Risasi zafyatuliwa Manzese kutawanya wafanyabiashara

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
soko la mahakama ya ndizi lililopo Manzese DSm hivi sasa linavunjwa.

Risasi na mabomu yatumika kutawanya wafanyabiashara, barabara yafungwa.

Chanzo: Radio One
 
hili lipo jimbo la ubungo kwa mnyika, kazi kweli kweli .......... mradi tu aonekane hafai
 
Masikini CCM, mnazidi kupandikiza mbegu za chuki kwa vijana . . .
 
duh,ni matumizi ya mabomu kwa kwenda mbele.....ipo siku watajiunga na waandamanaji tu hao kuipinga serikali!!!!!!!!!!!!
 
nadhani kama walikaidi tamko acha wapigwe,ukitaka maendeleo ya kweli weka blabla pembeni kwani hiyo barabara ni ya wtz wote na sio ya kikundi cha watu wachache,so acha wakione tunataka maendeleo bana
magufuri komaa usisikilize wapiga debe bana
 
nahisi ni yale yaliobaki kule Gongo la Mboto, wameona wayatumie haraka kuliko kulipukiwa tena au kuingia garama za kuyateketeza...
 
Kweli nimeamini mabomu na risasi inazomiliki tz havina kazi...............ni kuyamwaga tu km hivyo na km hakuna matukio km ya kuandamana yatabaki magalani na kulipuka na kuua watu zaidi..........hii ndiyo tz ya kikwete maisha bora kwa kila fisadi
 
Nimepita hapo ss hv watu ni wengi sana kuna askari kibao wafanya biashara wamenafanya vikao vya pembeni kujadili nn cha kufanya kwani kuna ambao walikuwa hata hawakufanikiwa kutoa bidhaa zao hali ni tete wana JF!
 
serikali viongozi ni wavivu sana....wanaona ni bora/rahisi kutumia silaha za moto kufanikisha mipango yao na wakati kuna sheria inaweza kutmika...kama hawa watu wamevunja sheria ....kwanini wasimatwe ,washitakiwe na kufungwa ndani au kupigwa fine!
watu watakua sugu sasa hivi..Darwin's Nightmare, watu wata evolve na kuzoea hayo mabomu na risasi ...alafu watasingizia CHADEMA tena..
 
nadhani kama walikaidi tamko acha wapigwe,ukitaka maendeleo ya kweli weka blabla pembeni kwani hiyo barabara ni ya wtz wote na sio ya kikundi cha watu wachache,so acha wakione tunataka maendeleo bana
magufuri komaa usisikilize wapiga debe bana
Wakati wanalijenga hawakujua hayo?
Je unajua historia ya hilo soko?kama hujui kaa kimya
Hilo soko lilijegwa kwa ajili ya wafanyabiashara waliokua wanafanya biashara
Manzese na kuvunjiwa Mabanda yao na kuhamishiwa hapo sasa wakivunjiwa na hapo waende wp?....
 
Hivi katika hali ya uchumi mbaya kama tuliyo nayo sasa ni muda wa kumvunjia mtu biashara yake kweli? Hata kama walishaambiwa wahame, mbona hawakupewa deadline? Hata kama walipewa deadline, serikali inachotakiwa kufanya sasa ni kuunusuru uchumi na si kutafuta sifa za kijinga.
 
nadhani kama walikaidi tamko acha wapigwe,ukitaka maendeleo ya kweli weka blabla pembeni kwani hiyo barabara ni ya wtz wote na sio ya kikundi cha watu wachache,so acha wakione tunataka maendeleo bana
magufuri komaa usisikilize wapiga debe bana
Huyo Magufuli anataka sifa za kijinga. Keshalewa sifa, na atapoteza umaarufu soon.
 
serikali viongozi ni wavivu sana....wanaona ni bora/rahisi kutumia silaha za moto kufanikisha mipango yao na wakati kuna sheria inaweza kutmika...kama hawa watu wamevunja sheria ....kwanini wasimatwe ,washitakiwe na kufungwa ndani au kupigwa fine!
watu watakua sugu sasa hivi..Darwin's Nightmare, watu wata evolve na kuzoea hayo mabomu na risasi ...alafu watasingizia CHADEMA tena..
hakuna uvivu hapo,unaongea kwa kuwa upo nje ya system,mwana watu hawaelewi ni wabishi waking'ang'ania jambo basi,tangu mda walielezwa lakini hawakutaka,je ulitaka serikali ifanyeje,kuwaongoza wtz ni issue bana,tumeweka blabla mbele

ok,kwanini walikataa kutoka,ukiwauliza wanadai wateja ni wengi pale,kwa hiyo tusifanye ujenzi wa barabara ,tuwe na msongamano eti kwa kulinda wateja
chapa tuuuuu
maendeleo kwa taifa letu bana
 
Ni sehemu ya Mazoezi ya Askari wa FFU!

Badala ya kushinda baa na ma-baa maid anglalau wamepata kazi ya kufanya!
 
Back
Top Bottom