Roman Abramovich : The Self Made Billionnaire

okay HAPA NIMEKUELEWA mkuu, na pia hapa bongo ma-self made tunao kibao kina SHIMBO, CHENGE, LOWASSA,KARAMAGI wote hawa ni from the scratches to riches nadhani tuwape big up sana mkuu... ~Ndio Hus au sio..
<br />
<br />
ndio bright tuwape big up.
VOR unataka kusema kabla hajajitengenezea connection ya kutosha wakati anautafuta huo utajiri hakukuwa na mtu/watu nyuma yake??!
 
Huyo jamaa utajiri wake una namna ana mtandao wake wa kimafia ukisapotiwa na kremlin la sivyo asingeweza kusurvive si umeona yaliy6tokea bilionea mwenzake khodosky kifupi huyu jamaa ni untouchable
 
<br />
<br />
ndio bright tuwape big up.
VOR unataka kusema kabla hajajitengenezea connection ya kutosha wakati anautafuta huo utajiri hakukuwa na mtu/watu nyuma yake??!

Hii kitu ndio inamfanya tumuite self made; yaani before alikuwa tu anapiga madeals mfano kuuza vitu kwenye black markets ambapo ilimpatia kipato cha kuanzisha kampuni tofauti na kufanya biashara tofauti...

Sasa opportunity ilikuja wakati Yeltsin alipoona kwamba huenda asichaguliwe tena aliomba msaada wa oligarchs (matajiri waliokuwa wanachipukia Russia) ili wamsaidie ashinde tena, ndio hapo watu walipojichukulia keki ya taifa kwa bei ndogo sana na kuwepo kwa Roman katika hii deal ni sababu ta rafiki yake wa karibu Boris (ambae kwa sasa ameshamtupa)....

Sasa ni kwamba kuwepo kwake bado mpaka hivi sasa wanasema ni connection zake nzuri na Putin na watu wengine ambao wana nguvu..., In short ni machache watu wanayoyajua kuhusu huyu mtu lakini ukweli ni kwamba yupo well connected (na kushinda kwake kwenye kumiliki Aluminium industries ambapo ni matajiri wengi walikuwa wanagombania kunapelekea kusema kwamba huyu jamaa might be untouchable na sio wa kuchezea)

Ingawa haijawa proved huenda utajiri wake na kufika hapo alipo ni wengi wamepoteza maisha yao.. hadi waandishi wa habari (kwahiyo the man is not an angel)
 
Hapana mkuu sijasema wapewe Big Up haujanielewa kabisa..., huyu jamaa na Oligarchs wengine walitumia upuuzi wa Yeltsin kujichotea mapesa na kujimilikisha keki ya taifa..., walikuwepo wengi tu, lakini baada ya Putin kuingia wengine walibanwa na kufilisiwa lakini sio huyu Roman (which brings us to ask why....?) tunagundua ni sababu ya connection zake jamaa...,

Wengi wamejaribu to go that route wameshindwa lakini jamaa ameweza na aligombana na well placed mafias na vita haikuwa ndogo... (kwahiyo mkuu hapa hakuna cha kupeana Big Up au Big Down its simply laying down the facts how did the Guy manage to acquire billions na bado anaonekana kwa watu kwamba ni mtu safi na bado hajashikwa (its needs some sort of character to achieve this..) na hapa sio kama kina Chenge et al wanaoibia watu waliolala au wanaochuma kwenye shamba la bibi..., hapana mkuu, Jamaa alitumia contacts za rafiki yake na uhusiano na Yeltsin kuchuma mapema na wengi walifanya hivyo ila jamaa alihakikisha kwamba anakuwa na connection na Putin ili wakati wenzake wanaanguka na yeye anabaki anasimama....

Yeah unaweza ukasema jamaa ni fisadi, mwizi (muuaji - hatuna ushahidi its just allegation) lakini huwezi kusema kwamba jamaa sio billionnaire au self made..., na kwa kutumia akili tofauti na kina Chege at al..., alipokuwa governor wa sehemu masikini sana huko Russia akafanya kama Robin Hood kwa kuwafanya majority ya wakazi wa hii sehemu kuwa matajiri.

