safi sana waliambiwa watoke wakabisha
Whats that?WEWE upo apa kisiasa,walinza kubomoa jengo la tanload na kinachofuata ni lilejengo lefu la Tanesco kwani kuchelewa kwetu kulibowa ni kumsababisha mkandalasi kuchelewa kumaliza kazi kwa wakati,na utambue kuwa kila kifaa kilicho site cha mkandalasi pindi mda ukifika wa kumaliza ujenzi nyinyi hamjabomoa ina maanisha mtalipa riba ya vifaa kukaa site bila kufanya kazi na pengine mkandarasi angetaka kuvitumia sehemu nyingine
kwa hiyo maeneo yote yalio ktk hifadhi ya barabara yatabomolewa kabla mkandalasi hajaanza kazi
lile soko lilikuwa ktk ratiba ya kubomolewa tangu mda tu,na walipewa nafasi ya kuondoka hawakuondoka,ulitaka serikali ifanyeje?
towa jibu mkuu
soko la mahakama ya ndizi lililopo Manzese DSm hivi sasa linavunjwa.
Risasi na mabomu yatumika kutawanya wafanyabiashara, barabara yafungwa.
Chanzo: Radio One
safi sana waliambiwa watoke wakabisha
soko la mahakama ya ndizi lililopo Manzese DSm hivi sasa linavunjwa.
Risasi na mabomu yatumika kutawanya wafanyabiashara, barabara yafungwa.
Chanzo: Radio One
Wanapunguza stock ya mabomu ili yasije ku expire.duh,ni matumizi ya mabomu kwa kwenda mbele.....ipo siku watajiunga na waandamanaji tu hao kuipinga serikali!!!!!!!!!!!!
sehemu hile hairusiwi waliambiwa waende machinga complex wakakataa sasa ndo wanakiona cha moto
Tatizo ni CHADEMA. Naona njia ya maandamano kama Misri na Libya zinaandaliwa. Inawezekana kina Lowasa wanachochea haya mambo au?soko la mahakama ya ndizi lililopo Manzese DSm hivi sasa linavunjwa.
Risasi na mabomu yatumika kutawanya wafanyabiashara, barabara yafungwa.
Chanzo: Radio One
nahisi ni yale yaliobaki kule Gongo la Mboto, wameona wayatumie haraka kuliko kulipukiwa tena au kuingia garama za kuyateketeza...
Machinga complex haiwezi kuwa accommodate wajasiriamali hawa wote. Huwezi kuamini, wale walioko pale mchikichini wameshindwa kuenea katika hii complex. Tena, eneo hili la complx limejaa urasimu usio na mfano, wanaohusika kupewa hawajapewa na haya ndiyo yalikuwa malalmiko yao wakati Zungu alipowatembeleasehemu hile hairusiwi waliambiwa waende machinga complex wakakataa sasa ndo wanakiona cha moto
so na lile jengo la TANESCO linalotakiwa kuvunjwa vp...hivi TANESCO nao walichagua CHADEMA????hebu nisaidieni hapa!!!!!!!!!!!!!Wananchi wa Jimbo la Ubungo mpaka watie akili kuwa wanaadhibiwa kwa kuichagua CDM watakuwa wameumia sana. Na viongozi wa CDM sijui wanachukua hatua zipi kuasaidia wapiga kura wao ambao wanaumizwa kwa kuwa chagua? Tunaona wao wanaendelea na maandamano huko mikoani wakati ubungo wanaumia, tunataka tusikia tamko lao nini kati hali kama hii.
sehemu hile hairusiwi waliambiwa waende machinga complex wakakataa sasa ndo wanakiona cha moto
so na lile jengo la TANESCO linalotakiwa kuvunjwa vp...hivi TANESCO nao walichagua CHADEMA????hebu nisaidieni hapa!!!!!!!!!!!!!