Road Traffic Act document

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
952
354
Habarini wadau,

Naomba msaada wa jinsi ya kuipata document hiyo hapo juu.

Ningependa kujua haki zangu ninapokabiliana na jamaa zetu wa barabarani (traffic police),kuna maswali mengi nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu sasa na nahisi hawa traffic police mara nyingi hutumia ujinga (ignorance) wangu ya kutokujua sheria kunikandamiza (na wengine pia huenda pia wanakutana na madhila haya).

Pia ningependa kujua hii Road Trafic Act ndiyo Highway code au ni vitu viwili tofauti? Nimejaribu kusoma orodha ya traffic offences kama yalivyoorodheshwa kwenye "notification sheet" ambayo hutolewa na traffic police nashindwa kuelewa vizuri kwa sababu imeandikwa kwa ujumla sana.

Ni hayo tu wadau

 
Back
Top Bottom