Romance katika mapenzi!!!!!!

Typhoid

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
223
66
Kila mtu ana staili yake ya kumuandaa mpenzi wake kabla ya tendo la ndoa! Lakini mambo makubwa ambayo huwa yako common ni pamoja na;1. Kulana denda.2. Mme kuzama chumvini ama mke kula koni.
Na kuna kuna mengine mengi ambayo kila mtu anajua ili mradi tu amtimizie haja mwenzie.
Kuna baadhi huwa hawataki kabisa romance na wana sababu zao, wapo pia wengine bila romance hujamridhisha kabisa.
Kwa Wale viruka njia kama mimi nimekoma chukuchukua mademu maana nilikutana na balaa! Nilipata mpenzi baada ya kukaa mda mrefu mapumzikoni ila naona bora nirudi tena! Demu nataka kulamba denda ninakutana na harufu Kali ya kalimati, nikajilazimisha kulamba mara akaning'ata ulimi.....mmmmh mwenzenu nimekoma chukuchukua.
Ushauri: kabla ya kukutana na mwenzio hakikisha unakuwa msafi lasivyo uzuri wako hauna maana kabisa
 
Kweli Watanzania hatujui lugha!

Foreplay siyo romance na romance siyo forelay.

Bwa'nchuchu hakuna ajue kila kitu!
Na aghalabu ungeeleza hata kwa kifupi tofauti ya hayo maneno binafsi ningeku-appreciate sana!
 
Kweli Watanzania hatujui lugha!

Foreplay siyo romance na romance siyo forelay.

hata wewe hujui lugha kabisa! Fareplay ndo nini sasa katika mapenzi? This is love not soccer! Hebu jikite kwenye mada acha kurukaruka majoka!
 
Kweli Watanzania hatujui lugha!

Foreplay siyo romance na romance siyo forelay.

hata wewe hujui lugha kabisa! Foreplay ndo nini sasa katika mapenzi? This is love bwana! Hebu jikite kwenye mada acha kurukaruka majoka!
 
Kweli Watanzania hatujui lugha!

Foreplay siyo romance na romance siyo forelay.

hata wewe hujui lugha kabisa! Foreplay ndo nini sasa katika mapenzi? This is love bwana! Hebu jikite kwenye mada acha kurukaruka majoka! Kwa taarifa yako watanzania tunajua kiswahili na sio kiingereza, na hata waingereza wenyewe wanajua lugha ya kuombeana chumvi tu ukiwapiga mabombastic wanatoa macho tu
 
hata wewe hujui lugha kabisa! Fareplay ndo nini sasa katika mapenzi? This is love not soccer! Hebu jikite kwenye mada acha kurukaruka majoka!

Unachekesha kweli wewe! Nani kazungumzia "fareplay"?

Kwa taarifa yako, foreplay (siyo fareplay) ni "sexual actions (such as kissing and touching) that people do with each other before they have sex"

Source: http://www.learnersdictionary.com/search/foreplay
 
Sasa linganisha foreplay na romance uone tofauti yake

plural ro·manc·es
1 : an exciting and usually short relationship between lovers [count] ▪ They had a brief romance when they were younger. ▪ a summer romance ▪ They've ended their romance. [noncount] ▪ Their friendship blossomed into romance. ▪ a tale of love and romance

2 [noncount] : the feeling of being in love
▪ After only three years together, the romance in their relationship was gone.

3 [count] a : an exciting story often set in the past
▪ a medieval romance
b : a love story
▪ She likes reading paperback romances. ▪ an old-fashioned Hollywood romance - often used before another noun ▪ a romance novel

4 [noncount] a : the quality of something that makes it exciting and attractive
▪ the romance of the old West ▪ The novel evoked the romance of Paris in the 20s.
b : the excitement or emotional attraction that people feel for something
▪ a book about America's romance with the open road

Katika hizo maana zote hakuna panapozungumzia kushikana shikana, kutomasana, wala kulana denda!
 
Typhoid kuwa mpole uelekezwe... Kila mtu ni mjinga kwa upande wake.. Msikilize yeyote aliyeingia na kupost kwenye uzi wako,na mheshimu...

BN hajakosea kabisa.... Foreplay ni maandalizi ya jambo fulani.. Hata mchezo wa kuigiza waweza kuwa na foreplay,ni matumizi tu ya lugha...

Ila romance,si kitendo cha kimapenzi... Romance ni hali ya kuwa ndani ya penzi...

Kama kuna mahali nashindwa kuelezea niambie..
 
BwanChuchu
Romansi ni kiswahili chetu chenye maana ya kissing, touching n.k, wenyewe twaelewana vizuuuri. Kama vile tunavyosema akapiizi sasa hapo spelling hudiffer, mwingine atasema nilipeas (si njegere), mwingine pees, mwingine piss lkn twaelewana tu wenyewe!

Thanks kwa shule anyway!
 
ha ha ha ha,
duh, umenivunja mbavu

double like!

Ni kheri hata useme hivyo kuliko mtu anayeendelea kubisha tu ili mradi anabisha.

Sie Waswahili hata vituo vya mafuta huviita 'Sheli' bila ya kujali kuwa BP Shell ni moja tu ya makampuni ya mafuta. Kwa hiyo, kwa maelezo yako hayo nimeelewa na matumizi ya hivyo nayakubali.
 
Sasa linganisha foreplay na romance uone tofauti yake

plural ro·manc·es
1 : an exciting and usually short relationship between lovers [count] ▪ They had a brief romance when they were younger. ▪ a summer romance ▪ They've ended their romance. [noncount] ▪ Their friendship blossomed into romance. ▪ a tale of love and romance

2 [noncount] : the feeling of being in love
▪ After only three years together, the romance in their relationship was gone.

3 [count] a : an exciting story often set in the past
▪ a medieval romance
b : a love story
▪ She likes reading paperback romances. ▪ an old-fashioned Hollywood romance — often used before another noun ▪ a romance novel

4 [noncount] a : the quality of something that makes it exciting and attractive
▪ the romance of the old West ▪ The novel evoked the romance of Paris in the 20s.
b : the excitement or emotional attraction that people feel for something
▪ a book about America's romance with the open road

Katika hizo maana zote hakuna panapozungumzia kushikana shikana, kutomasana, wala kulana denda!

eeeehe nimekukubali babake! Samahani kukukwaza nilitaka unidadavulie namna hio
 
Back
Top Bottom