VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,356
- Thread starter
- #61
Mkuu hivi kweli unaamini kwamba OJ hakufanya hayo... ila ukweli ni kwamba hakuba concrete evidence ya kum-connect Abramavich na mambo mengi anayofanya sababu anajua anachokifanya vingi ni speculations ambazo ukienda nazo mahakamani huwezi kushinda kesi (thats what makes these guys untouchable) Sio kwamba mahakama zinawaogopa ila hata ukiwapeleka mahakamani utashindwa kesiKama kuna clear concrete evidence ya kuku-connect na any crime in the US you are done! O.J issue was circumstacial kama ilivyokuwa majuzi issue ya huyo binti wa Florida alieeepa murder ya mwanawe (K. anthony)
Bill Gates akiuwa leo na kukiwa na ushahidi wa kumtia hatiani he's gone!