Ritha Poulsen si mchezo

Nawashangaa sana nyie mnaoshikilia bango hasa wewe unaejibizana na Zury,, ndoa bongo???mume bongooooo??nauliza..., nyuso zimewashupaaaa kila siku maudhi ndani, muda wote unaangalia saa tu na kusikilizia hodi hadi saa tano usiku inakukuta wapiiii ndo amekumbatiwa mahali hivyo, waume zenu full kutongoza nje na kuhonga, mmebaki walinzi wa nyumba za waume zenu!kipi bora sasa, ehe kuwekwa ndani kulinda nyumba ili nawe uonekane umeolewa au kuendelea na mishe zako lakini una peace of mind?? Mtakataa na mtanishambulia lakini wanawke walio wengi hapa tanzania mna mushkeli kwenye ndoa zenu, nje mnacheka lakini ndani mnakujua wenyewe...endeleeni na unafiki hadi siku mkiingia kaburini kwa ukimwi, kiharusi au presha ndo mtajua kuwa unafiki si mzuri!! hasa wewe unaemsakama zury wewe.....
 
Last edited by a moderator:
yaani niko naangalia Nirvana EATV aisee hiki kifaa si mchezo yuko fit kila idara hadi sauti inaita si mchezo, kwa mlio karibu na tv mnaweza mcheck, kiukweli amesimama si mchezo.

images

Ana mume?Nataka nichumbie!
 
Wivu ni kidonda ukishiriki unakonda, ona povu linavyomtoka jaman.....huyu atakuwa kyln si bure, ya nini kutokwa povu hvo kwa mtu kutajwa na kusifiwa tu??

Housegirls mnatisha. Najua mnatetea ajira zenu kwa bossi. Keep it up. mtaongezwa posho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom