Roman catholic wanahusika?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,972
32,374
Hivi kwa nini nchi zenye waumini wengi wa Roman catholic kuna biashara kubwa za madawa ya kulevya na masikini wengi..kwa mujibu wa UN Children's Fund (UNICEF) hizo nchi zinaongoza kuwa na biashara ya ukahaba kwa watoto wadogo, vile vile TOP DRUG LODS
Manuel Noriega, Pablo Escober,Amado Carrillo,Khun Sa,Griselda Blanco,Jose Gonzalo Rodriguez, Santiago Luis Polanco, Paul Lir Alexander. The world's richest Cocaine Dealer JOAQUIN GUZMAN kwa mujibu wa forbes hana utajiri wa $1.billion kutoka Mexico, U.S. offers $5.milion ukimkamata, tuzione hizo nchi.
Major Roman Catholic countries of the world(% of population)
Argentina 92%
Brazil 95%
Bolivia 95%
Chile 70%
Colombia 90%
Costa Rica 76%
Cuba 85%
Dominican Republic 95%
Ecuador 95%
Haiti 80%
Honduras 97%
Mexico 77%
Nicaragua 58%
Panama 85%
Paraguay 90%
Malta 98%
Peru 81%
Philppines 81%
Puerto Rico 85%
Timo-Leste 98%
Venezuela 96%
Sao Tome and Principe 96%.
tujadili
 
hapo mkuu umechemka.....hizo ni nchi za south america ambazo zipo chini ya mstari wa ikweta...hazina uhusiano na dini kabisa....jamaa ndio kazi zao.
 
hapo mkuu umechemka.....hizo ni nchi za south america ambazo zipo chini ya mstari wa ikweta...hazina uhusiano na dini kabisa....jamaa ndio kazi zao.

Mkuu kama kuchemka wamechemka Vatican, hizo ndio data zao..google statistics population roman catholic
 
Roma hujaiweka na yenyewe inazalisha pia heroin au?

Rome ndio wenye dini ndio wamepeleka dini hiyo latin america, nadhani kuhusu madawa ya kulevya Rome ndio nyumbani (MAFIA)
 
Naona unataka kutukumbusha coasta ricaaa ile ya Dowans! Dowans jaman! Costa rica jamani! Rostam jaman! Mmetumaliza Tanzania.
 
Afaghstan baada ya mmarekani kutia guu huko ndo wakaanza kulima hiyo kitu .under Taliban hakukua na opium huko.
 
Back
Top Bottom