Pia ukizingatia yeye ni Jew ambae baba yake kifo chake huenda kilikuwa linked na KGB huenda this is payback time...

All in all the story ya huyu mystery man is worth hearing..., and no one is saying that the man is an angel... far from it

mkuu nadhani suala hili fanya ku-compare hapo kwenye nyekundu with a critical thinking then u-contrast after that u can draw your own conclusion!!
 
mkuu nadhani suala hili fanya ku-compare hapo kwenye nyekundu with a critical thinking then u-contrast after that u can draw your own conclusion!!

Mkuu what conclusion..!!???
Jamaa alitumia opportunity ya kutajirika wakati wa Yeltsin na sio peke yake bali na ma-oligarchs wengine wengi sana..., lakini wakati wengine wameanguka kipindi cha Putin yeye anaendelea vizuri (connection and being well protected)...

Na Sababu ya kusoma alama za nyakati amekuwa Governor na kuwasaidia watu (getting allies) na pia kuuza Oil company moja huko Russia baada ya kuona kwamba huenda kukawa na backlash...

Kwa kusoma alama za nyakati pia ameweza kuinvest katika nchi nyingine na kupokelewa kama mfalme England na kubadilika from dealing illegal to making cash legally na baraka za watu...

Pia huwezi kusema kwamba kupata kwake cash ni kama kina Chenge..., mpaka alipopata Aluminium kule Russia ni Mafia wengi waliokuwa wanagombania hapo na yeye akashinda...

Kwahiyo mkuu in dirty World na kwenye people who are playing dirty jamaa ametoka na amefanikiwa kuwa hai mpaka sasa hivi..., (This is the World where getting killed or poisoned is normal) kwahiyo jamaa ana political as well as underground protection

And dont get me wrong am not saying the guy is an angel lakini even kwenye the scum of the scum the guy is the scummiest au kwenye the shrewd of the shrewd the guy must be in among them

Kumbuka hapa we are not talking about corruption alone (10%) we are talking about kushinikiza watu na vitisho vya ajabu....kwahiyo mkuu at only 45 huyu jamaa amepitia kwenye issue nyingi ambazo kuna watu hata wakiishi miaka milioni moja hawakumbwa na hata chembe ya aliyopitia huyu jamaa (and there is a lot no one knows)
 
Kwa wale ambao tuna ndoto za kuwa matajiri hasa katika nchi za Kiafrika, may be that is the way to go. Lazima uwe na connections na wanasiasa, ujue kukwepa kodi, kuwaweka wakuu wa vyombo vya usalama kama polisi kwenye ''payroll'' yako.

Kwa kifupi, usifuate sheria na uwe unajua jinsi gani ya kujinasua kwenye mitego pindi ukinasa! Otherwise, kaa ofisini, fanya kazi, subiri mshahara mwisho wa mwezi!
 
Au tengeneza product yako mwenywe ambayo kila mtu ataitaka, lakini kwa sasa kwenye hii dunia iliojaa ufisadi ni vigumu kutoka bila kujichanganya na wewe kuwa kafisadi fulani
 
Jamaa kwa kujiweka sehemu nzuri na Warusi wapenda michezo aliamua kubeba jukumu la kuidhamini timu ya Taifa ya Football kwa kulipa mishahara wachezaji pamoja na kocha wa Timu, alimtumia vyema Guus Hiddink kuifikisha mbali sana timu ya nchi yake. Kwa kifupi huyu jamaa ni zimwi liijualo nchi yake, siyo sawa n mafisadi wetu wanaiba halafu wanaenda kunufaisha nchi nyingine.
 
Mimi binafsi I have tons of respect for people like Bill Gates, Sam Walton, Warren Buffet or Mark Zuckerberg...matajir ambao wameanzia from the scratch na juhudi zao za kujihusisha ktk biashara za uhalali na uwazi na at the same time wanalipa kodi, they give back billions to the society. Hawajauwa mtu wala watu, kodi wanalipa, hawajajihusisha na ufisadi wala umafia, na wanasaidia ktk elimu na afya.
Nafahamu Pesa ni pesa, Utajiri ni utajiri lakini watu kama akina Abramovich, Carlos Slim, Rostam etc wote hawa ni wezi, mafia, wameuwa watu, kodi hawajalipa na sio mfano mzuri ktk jamii. Utajiri wao umepatikana kwa njia za wizi, ufisadi, na umwagaji damu za watu
 
Mkuu ukiangalia vizuri hata Gates is not so much of an Angel (muulize Steve Job atakwambia..).., anyway ni kweli hawa ni majambazi na sio watu wa kuwasifia lakini unapoona wamefanya madudu na bado wanapeta inabidi ujiulize how do they do it..? and are they that bad au people wanaowalinda ndio wabaya zaidi...??

Pili hata kama unataka kuwashika wanakuwa ni wepesi wa kukimbia mitego na ni vigumu kuwashika... na maybe just maybe wangeweka hizo determination na nguvu zao kwenye biashara halali huenda wangefanikiwa pia (my point being huwezi kuwa as powerful as these people by being dumb au kwa kutumia nguvu peke yake)
 
....................My Take
The Man did it all by himself na kwa kipindi kifupi sana kwa kutumia advantage, zilizokuwepo, (corruption na Umafia uliopo Russia). In short jamaa sio wa kuchezea

Umekwisha sema huyu ni mafioso chacha kwa nini maleta habari za wezi hapa na kuwapamba? Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Umekwisha sema huyu ni mafioso chacha kwa nini maleta habari za wezi hapa na kuwapamba? Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Hakuna anayempamba mkuu hii ni kuonyesha ile bad history aliyotokea huyu jamaa sababu kuna watu hawajui..., ila the fact remain jamaa sio kwa kuchezea hapo hakuna kupamba wala kupunguza its just facts mkuu of a well known celebrity
 
Mkuu ukiangalia vizuri hata Gates is not so much of an Angel (muulize Steve Job atakwambia..).., anyway ni kweli hawa ni majambazi na sio watu wa kuwasifia lakini unapoona wamefanya madudu na bado wanapeta inabidi ujiulize how do they do it..? and are they that bad au people wanaowalinda ndio wabaya zaidi...??

Pili hata kama unataka kuwashika wanakuwa ni wepesi wa kukimbia mitego na ni vigumu kuwashika... na maybe just maybe wangeweka hizo determination na nguvu zao kwenye biashara halali huenda wangefanikiwa pia (my point being huwezi kuwa as powerful as these people by being dumb au kwa kutumia nguvu peke yake)
Tuambie alimfanya nini Jobs?

Katafute kitabu cha Paul Allen he talked about how ruthless Bill Gates was/is......
 
Mkuu ungeweka source kuwa imetafsiliwa kutoka Wikipedia.

Mkuu una uhakika na unachokisema au umeamua tu kuongea...

Mkuu hii issue imetoka kwenye source mbalimbali pamoja na kitabu kwa jina la Abramavich the self made millionnaire tatizo mkuu unashindwa kujua kwamba hata wikipedia inatoa source kutoka kwenye sources tofauti na mtu yoyote anaweza akaongeza au kupunguza kitu (at that its not such a reliable source)..

Hivi hujui kwamba passage moja kutoka kwenye source moja inaweza kuwa duplicated katika sources nyingine zote...?? Au hujui kwamba gazeti la za Times waliamua kwenda russia na kuanza kumchimba na kuangalia jamaa ametokea wapi hadi kuja chelsea (kama mkuu wewe source yako pekee ni wikipedia basi ujue huenda information unazotoa haziko authentic)
 
Mkuu ukiangalia vizuri hata Gates is not so much of an Angel (muulize Steve Job atakwambia..).., anyway ni kweli hawa ni majambazi na sio watu wa kuwasifia lakini unapoona wamefanya madudu na bado wanapeta inabidi ujiulize how do they do it..? and are they that bad au people wanaowalinda ndio wabaya zaidi...??

Pili hata kama unataka kuwashika wanakuwa ni wepesi wa kukimbia mitego na ni vigumu kuwashika... na maybe just maybe wangeweka hizo determination na nguvu zao kwenye biashara halali huenda wangefanikiwa pia (my point being huwezi kuwa as powerful as these people by being dumb au kwa kutumia nguvu peke yake)

Hawa akina Abramovich wangekuwa wanaishi USA basi cha moto wangekiona I mean kodi wangelipa na ikibainika ama kuwa-proved kuna murder, tax evasion basi sheria US inachukua mkondo wake bila kujalisha wewe ni billionaire or not. Kamwuulize the legendary mafia gangster, Al Capone nini kilimpata pamoja na utajiri wake na ubabe wake
 
Mkuu ukiangalia vizuri hata Gates is not so much of an Angel (muulize Steve Job atakwambia..).., anyway ni kweli hawa ni majambazi na sio watu wa kuwasifia lakini unapoona wamefanya madudu na bado wanapeta inabidi ujiulize how do they do it..? and are they that bad au people wanaowalinda ndio wabaya zaidi...??

Pili hata kama unataka kuwashika wanakuwa ni wepesi wa kukimbia mitego na ni vigumu kuwashika... na maybe just maybe wangeweka hizo determination na nguvu zao kwenye biashara halali huenda wangefanikiwa pia (my point being huwezi kuwa as powerful as these people by being dumb au kwa kutumia nguvu peke yake)
Gates na Jobs beef yao iko kwenye competition ya technology. Kama Jobs angekuwa na hardcore evidence ya kummaliza Gates angeshafanya hivyo. Hawa jamaa hawapendani na hawatopendana hadi kifo. Lakini Gates hajauwa watu wala kukwepa kodi wala kufanya ufisadi wote. Gates ndio model ya billionaires wote wenye kufanya biashara za uwazi na uhalali
 
microsoft chini ya gates ilikuwa na kawaida ya kuwa force
watengeneza computers kuweka oerating system ya window na hivyo kutompa
mtumiaji nafasi ya kujaribu operating system zingine na kuona ubora wake
alikuwa anavunja sheria za competition
 
Gates na Jobs beef yao iko kwenye competition ya technology. Kama Jobs angekuwa na hardcore evidence ya kummaliza Gates angeshafanya hivyo. Hawa jamaa hawapendani na hawatopendana hadi kifo. Lakini Gates hajauwa watu wala kukwepa kodi wala kufanya ufisadi wote. Gates ndio model ya billionaires wote wenye kufanya biashara za uwazi na uhalali
Mkuu uhalali au ulipaji kodi I cant say sababu hakuna evidence, kuhusu kuua mtu ni kweli hakuna kashfa kama hiyo ambao ilishawahi kuwa connected na bill gates... Kuhusu beef ya Gates na Job haipo sababu ya competition tu ipo sababu ya Graphical User Interface kwenye windows.., Baada ya msaada mzuri wa IBM kununua operating system kwa Gates (ingawa software haikuwa yake ilikuwa ni ya jamaa fulani Gates alichofanya ni kununua kwa huyu jamaa na kuingia deal na IBM kwamba computer zao zote zitakuwa na Operating system yake) hii ndio iliompandisha chati gates...

Lakini Job katika tembea tembea zake huko kwenye kampuni ya Xerox akaona jinsi ambavyo anaweza akatumia graphical user interface na mouse kwenye computer na sio command prompt basi Job akapata wazo la kutumia hii idea kwenye mac computer zake

Hivyo basi Job alivyo kuwa show off akaamua kuitisha show ya kuonyesha jinsi the new Mac computer itakavyokuwa na graphical user interface.., lakini kumbe na Gates na yeye alikuwepo pale.., Na kwa ujanja wake akachukua ile idea akenda kwa kasi sana akatoa windows version 3.1 haraka kabla mac hazijaingia sokoni.., In so doing akawa amemuwahi Job na kwenye software mtu akishapata bidhaa ya A ni vigumu kuinvest kwenye bidhaa ya B

Basi ugomvi ni kwamba Job anasema kwamba Gates ni mwizi na aliiba idea yake, wakati Gates anasema kwamba sio yako mimi niliiona tu kwako lakini originally idea ilikuwa ni ya Xerox..

Kwahiyo mkuu if you dig deep maybe there is no such thing as a squeaky clean businessman
 
Back
Top Bottom