Rise and fall of osama bin laden

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Wamarekani wanakwambia u can run but u can never hide,utakimbia kimbia weee...alakini mwisho wake watakukamata tu.hawajamaa ni noma,huyu osama walishajua alipokua muda mrefu alakini walikua wanajipanga vipi watampata pasipo madhara,yaani wako kudhurika,inasemekana mzee mkubwa alikua anaangalia makomandoo wake wakimvamia jamaa live.hawa watu kweli noma.
 
Nilikuwa zanzibar wiki yote hii,wengi hawaamini kama OBL amekufa,wanaidhihaki Marekani utafikiri Osama kawatendea mema,ole uisifie Marekani hayo matusi hayaambiliki,kwenye vigenge vya magazeti ndio kulikuwa na vigenge vya kulaani Marekani na kudaia wa marekani ni waongo jamaa yupo hai,huo munkari kwa hakika ulinipa tafakuri nzito na kuona kumbe zanzibar kuna u,jahidina wa kutisha,niliogopa hata kutoa kauli ya kuchangia hiyo mijadala kwenye vijiwe,hapo Zenj OBL ni shujaa wao
 
na sielewi hawataamini hadi lini

Back
Top Bottom