Ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu taarifa za fedha za serikali kuu kwa

nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
184
anaglieni ripoti ya ukaguzi. Nafikiri mtaweza kufungua hapa
 

Attachments

  • RIPOTI YA UKAGUZI WA UFANISI NA UPEMBUZI HADI TAREHE 31 MACHI 2011.txt
    140.8 KB · Views: 372
anaglieni ripoti ya ukaguzi. Nafikiri mtaweza kufungua hapa
nyengo, asante kwa hii ripoti, nilikuwepo Dodoma wakati CAG alipotoa ripoti hii, na nikaziposti humu JF ripoti zote nne, ila wana jf wa leo, sio wasoma ripoti, wanajf wa sasa, hawawezi tena mambo magumu, hii chakula ya jf sasa, wanataka watafutiwe hiyo chakula, wakobolewe, wapepetewe, wasagiwe, wapikiwe, wapakuliwe, walishwe, watafuniwe, wao ni kumeza tuu!.
 
Nina mwalimu wangu (mzungu) lopo lopo leo kwa mara ya pili amesema Netherlands inafunga balozi yake Tz and more donors will be pulling out. Nilisikia hasira kwa hiyo sikutaka kumuuliza in details why are they pulling out? Ila kuna mtu yeyote ana clue? Je ni statements za wanasiasa wetu za kuonyesha kutokuwa na shukurani like connecting embassies with Chadema movements? Or is it misuse of funds?
 
Back
Top Bottom