Robert Francis Lowassa (Bob) Afikishwa Mahakamani na Wafanyakazi wa Radio 5 Arusha

Hivi wlio tuhumiwa kuwa na vyeti feki na wengine wakiwa wako ktk harakati za kustaafu utumishi wao kwa mjibu wa sheria,wao wemesha/watapewa haki zao?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Maamuzi ya shauri hilo yatatolewa na CME tarehe 1 August 2018

Aisee!!
 
Hivi wlio tuhumiwa kuwa na vyeti feki na wengine wakiwa wako ktk harakati za kustaafu utumishi wao kwa mjibu wa sheria,wao wemesha/watapewa haki zao?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Hivi kuna wanaotamani vyeti feki waendelee kulipwa???
 
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa na mkurugenzi wa Tan Communication Media wamiliki wa Radio 5, ajulikanaye kwa jina la Bob Lowassa au Robert Francis amefikishwa mahakama ya Usuluhishi na Uamuzi wa ajira CME baada ya kuwaachisha kazi wafanyakazi zaidi ya 20 kinyemela pasipo kuwalipa stahiki zao.

Chanzo cha habari hii ni mmoja wa wafanyakazi hao ambaye alisema kuwa Robert Lowassa alimtuma mwanasheria wake ajulikanaye kwa majina ya Andrew Maganga katika shauri hilo ambapo mwanasheria huyo alitamka kuwa Kampuni ya Tan Communication Media haidaiwi na mfanyakazi yoyote kitu ambacho sio ukweli kwa mujibu wa wafanyakazi hao.

Mmoja kati ya wafanyakazi hao aliachishwa kazi kwakuwa alipata maradhi ya misuli na kurudishwa nyumbani. Kampuni haijawahi kumlipia gharama za matibabu wala kumhudumia kwa chochote zaidi ya kumtelekeza. Kampuni hiyo haijawahi kujiunga na bima ya afya wala mfuko wa kijamii kwa wafanyakazi wake.

Bob Lowassa kwa upande wake hajali chochote kuhusu wafanyakazi hao kwani nguvu ya kupambana nao mahakamani anayo.

Maamuzi ya shauri hilo yatatolewa na CME tarehe 1 August 2018.

Nitaleta updates ya kitakachojiri siku hiyo, kama Bob Lowassa atashinda au wafanyakazi watapata haki yao.

Chanzo cha habari ni wafanyakazi walioachishwa kazi na Rober (Bob) Lowassa.

NB: Kama baba yao anawajali sana watanzania kwanini anashindwa kuwasaidia wafanyakazi wanaonyanyaswa na mtoto wake?
Hii tafsiri yake ni kuwa hakuna anayejali yoyote isipokuwa maslahi yake binafsi
Rober Lowasa na Edward Lowasa ni watu tofauti japo wapo related!makosa ya baba hafungwina nayonmtoto na kinyume chake ni sahihi!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
U

Unaweza ukawa na ukweli ila unaleta ushabiki au hauko informed. Kwanza Tanzania hakuna chombo cha kusuluhisha ajira kikaitwa CME. ivo hujui unalolisema. Pili TanMedia ina mkurugenzi na mwendeshaji kwa nn Bob ndio aonekane juu juu. Tatu Chimborazo cha usuluhishi uitwa tume sio mahakama japo ni quasi. Nne hakuna kokote unakoonekana kuwa na substantial interest ila ww ni bystander! Lastly huna ushaidi kama mwajiri ndio anaonea au yeye ndio kaonewa! Lastly...Cme yako ambayo kwa wengine ni CMA sio chombo cha mwisho anayeonewa ataendelea mbele kutafuta haki. Shida iko wapi apo? Hearsay is no good evidence!
 
hembu uwe unaelezea vitu kwa ufafanuzi maana ninachojua ni CMA na kirefu chake ni Commission of mediation and Arbitration (Tume ya usuluhishi na uamuzi) sasa CME maana yake ni nini? halafu haya mambo ya kuwalipa au kutowalipa sidhani kama yanakuhusu sana, pambana na hali yako Mkuu, mimi nadhani kama wangekuwa wanadai wasingeenda kwenye Tume wakati kuna mahakama, wangefungua kesi,
Nawewe unajifanya unakosoa mwenzio kumbe na wewe ni walewale.
 
Hivi kuna wanaotamani vyeti feki waendelee kulipwa???
Hivi kuna walio kwisha fahamu sababu za hao wafanyakazi kufukuzwa kazi mpaka ionekane kwa mjibu wa thread hii wameonewa ilhali hata maamzi ya kisuruhishi hata hayajatolewa?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa na mkurugenzi wa Tan Communication Media wamiliki wa Radio 5, ajulikanaye kwa jina la Bob Lowassa au Robert Francis amefikishwa mahakama ya Usuluhishi na Uamuzi wa ajira CME baada ya kuwaachisha kazi wafanyakazi zaidi ya 20 kinyemela pasipo kuwalipa stahiki zao.

Chanzo cha habari hii ni mmoja wa wafanyakazi hao ambaye alisema kuwa Robert Lowassa alimtuma mwanasheria wake ajulikanaye kwa majina ya Andrew Maganga katika shauri hilo ambapo mwanasheria huyo alitamka kuwa Kampuni ya Tan Communication Media haidaiwi na mfanyakazi yoyote kitu ambacho sio ukweli kwa mujibu wa wafanyakazi hao.

Mmoja kati ya wafanyakazi hao aliachishwa kazi kwakuwa alipata maradhi ya misuli na kurudishwa nyumbani. Kampuni haijawahi kumlipia gharama za matibabu wala kumhudumia kwa chochote zaidi ya kumtelekeza. Kampuni hiyo haijawahi kujiunga na bima ya afya wala mfuko wa kijamii kwa wafanyakazi wake.

Bob Lowassa kwa upande wake hajali chochote kuhusu wafanyakazi hao kwani nguvu ya kupambana nao mahakamani anayo.

Maamuzi ya shauri hilo yatatolewa na CME tarehe 1 August 2018.

Nitaleta updates ya kitakachojiri siku hiyo, kama Bob Lowassa atashinda au wafanyakazi watapata haki yao.

Chanzo cha habari ni wafanyakazi walioachishwa kazi na Rober (Bob) Lowassa.

NB: Kama baba yao anawajali sana watanzania kwanini anashindwa kuwasaidia wafanyakazi wanaonyanyaswa na mtoto wake?
Hii tafsiri yake ni kuwa hakuna anayejali yoyote isipokuwa maslahi yake binafsi
Waziri Mkuu wa zamani anaitwa Edward Ngoyai Lowassa inakuaje ana mtoto anaitwa Robert Francis Lowassa??

Ufafanuzi Tafadhali mtoa mada!!
 
Back
Top Bottom