Roketi inarudije katika kinu chake? Je, inarudi kinyunyume au?

rocket ndio nini au ambazo hua zinapita huku zinaacha moshi angani je hua zinapita vipi kwenye anga za mataifa mbalimbali bila ruksa na mbona sijawahi kuona milipuko yoyote

hoja nzuri sana eti zinapitaje anga nyingine pasipo ruksa? wakizitungua je?
 
Kama ni simple question, why not answer him na mada ikaisha. Na wale mnaosema Google inamaliza kila kitu mpo sawa, lakini kama kuna option ya kufundishwa kwa urahisi kupitia JF kwa nini kutumia njia ndefu ya ku-google na kuanza kuchagua cha kusoma?

Google itakupa mwongozo wapi utapata maelezo kwa upana zaidi tena na facts. Sio kila simple question uje kuuliza JF na kama unataka hapa iwe sehemu ya umbeya au utukuyu hiyo ni juu yako
 
rocket ndio nini au ambazo hua zinapita huku zinaacha moshi angani je hua zinapita vipi kwenye anga za mataifa mbalimbali bila ruksa na mbona sijawahi kuona milipuko yoyote

hoja nzuri sana eti zinapitaje anga nyingine pasipo ruksa? wakizitungua je?

Mkuu ile unayoina ikipita juu sana bila muungurumo ikiacha mchirizi kama moshi nyuma ni ndege za kawaida kabisa. Zamani tulikuwa tukiziita rocket. Ukweli ni ndege ya kawaida. ule unaona kama moshi C moshi bali ni joto linalotoka kwenye xzost ya ndege na kuyeyusha hewa yenye ubaridi huko angani.

Kutosokia kwako muungurumo wa ndege hii ni kwa sababu ndege inapita mbali sana kiasi ambacho masikio yako yanashindwa kusense.
 
Sasa wale wanaoendaga international space station (ISS) na kukaa huko miezi kadhaa wanarudije? Kumbuka kuwa kule pia huwa inatua, process yake inaitwa docking..., Hao watu hutumia hiyo spacecraft kurudi duniani. Mfanon ni hawa walioenda juzi ISS kwa kutumia rocket inayoitwa Soyuz (ikiongozwa na Muingireza Tim Peake). Ni lazima watatumia Soyuz kurudi..., je hutua kinyume nyume?

Au wale walioenda Moon walituaje? maana walitumia rocket ile ile (Apollo) ambayo haikutua mwezini (sababu wangekosa machine ya kurushia rocket). Hivyo ilibaki kwenye anga la mwezi mpaka walipomaliza utafiti, wakati inarudi duniani walitua kwa process iitwayo docking.

Hata wale walioenda mwezini (Moon landing), walirudi na rocket ile ile (Apollo series). Haikutua mwezini kwa sababu wangekosa mashine ya kuwarusha..., hivyo iliendelea kubaki kwenye anga la mwezi mpaka walipomaliza utafiti wao na kudandia. Hapa dunia ilitua kwa process inayoitwa docking..., Je docking ni nini?

Ni hayo tu

hatari sana.

Muingereza aliongoza Soyuzi?

Soyuzi zote zinaendeshwa na Warusi.

na hakuna safari ya kwenda ISS ambayo dereva si Mrusi.

Na huyo aliyeendesha juzi kwa uzoefu wa kuendesha Soyuz ni wa saba.

Huyo Muingereza ndio mtu wa kwanza wa Uingereza kwenda ISS. alikuwa nakodoa tu macho na kila kitu kwake kilikuaa kipya.
 
hatari sana.

Muingereza aliongoza Soyuzi?

Soyuzi zote zinaendeshwa na Warusi.

na hakuna safari ya kwenda ISS ambayo dereva si Mrusi.

Na huyo aliyeendesha juzi kwa uzoefu wa kuendesha Soyuz ni wa saba.

Huyo Muingereza ndio mtu wa kwanza wa Uingereza kwenda ISS. alikuwa nakodoa tu macho na kila kitu kwake kilikuaa kipya.

embu chimbua vzuri hapa
 
Murusi,

Hii picha siyo Rocket ya NASA. Hawa ni Warusi na kama ulivyoweka picha nyingine ikionyesha SOYUZ rocket, hata picha unaona kabisa ni hizohizo za Warusi.

Warusi wanaziunda Rocket zao ndani ya Russia na baadaye wanazisafirisha kwa Train hadi nchi ya jirani ya Kazakhstan na huko ndiyo ipo sehemu ya kuzirushia hadi tangu enzi ya akina GAGARIN hadi leo.

Hilo ni Gari likwa limebeba NASA likiipeleka kwenye kituo chake cha kurukia. Ukweli ni kwamba kuna magari special ya kuibeba roketi hizo pindi zinapo rudi toka anga za juu
article-1372645-0B724A6200000578-45_634x286.jpg


Yes, hizo Gari ndiyo inasemekana gari lenye nguvu kuzidi yote duniani. Hilo lote huwa lipo ndani ya hili jumba chini kwenye picha ambapo Rocket zote huwa zinaungwa hapo na vifaa vinavyotakiwa kubebwa na baadaye kupachikwa kwenye hilo gari na kupelekwa kwenda kurushwa. Ni umbali mfupi sana ukilinganisha na Warusi kwani ni kama ndani ya hilo eneo moja la NASA. Ukiwa point moja unaona point nyingine.

03pd3166.jpg
 
Mkuu,
I hate you for this (in Positive way).
Nilikuwa mtu napenda sana kufuatilia hizi habari za anga. Nilishaangalia film nyingi sana na kusoma habari za mambo ya vyombo vinavyokwenda angani. Ilikuwa ndito yangu kubwa kuona hiyo Shuttle ikirushwa angani.
Niliishia kuangalia film na kuangalia kwenye Google Earth eneo lilivyo. Huna ninafika hatua najisikia nikifa Kazakhstan na Florida wanaporushia hayo madude, basi ntakuwa kama vile nimeshafika hapo tayari.

Ila kwa Warusi, kuna story zinadai kuwa Yuri Gagarin hakuwa mtu wa kwanza kwenda angani. Wa kwanza au watu wa awali walikufa na Warusi wakakaa kimya. Gagarin aliporudi salama ndiyo wakamtangaza kuwa ni mtu kwa kwanza kwenda nje ya anga la dunia na kurudi salama duniani.

image.jpg
yuri_gagarin_street_by_utico-d3dn4e3.jpg


Mitaa ya West Europe. Mmoja ni UK na mwingine ni GERMAN.

Unaongelea nini? Unaelewa kirefu cha NASA na maana yake? Kwa nini shirika unalilinganisha na Soyuz (roketi ya Warusi)? Hiyo kwenye picha ni Space Shuttle na zote zimeishaacha kufanya kazi na kwa sasa Wamarekani hawana roketi ya kupekeka watu anga za juu na wanadandia za Warusi kwenda kwenye Space Station.

Niliwahi kushuhudia shuttle Discovery ikiruka pale Cape Canaveral Florida. Ni tukio la aina yake na niliheshimu uwezo wa binadamu na sayansi kwa ujumla!
 
Google! Nenda NASA website kuna live view unaweza kuuliza swali. Rocket inakuwa na stegi kama tatu za kuruka. Kipande cha kwanza huungua na kuiachia, kinachofuata huungua baada ya re entry ndo inabaki chombo kinachokwenda kwenye space kama kile kilichowafikisha wanaanga juzi kwenye space station kilichotengenezwa na warusi (soyuz) na space shuttle ya NASA ambayo imepumzishwa. Space shuttle hurudi kama ndege ya kawaida na hutua kwenye uwanja wake special lakini soyuz hudondoka baharini na kuelea.

Rocket hutumika kurusha vitu kama setelite kwenye anga na huungua na kupotea angani kama walivyosema watangulizi wangu.
 
Wakuu,

Tunatambua kuwa ndege aina ya roketi hukaa katika vinu vya kurukia zikiwa zimetazama kuelekea juu, vichwa vikiwa juu na anapochomoka kwenda anga za mbali huondoka kwa staili hiyo, sasa hizo roketi zinarudije katika vinu au stesheni zao? Kwa sababu ikirudi inabidi ikae vilevile kama mwanzo, yaani inakua wima kichwa kinanyanyuka kwa juu kama awali.

Swali: sasa inarudije kwenye kinu mpaka ikae wima vile au inarudi kinyume nyume kama gari?

Mpwa Bange Unayokula Sio Nzuri Kabisa Aisee
 
Mkuu tafuta muvi inaitwa armageddon ya bruce wills na ben afleck utaona kila kitu kuhusu hayo mambo.....
 
[h=1]Soma hapa chini:

What Is a Rocket?[/h]
NASA's Saturn V rocket carried humans to the moon.
Credits: NASA



robert_h_goddard_and_liquid_fueled_rocket_1926.jpg

Robert Goddard built the first liquid-fuel rocket.
Credits: NASA



edu_falcon_9_dragon_spacecx_launch.jpg

The Falcon 9 rocket carries supplies to the space station.
Credits: NASA



This article is part of the NASA Knows! (Grades K-4) series.

