Andrew Banda ni mtoto wa aliyekua rasi wa Zambiaamefikishwa mahakaman kwa kujihusisha na rushwa pamoja na kujilimbikizia mali isivyo halali,ingawa kwa sasa ni baloz mdogo nchini India,ila Andrew amepelekwa mahakaman kwa kosa la kutuhumiwa kupokea rushwa kwa kampun ya kiitaliano ambayo imeshinda zabun ya ujenzi wa barabara,lakin andrew amepinga,amesema kampun hiyo ilimlipa kihalali kwa kazi ambayo aliwafanyia(yaya ana kampuni yake),pia anatuhumia kutumia dola elfu sabini kwenye akaunti yake,ila haieleweki zilipatikanaje na alizitumiaje,pamoja na hayo mdogo wake naye anatafutwa na haijulikan alipoinawezekana kuwa kuna visasi lakini pia zambia inaonekana inapambana na Ufisad
Kwanini namtaja riz-one hapa????maana amekua akitajwa sana kuwa UKWASI wake ni wa magumashi,na watu wamekua wakiuhoji sana,,,,,jana nilisikia watu wakimzungumzia kwenye daladala,lakini hata hapa jf tumekua tukimjadili,,,,,,LISEMWALO LIPO.......ikitokea mtu akataka kumchunguza siku zijazo aungwe mkono huyu mhitim wa sheria udsm ambae hana hata miaka kumi kwenye ajira