RIPOTI: Watanzania huko Uarabuni na India wanafanyishwa biashara ya ngono, hunyimwa paspoti

HALAFU HAO WAHINDI TUNAWAPA FURSA KUWEKEZA HAPA TANZANIA,HUKO KWAO WANAWADHARIRISHA DADA ZETU HAKIKA SIWAPENDI HAWA MANYANG'AU
 
Ni kweli yule kule temeke alishindwa awamu hii, sijui serikali haimuoni, tena ni wa Chama pendwa.
Yule Mbunge baba yake bibi Bomba alikuwa anawapeleka Dubai, falme za kiarabu...sio India hawa wanapeleka India sio Arabuni! Arabuni hakuna biashara hizo za ukahaba sheria zao kali sana!
 
Kazi anamaliza saa 7 usiku halafu saa kumi alfajiri awe ameamka kuanza kazi huyo ni beki tatu wa mwarabu.
 
hivi Algeria si nchi ya kiislam? kuna jamaa yangu alisoma huko na biashara hiyo ipo
Kuna mtu niliwahi kumwambi hivi, "Ukiona jamii Fulani ina sheria nyingi na KALI, ujue jamii hiyo ina maovu mengi sana" Nchi za Kiarabu zina sheria za kukata na kuua watu watakao fumaniwa wakizini, hivi unamkamataje mtu anae piga show na beki 3 wake? Haendi guest wala kuomba chumba cha mtu, anapiga show humo humo tu.
 


Watanzania wanaofanya kazi nchi za Mashariki ya Kati na Asia wanafanyiwa vitendo vya kudhalilishaji ikiwepo kufanyishwa biashara ya ngono na kunyimwa paspoti pindi wanavyotaka kurudi, hayo yamesemwa na mkuu wa kitengo cha mawasiliano na msemaji wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mindi Kasiga.

Watanzania hao wanaondoka nchini kwa kurubuniwa kuwa watapewa kazi kama kuuza duka, hoteli na kazi za ndani lakini wakifika huko wanabadlishiwa na kulazimishwa kufanya vitendo hivyo.

Wizara inashirikiana na jeshi la polisi kujua watu wanaojihusisha na kuwasafirishawatu hao wanaowasafirisha hususani nchi za Saudi Arabia Falme za kiarabu, Oman, na India

==========

Wameyataka wenyewe. Maana hata hapa ukijituma unaweza kuishi maisha mazuri zaidi ya hayo wanayoyakimbilia


Mtoto mdogo WA kike alienda dukani na mama yake , walipofika dukani yule muuza duka akamuangalia yule mtoto kisha akamwambia ingiza mkono kwenye kopo LA pipi na uchukue pipi zinazokutosha! Yule mtoto akawa hachukui pipi!, muuza duka akamwambia tena! Chota pipi humu kwenye kopo LA pipi uchukue !...bado mtoto akawa hachukui ,, mama yake akamwambia chukua pipi mwanangu! ..licha ya mama yake kumwambia, lakini mtoto hakuchukua pipi! Yule muuza duka akaingiza mkono kwenye kopo la pipi kisha akazijaza viganjani mwa yule mtoto.....mtoto akafurahi! ...walipofika nyumbani mama yake akamuuliza mbona ulivyoambiwa uchukue Ppi ulikuwa huchukui? Mtoto akajibu ni KWA sababu mikono yangu ni midogo, si umeona yule anko alivyonichotea nikapata pipi Nyingi?
JIFUNZE: Mikono yako ni midogo Sana kuchota Baraka ambazo MUNGU Kakuandalia, usiwe na haraka ya kupata jambo flani! Msubiri MUNGU AKUPE! Ukichota mwenyewe hautajitoshelezea!
 
Da March 2016 nilikuwa Delh .Ni kweli wapo na mpaka wafikishe 10.000$.Ndo wanagomboa Uhuru wap.Then na wap wanaagiza wadada toka Tanzania wakifika mchezo unaendelea.Pia niliona hii Ghounzhu China.Wanajiuza kwa dola mia ya kimarekani kwa mzunguko mmoja.So sad wapo wanaotaka kimbia ila Tatizo Lugha na kujuwa wapi pa kwenda.
Kule India niliwai msevu mmoja na kunrudisha Tanzania.
 
Me too sijawahi kuwapenda hao manyang'au
Co wote wenye roho mbaya. I used to hate them sn sn. Ila kuna cku nlipanda kandege flan ambako ac take walishindwa kuiregulate vzr so kulikua na barid isiyo kawaida na pembeni alikaa mhindi. Nakumbuka kukasirika sn kukaa nae. Nikamwomba air hostess blanket akasema zimeisha huwa wanazo chache wameshagawa. Nilikua natetemeka yule muhind pemben yangu alikua nayo alikua kaomba mapema. Akanipatia blanket yake. Ckuamini na toka cku hiyo nikawa na different perspective abt these guys. Ctageneralise my thoughts about people of any kind
 
SERIKALI itawarudisha nchini Watanzania 500, waliokwama India baada ya kampuni zilizowachukua kwenda kuwatafutia kazi, kukiuka mikataba yao na kuwalazimisha kufanya kazi tofauti ikiwemo ukahaba

Huu uwongo mwengine nani kawadanganya Watz? Tangu lini Watz wakawa wafanyakazi za ndani India?
 
Back
Top Bottom