Baba yake alisema atawapa wazawa pindi wamalizapo mkataba wao.alakini mpaka muda huu hakuna kinachoendelea kwani wale jamaa walipo maliza mkataba wao,kampuni ilibadili jina na wanaendelea kuchukua asilimali yetu kama vile haina nchi haina mwenyewe.
Mererani ipo mkoa wa manyara na mbunge wa manyara ni bwana chambiri ambae bungeni ni mpiga meza na waitikia ndio hodari.olese sendeka nae ana interest kubwa sana kwenye mgodi wa tanzanite one.
Hii nchi ni yakifamilia na yakishkaji zaidi kiasi kwamba hata miaka ishirini ijayo kama sisiemu wataendelea kungangania madarakani basi nchi itakua ni mapango kila kona kuanzia migodi ya dhahabu mpaka tanzanite.