesimamishwa kwa muda, wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu nyendo zao. Nadhani Rostam anaweza kuanzisha kanisa na unaweza kusikia mgogoro kama ule wa Meru ama wa Pare

Akianzisha kanisa basi maneno ya Paparazi Muwazi kuhusu nia yake ya kutengeneza mgawanyiko yatatimia. Kwanini watu wasimponde kwa mawe akipita barabarani mwizi huyu ambaye utawala wa sheria umeshindwa kumchukulia hatua? When justice fails mob justice has to prevail! CHADEMA wako wapi na falsafa ya nguvu ya umma? Kuna anayepajua nyumbani kwa Rostam? Niliwaomba siku nyingi mniambie nimtembelee jamani

Asha wewe unataka kwenda nyumbani kufanya nini ?humwogopi mkewe?
 
Nilitabiri wakati wa thread ya RA kutoa mchango kanisani kuwa huyu jamaa anaweza kuwa msaada wa kujenga chuki ndani ya jamii. Na sasa tunaona. RA anapendwa na mafisadi wenzake, haya mambo ya kusema fulani ndiye alimwalika yatakuwa na madhara si kanisani tu hata huko kwingineko unless kaenda kwa mafisadi wenzake. Sasa chuki imeanza, wa kujitetea atatumia nafasi hiyo kujiondoa. Mbaya atatafutwa ambaye alimualika na wakati pesa wamechukuwa. Kama mnachukia UFISADI, RUDISHENI HIZO PESA KWAKE AU TOENI KWA WATOTO YATIMA.Mkitumia hizo pesa kwa kazi ya kanisani kweli mnaweza kukosesha watu baraka kutoka kwa MUNGU. Huo ndio ukweli.
 
Akianzisha kanisa basi maneno ya Paparazi Muwazi kuhusu nia yake ya kutengeneza mgawanyiko yatatimia. Kwanini watu wasimponde kwa mawe akipita barabarani mwizi huyu ambaye utawala wa sheria umeshindwa kumchukulia hatua? When justice fails mob justice has to prevail! CHADEMA wako wapi na falsafa ya nguvu ya umma? Kuna anayepajua nyumbani kwa Rostam? Niliwaomba siku nyingi mniambie nimtembelee jamani

Asha

Asha nauona ukweli kwenye hayo maneno yako makali! Hawa jamaa kama serikali itawaachia mtaani, wananchi wenye hasira kali wanaweza kujichukulia sheria mkononi. Serikali iweweke ndani!!!!!!!

Tamko la KKKT ni fedheha kubwa sana kwa huyu fisadi na team yao yote! Wajifunze, Mungu hachezewi!
 
mhhh!! Hapo Ni Kama Wememhukumu Mtu Wakati Sio Kazi Ya Kanisa Kufanya Hivyo. Unless Kama Hawakutamka Hivyo, Otherwise Hilo Tamko Lina Walaakini.
Sasa Jamani Huyo Mchungaji Anachukuliwa Hatua Gani? Kumualika Mi Sioni Tatizo Tatizo Ni Yale Aliyoyazungumza Pale Badala Ya Kushiriki Uzinduzi Wa Kanda Akazungumza Mengine Yasiyo Na Utukufu Wa Bwana Rostam Hapaswi Kuishi Tanzania Arudi Kwao Iran Ni Mesikitishwa Sana Na Aliyosema, Nimedhalilishwa Sana Na Nimesononeshwa Sana Huu Ni Mtihani Kwa Askofu Malasusa, Na Hiki Huyu Balozi Mariki Alichokisema Naona Amezidi Kumix Mambo Hili Ni Suala La Press Conference Na Linahitaji Myu Makini Kulipangua Na Sio Balozi Wa Nyumba Kumi
 
Nilitabiri wakati wa thread ya RA kutoa mchango kanisani kuwa huyu jamaa anaweza kuwa msaada wa kujenga chuki ndani ya jamii. Na sasa tunaona. RA anapendwa na mafisadi wenzake, haya mambo ya kusema fulani ndiye alimwalika yatakuwa na madhara si kanisani tu hata huko kwingineko unless kaenda kwa mafisadi wenzake. Sasa chuki imeanza, wa kujitetea atatumia nafasi hiyo kujiondoa. Mbaya atatafutwa ambaye alimualika na wakati pesa wamechukuwa. Kama mnachukia UFISADI, RUDISHENI HIZO PESA KWAKE AU TOENI KWA WATOTO YATIMA.Mkitumia hizo pesa kwa kazi ya kanisani kweli mnaweza kukosesha watu baraka kutoka kwa MUNGU. Huo ndio ukweli.
Ni kweli mkuu,madhara yake yameonekana nadhani ndo maana ya kikao cha KKKT.
Mkuu naona HIZO PESA wasiwapatie hata yatima,kwa kuwa yatima nao ni watoto wa Mungu,wamtupe jongoo na mti wake!(Aziz arudishiwe mali yake)
Kama alitoa ahadi au hundi na hakutoa pesa taslimu basi wamwandikie barua ya pingamizi la kupokea huo mchango kanisani.
 
Mimi nadhani statement ya KKKT inatosha. Kumbuka hili ni kanisa, wanahitaji kuwa na sura ya kanisa hata katika ongea yao. Logically nadhani pesa zitarudishwa (kama baba mchungaji hakuzila). Kweli Rostam na wenzie hawakuwa na akili kabisa! Kwenda kanisani!

