Rose Kamili akamatwa na Polisi kwa kugawa rushwa Kalenga!

Yericko rose kamili ukiacha fungu la hela lakini pia kakutwa na shahada zaidi ya 137 za wapiga kura! Shahada kazitoa wapi na zanini?
 
Rose kamili mikonöni mwa polisi.
10012990_524980787613034_668066475_a.jpg
Huu uzi ulifutwa mara ya kwanza sijui kwa nini wakati picha inaongea.
 
Hiyo ndo CDM bhana! bila rushwa mambo hayaendi; ikiwezekana hata rushwa "dubai" inatolewa ili mradi mambo yaende sawa!
 
...

Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili alikuwa akifanya kikao cha ndani Kijiji cha Kitawaya, Kata ya Luhota, ghafla yeye pamoja name makamanda wengine wanawake aliokuwa nao pamoja wakazingirwa na kikosi cha Green Guard vijana wa CCM.

Wakaanza kumpiga na kumdhalilisha vibaya kisha wakampeleka ofisi za CCM Mkoa wa Iringa kwa maelekezo ya viongozi wao kitaifa na mkoa waliokuwa kwenye mkutano wao was kufunga uliofanyika eneo la Kidamali.

Sasa baadae wakagundua kuwa suala hilo litakuwa gumu kwao ndiyo ikatungwa hiyo propaganda ya kwamba wamemkata kwa rushwa il I wajenge uhalali wa kumpiga na udhalilishaji waliomfanyia.

Polisi walienda kumchukua Mama Kammili akiwa ofisi ya CCM Mkoa ambako walikuwa wakiendelea kumdhalilisha.

Tunafuatilia kwa makini na kina suala hili na tutaendelea kuwapatia taarifa.

CCM iko kwenye wakati mgumu sana wa kukabiliana na ukweli wa kushindwa uchaguzi was Kalenga na kukataliwa na wananchi mchana name usiku.

Ni sawa na mtu anayetapatapa kufa maji.

Taarifa ya a wali...

Source : Kurugenzi ya Habari


Tume kusoma kamanda.
 
Kunapicha akiwa na Fuko la Feza naipandisha Muda si Mrefu Ngoja nifike kwenye PC yangu hapa Natumia Simu.Achana na Picha akiwa na Polisi ninayo Nyingine
 
Hivi sasa ameshafikishwa Polisi,Picha nazipandisha Muda huuu hapa.
Ni aibu ya kutupwa CHADEMA Baada ya Kushindwa kwa Kila Mbinu wameamua Kuingiza Fuko la Fedha Kalenga kuhonga Wapiga kura,Kununua Shahada za Kupigia Kura.
Mbaya zaidi wameingiza Genge la Wauaji na Wamwagiaji Tindikali kama Walivyomfanya Dreva wa Mwigulu

We ni mbwa kweli, unafikiri watanzania watakusifia kwa utumbo wako huu? Nyambafuu...
 
hapana hakuna kitu kama hicho cdm hyo ni sinema ya tom na jeri wanayoicheza miccm mijangili miuza sembe mitoa rushwa miuaji
 
Cd yako ya neno uharo imeshazoeleka tafuta neno lingine

Brother Nova kumbe nawe mp....u ..z kiasi hiki , ver disgusting brother sikuweza kulifikiri hili yaani tangu umepewa UDC niliacha kabisa kuwasiliana na wewe ndipo nilipojua unafiki wako na waandishi wengine, hakuna watu maishani mwangu nawaangalia kwa jicho la busara kama waalimu, waandishi wa habari, wanasheria na madaktari , na huwa na shangazwa na watu wa kada hizi mmoja wao wao au wao wakiwa majuha. Umeniskitisha sana, maisha ya watz na athari za chama chako ww huzioni kabisa. Aibu kaka.
 
CHADEMA :A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
 
Twende kazi police wetu mpaka waseme ilikuaje na aliewakopesha jizo jela nani na watalipaje ikiwa ofisi makao makuu yao wamepanga pale ufipa
 
Bila policce, dola na washenz wachache maCCM ni wepesi sanaaaaa

Watajisahau kwa kupika issue hii.... wakat wananchi kiukweli wamewachoka mbaya.
 
Back
Top Bottom