The word "rocket" can mean different things. Most people think of a tall, thin, round vehicle. They think of a rocket that launches into space. "Rocket" can mean a type of engine. The word also can mean a vehicle that uses that engine.

How Does a Rocket Engine Work?
Like most engines, rockets burn fuel. Most rocket engines turn the fuel into hot gas. The engine pushes the gas out its back. The gas makes the rocket move forward.

A rocket is different from a jet engine. A jet engine needs air to work. A rocket engine doesn't need air. It carries with it everything it needs. A rocket engine works in space, where there is no air.

There are two main types of rocket engines. Some rockets use liquid fuel. The main engines on the space shuttle orbiter use liquid fuel. The Russian Soyuz uses liquid fuels. Other rockets use solid fuels. On the side of the space shuttle are two white solid rocket boosters. They use solid fuels. Fireworks and model rockets also fly using solid fuels.

Why Does a Rocket Work?
In space, an engine has nothing to push against. So how do rockets move there? Rockets work by a scientific rule called Newton's third law of motion. English scientist Sir Isaac Newton listed three Laws of Motion. He did this more than 300 years ago. His third law says that for every action, there is an equal and opposite reaction. The rocket pushes on its exhaust. The exhaust pushes the rocket, too. The rocket pushes the exhaust backward. The exhaust makes the rocket move forward.

This rule can be seen on Earth. Imagine a person standing on a skateboard. Imagine that person throwing a bowling ball. The ball will go forward. The person on the skateboard will move, too. The person will move backward. Because the person is heavier, the bowling ball will move farther.

When Were Rockets Invented?
The first rockets we know about were used in China in the 1200s. These solid rockets were used for fireworks. Armies also used them in wars. In the next 700 years, people made bigger and better solid rockets. Many of these were used for wars too. In 1969, the United States launched the first men to land on the moon using a Saturn V rocket.

How Does NASA Use Rockets?
Early NASA missions used rockets built by the military. Alan Shepard was the first American in space. He flew on the U.S. Army's Redstone rocket. John Glenn was the first American in orbit. He flew on an Atlas rocket. NASA's Gemini missions used the Titan II rocket. The first rockets NASA built to launch astronauts were the Saturn I, the Saturn IB and the Saturn V. These rockets were used for the Apollo missions. The Apollo missions sent men to the moon. A Saturn V also launched the Skylab space station. The space shuttle uses rocket engines.
NASA uses rockets to launch satellites. It also uses rockets to send probes to other worlds. These rockets include the Atlas V, the Delta II, the Pegasus and Taurus. NASA uses smaller "sounding rockets" for scientific research. These rockets go up and come back down. They do not fly into orbit.

How Will NASA Use Rockets in the Future?
New rockets are being developed today. They will launch astronauts on future missions.

The new rockets will not look like the space shuttle. These rockets will look more like earlier ones. They will be tall and round and thin. These rockets will take astronauts into space. They will take supplies to the International Space Station. NASA also is working on a powerful new rocket called a heavy lift vehicle. This rocket will be able to take big loads into space.

Together, these new rockets will make it possible to explore other worlds. Someday they may send humans to Mars.

Read What Is a Rocket? (Grades 5-8)
Return to NASA Knows! (Grades K-4)
Return to Students K-4
David Hitt/NASA Educational Technology Services

Last Updated: Sept. 8, 2015
Editor: Sandra May

Sasa nmejua kwa nn dr mwaka alikuwa dr bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzaz wakat kasoma mwaka 1 badala ya miaka 9
 
rocket ndio nini au ambazo hua zinapita huku zinaacha moshi angani je hua zinapita vipi kwenye anga za mataifa mbalimbali bila ruksa na mbona sijawahi kuona milipuko yoyote

Mkuu umeniwah nlitaka kuuliza nmeona watu wanatema shule nikaogopa
 
Mkuu ile unayoina ikipita juu sana bila muungurumo ikiacha mchirizi kama moshi nyuma ni ndege za kawaida kabisa. Zamani tulikuwa tukiziita rocket. Ukweli ni ndege ya kawaida. ule unaona kama moshi C moshi bali ni joto linalotoka kwenye xzost ya ndege na kuyeyusha hewa yenye ubaridi huko angani.

Kutosokia kwako muungurumo wa ndege hii ni kwa sababu ndege inapita mbali sana kiasi ambacho masikio yako yanashindwa kusense.

Ahsante mkuu m nlijua rockets na wadogo zangu nmewambia kaz ni kwabadilisha maana wslishaniamin kaka yao
 
Back
Top Bottom