Kanisa haliwezi kugawanyika hapa DSM. Kama litagawanyika kwa misingi ya ufisadi naligawanyike. Lakini mwisho ukweli utashinda.
 
Pengine kwa kujua ama kutokujua Kanisa (KKKT) limeingia katika malumbano ya ajabu. Hapa limetoa hukumu moja kwa moja na nafikiri hapa ni kupotea.
 
Habari za kuaminika zinasema hatua fulani zimechukuliwa ikiwemo kusimamishwa kwa mchungaji wa Kanisa hilo na pia kuamuru fedha zilizopokelewa kurudishwa kwa Rostam.
 
Hapo Tunaliona Tatizo La Wazi Kwetu Watanzania, Kkkt Wameingia Tena Mtegoni.

Hawakuwa Na Sababu Ya Kufanya Hicho Kilichofanywa Na Ndg.mariki, Huo Ni Upotofu Mkubwa Ktk Imani.

Kanisani Ni Mahala Pa Wadhambi Na Si Vinginevyo.

Kanisa Lipo Kutuunganisha Na Mungu Na Si Kututenganisha Naye.

Rostam Anaweza Kuwa Ni Mdhambi Kama Tulivyo Sote Hapa , Je Ni Nini Hatima Yetu Mbele Ya Mungu Endapo Watumishi Wa Mungu Wataanza Kututenga Na Upendo Wake??

Mariki Anapaswa Awajibike Mbele Ya Mungu Na Waumini Wote.

Mkuu naomba nitofautiane na wewe,

Mungu mwenye rehema tunayemuabudu anakupokea ukienda kwa nia njema ya kutubu makosa yako na kurudi kundini. Lakini huwezi kwenda kutumia wema wake kufanikisha mipango yako miovu na ubaradhuli. RA kama alikwenda KKKT kama muumini mwingine, kujumuika na wanakanisa, hatuna neno, wote sisi ni wadhambi.

Lakini hata Muumba wetu hakubali uende kanisani kuhalalisha maovu yako! Ni kama kuwadhihaki wale waendao kanisani kila mara. Mungu hanunuliki kwa Pesa wala chochote na isingekuwa jambo la busara kwa kanisa kukaa kimya baada ya kugundua dhamira iliyompeleka bwana RA pale kanisani kwamba haikuwa njema

Kama binadamu mkosaji ninayejaribu kuwa mkristu, naungana na kuisupport Kauli ya ndugu MARIKI wa KKKT.
 
Tutafakari kidogo. Nafikiri hafla husika ilikuwa ni fundrising ya kwaya na kwa sababu hiyo fedha zitakuwa zimekwenda kwenye mfuko wa kwaya. Sioni sababu ya kumwajibisha mtu kwa sababu atawajibishwa kwa kosa gani? Tutafakari katika mjadala huu kosa liko wapi?
Pili, naona kanisa limewahi kutoa statement na katika hilo likatoa hukumu ambayo ni makosa. Tusisahau kuwa mtu anakuwa innocent mpaka proved otherwise na mamlaka husika (mahakama). Sijui wengine tunaonaje.
 
Sasa Jamani Huyo Mchungaji Anachukuliwa Hatua Gani? Kumualika Mi Sioni Tatizo Tatizo Ni Yale Aliyoyazungumza Pale Badala Ya Kushiriki Uzinduzi Wa Kanda Akazungumza Mengine Yasiyo Na Utukufu Wa Bwana Rostam Hapaswi Kuishi Tanzania Arudi Kwao Iran Ni Mesikitishwa Sana Na Aliyosema, Nimedhalilishwa Sana Na Nimesononeshwa Sana Huu Ni Mtihani Kwa Askofu Malasusa, Na Hiki Huyu Balozi Mariki Alichokisema Naona Amezidi Kumix Mambo Hili Ni Suala La Press Conference Na Linahitaji Myu Makini Kulipangua Na Sio Balozi Wa Nyumba Kumi

Mzee Mariki SIO Balozi wa Nyumba Kumi jamani. Katuwakilisha sana nje ya Nchi na anaheshimika sana.
 
Kumkaribisha RA knowing the situation at a time was contraversial. Well alichokisema did not help. Sasa na hizi response zinazofuata ... ni uhuni! Vijimakanisa hivi visivyokuwa na coordination yoyote vitaishia huko .... huko.

Sasa kosa la mchangaji aliyealikwa kwenye fundraising ni nini? Kinisa au watu waliomo ndani ya kanisa wanakurupuka nini?? all is vanity.... the church.....jf commentators.... RA's words at the ceremony....... all vanity
 
Balozi Mariki naye kakurupuka na wote waliofikia uamuzi huo nao wamekurupuka, Hela za Rostum ni za kifisadi na hela za waumini wa hapo ndo salama? wanajuaje?

Stupid!
 
Watu walisha lalamika jamani kataeni mihela hiyo ya MAFISADI wanayo wamwagia makanisani wao wanakumbatia tu misaada inayo mwagwa na mafisadi.
Tumegundua hata makanisani nako kuna mafisadi kwa nini wakumbatia misaada ya mafisadi?????au na wao mafisadi ndo wanaponea humo humo kuvimbisha matumbo yao.
Tumewashtuki sasa huko kanisani nako hakufai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom