Ripoti ya tume ya maadili ya Philip Mangula iko wapi?

Alikuwapo Philipo Mangula katika siasa ya Tanzania Chama cha Mapinduzi
Mtu huyu yuko wapi na anafanya nini sasa Kutoka Ukatibu Mkuu wa CCM mpaka jina kufifia namna hii
 
jamaa analima, CCM inamuogopa kama moto, jamaa yuko timamu sana, siasa za visasi zimemrudisha shambani kulima naamini yuko na mwenzie Thomas Nyimbo.
 
festiledi vipi,
mbona unamuulizia homeboi wangu?
si ungeni-piemu tu nikakwambia yupo LUPEMBE anajishughulisha na kilimo?...lol
 
At least ana practise kilimo kwanza kwa vitendo. Kuna siku huyu bwana atarudi katika siasa kama kichwa yake haijaharibika na utumiaji mbaya wa mbolea. Tunahitaji bado thinkers wa kiukweli kwenye hizi siasa.
 
Mangula hakuwa kwenye mtandao wa Jk, hivyo labda alirudi kijijini kwao kupiga jembe!
Pengine ataibuka mwaka huu si unajua majungu yataanza tena pale Kimwaga?
 
jamaa analima, CCM inamuogopa kama moto, jamaa yuko timamu sana, siasa za visasi zimemrudisha shambani kulima naamini yuko na mwenzie Thomas Nyimbo.

CCM jamani ndo wanaweza kukutoa kwenye sisitimu mpaka ukawa husikii namna hii ..inatisha
afadhari bwana aendeleze kilimo kwanza hongera zake
 
festiledi vipi,
mbona unamuulizia homeboi wangu?
si ungeni-piemu tu nikakwambia yupo LUPEMBE anajishughulisha na kilimo?...lol

hahaha usiku nimekaa nikawa nawaza siasa za Bongo nikaenda kiundani zaidi ndo nikamkumbuka huyu jamaa Geoff vip maendeleo yake huko Kijijini kwenu?
 
huyu mzee yupo bize na mashamba ya chai!
last time nilimuona kwenye mazishi ya amina chifupa(R.I.P)....!alikuwa mwenyeji wa wageni wa kutoka dar.

alijaribu ku-BOUNCE back kwa kugombea uenyekiti wa CCM mkoa WALIMPOTEZA VIBAYA,nilimuhurumia sana huyu mzee.

pumzika mzee wangu.lima chai,lima mahindi fanya mambo yako
 
boring news kweli hiki chama cha Visasi ..
Mheshimiwa JK naomba muda wake upite naye aondoke zake ..smile lake lile la kinafiki linaficha mengi ndani yake ..nimeboreka vya kutosha juu ya hili
 
Kwa sasa yuko Oysterbay kwenye nyumba yake alieuziwa na serikali. Yuko mtaa wa Ghuba siyo mbali sana na nyumba ya Andrew Chenge na Josef Mungai. Hupenda sana kufanya mazoezi ya kutembea kwa miguu kila asubuhi kununua magazeti hadi Morogoro Store au pale bondeni kupitia kilima nyege.

Wakati mwingine huenda Oysterbay kwenye Pharmacy ya mkwe wa Samuel Sita kununua vitamins. Au bureau de change kubadilisha dollars zake (usiniulize kama ndiyo za EPA au za uchaguzi wa mwaka 2005. Mimi sijui). Anaonekana ana afya nzuri sana na ucheshi mwingi. Katulia and quite composed. Nahisi atakuwa anaburudika na manyanga na drama ya successor wake (Babu Makamba).
 
hahahah mie sitaki kujua hizo vocha zinatoka wapi mradi nilitaka kujua yuko wapi na anafanya nini ...
 
Nilimuona siku ya mazishi ya Mkuu wetu Marehemu Rashid Kawawa pale Madale tarehe 2 January 2010. Alionekana kuwa mzima wa afya njema.
 
CCM jamani ndo wanaweza kukutoa kwenye sisitimu mpaka ukawa husikii namna hii ..inatisha
afadhari bwana aendeleze kilimo kwanza hongera zake
ndio mtu pekee mwenye taarifa sahihi na thabiti ni vipi EPA ilikua baada ya kifo cha utata cha Salome MBATIA, WANACHOFANYA NI KUMPOTEZA KATIKA DURU ZA SIASA lakini ni shahidi makini kama serikali ingekua na dhamira ya kuwawajibisha watuhumiwa halisi wa EPA.
 
asante sana Nguvumali kwa jibu lako lenye umakini ndani yake ,,CCM kweli ni Mafia najuuuuta kuifahamu
 
Ukiwa mchapakazi asiyeogopa kusema ukweli huwezi kuwa rafiki wa watu wa Pwani. EL alibwaga sababu mojawapo ilikuwa kumwambia JK his feelings in point blank. EL and JK used disagree is some pertinent issues hasa za execution of agreed jobs to the letter. EL was a follow through person that much we know... ofcouurse weakness yake ndiyo hiyo shilingi kutokatisha mbele yaka.....
 
Huyu yupo Njombe amekuwa mkulima mzuri wa viazi.
Si unajua siasa za maji taka bongo walisha mdis siku nyingi yupo yupo tu na ni mtu wa kawaida mno saizi hata akigombea ubalozi wa nyumba kumi hapati kwa sababu aliwasahau sana ndugu zake akaikumbatia Dar.
 
Back
Top Bottom