acha wehu,kama ishu ni net basi vyuo vifungwe,kuna desa lisilokuwepo net?btw sio wote wanajua lugha ya kidhunguInternet unayotumia inaweza kukupa majibu yote unayohitaji. Lakini mara nyingi watu wengi, hasa watanzania hawatumii internet kwa kujifunza. Kama wewe hapo.
Unaongelea nini? Unaelewa kirefu cha NASA na maana yake? Kwa nini shirika unalilinganisha na Soyuz (roketi ya Warusi)? Hiyo kwenye picha ni Space Shuttle na zote zimeishaacha kufanya kazi na kwa sasa Wamarekani hawana roketi ya kupekeka watu anga za juu na wanadandia za Warusi kwenda kwenye Space Station.Ila kuna tofauti kati ya NASA na SOYUS
Sio lazima irudi iliporukia,kuna baadhi ya vitu hupotea angani na sio kwamba rocket hurudi yote kamili kama ilivyoruka!
Nimekujibu kwa uelewa wangu.
kwa hiyo una maanisha uwa inameguka meguka ikifika angani?
Hakuna roket inarudi kwenye kinu chake. roket ikiushwa basi ndio hairudi ina tumika mara moja tu. Kuna ya aina moja tu - Space shuttle ya marekani ambayo inaruka kama roket na inauwa kama ndege na inatumka tena
Rocket ikiruka hairudi tena inachanguka na kurudi kama ndege ya kawaida mabaki yana baki kwenye Space na kupotea humo humo hakuna rocket inayorudi wanatudi wana anga na ndge iliyowekwa pembeni ya rocket kazibya rocket ni kukufikisha tu na si kukurudisha kama ikitokea kurudi ni bomu sehemu itakayotua
umesema mwenye kwamba ikifika angani kuna tuvitu vitu fulani tunameguka na kupotea, sasa taja ata kimojawapo hili tukuamini
huu ndo udhaifu wa sie wabongo kujiongeza ni shida sanaa.....juzi tuu rocket imerushwa na inaonyeshwa live inavyo toa baadhi ya viungo vyake mtu anakuja kuuliza hapa....!
Hahahahaha safari njema mkuu ila kuwa makini pale mikumi....nitakusubiri kimara pale stendi ya mabus yaendayo kasi ili nikushangilie
Hua zinauwanja wake special kwenye surface ya jua zinatua huko