Rihanna Akumbwa na Skendo ya Picha za Ngono

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
Nyota wa muziki wa Pop, Rihanna amekumbwa na skendo kubwa baada ya picha zake nane za utupu kuvuja na kusambaa kwenye internet. Picha hizo inahisiwa chanzo cha kuvuja kwake ni mpenzi wake wa zamani Chris Brown.

Picha hizo ambazo zimesambaa kwa kasi duniani usiku wa kuamkia leo inasemekana zilipigwa wakati nyota huyo wa muziki alipokuwa kwenye ziara ya kimuziki.

Mojawapo ya picha hizo zinamuonyesha mwanaume anayesemekana kuwa ni Chris Brown akiwa amevalishwa chupi ya kike kichwani yenye rangi ya pinki.

Picha nyingine inamuonyesha mwanamke anayeaminika kuwa ni Rihanna akiwa bafuni huku kukiwa na maandishi kwenye kioo cha bafuni yanayosema "I Love You, I Miss You - Robyn".

Robyn ndio jina halisi la Rihanna.

Picha zingine zinaonyesha Rihanna akiwa mtupu kabisa huku akionyesha mali zake alizo nazo kwenye kioo.

Wanasheria wa kampuni ya lebo ya muziki ya Rihanna, Island Def Jam Music Group, inasemekana walizitumia barua tovuti zote zilizoweka hewani picha hizo wakiwaomba waziondoe.

Kampuni hiyo ilisema picha hizo zinavunja haki za msingi za Rihanna.

Barua hizo hazikuthibitisha au kukanusha kuwa picha hizo ni za Rihanna.

Skendo hilo la Rihanna limeibuka ikiwa ni siku chache baada ya picha za utupu za mwanamuziki mwingine wa kike wa Marekani wa muziki wa R&B, Cassie kuvuja kwenye internet.

Source: Nifahamishe.com

Full story na picha hizo za Rihanna gonga hapa

http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=1954030&&Cat=8
 
yeah man......zinavutia kichizi babake naona alijipiga mwenyewe na moja kama anajipa mkono mwenyewe....this girl is dam hot!
 
yeah man......zinavutia kichizi babake naona alijipiga mwenyewe na moja kama anajipa mkono mwenyewe....this girl is dam hot!
Naona umehamia Barca na kubadilisha GOAL kabisa baada ya kupewa kipigo na MANU juzi
 
Last edited:
Hahaha picha ya CB na RiRi's panty kichwani kwake is too funny can't stop laughing!! Undava wake wote utamuisha sasa.

**Picha za Cassie na Kelis nazo zimekuwa circulated kwenye internet, noma tupu hahaha!!
 
mzee wa swagger on unaweza kutuwekea hapa mautamu hayo....
 
Unaweza kukuta kuwa Group la akina Chris Brown wameamua kumchafua Rihanna,kwani katika Tabloids mbalimbali huko West Coast inazungumzwa kuwa Rihanna ameonekana mara kadhaa hadharani na Kijana Nyota wa Laker's Andrew Bynum na kuna minong'ono kuwa wanatoka......Hiyo inawafurahisha baadhi ya akina Mama wenye msimamo mkali kama Ophrah Winfrey na Tyra Banks ambao kwa wakati tofauti wamekutana na Rihanna na kumwambia "move on" wakimaanisha asirudi tena kwa Brown ambae anaonekana kuwa na tabia za udhalilishaji.

Ili kuona vituko na ukware wa baadhi ya watu maarufu tembelea hapa www.whosdatedwho.com
 
hawa ma feminist wananikera sana.....wanataka RiRi aanze kutumia dildo kama wao......
 
- Hebu wekeni picha hapa acheni maneno mengi, weka picha hapa au niambieni zipo wapi nizimwage hapa! Hii ni JF kumkoma nyani!

FMES
 
Rihanna Akumbwa na Skendo ya Picha za Ngono
1954030.jpg

Rihanna Akumbwa na Skendo ya Picha za Ngono Saturday, May 09, 2009 2:07 PM
Nyota wa muziki wa Pop, Rihanna amekumbwa na skendo kubwa baada ya picha zake nane za utupu kuvuja na kusambaa kwenye internet. Picha hizo inahisiwa chanzo cha kuvuja kwake ni mpenzi wake wa zamani Chris Brown. Shuka chini kwa picha hizo.

Rihanna in nude photos shock

rihanna-420x0.jpg
This photo allegedly of Rihanna, plus several other nude ones, have been leaked onto the web.

Rachel Browne

May 10, 2009
 
Seems like sex tapes and so called "leaked pics" are celebrities way of making extra money without actually doing porn.....
hoopz.jpg

tehe tehe hiki kifaa hoopz kwa waliokuwa wanangalia ile show ya flavour of love na i got money haka kabinti kalishinda shilingi za kinyamwezi kibao.......aisee ni mkali hakuna ubishi i was waiting 2 see her sexy gorgeous a*s......tunasubiri za celeb wa kibongo

God bless the internet
 
I will pay 1000$ for Rita Paulsen and tycoon RM if any.....

Du mkuu hicho kibibi unadhani kuna kitu humo? nilidhani ungependa za vigoli akina flaviana matata, jokate and the likes. Du wakikusikia watoto wa RM watakushambulia hadi ujutie post hii.
 
Nimependa tiGo ya Rihana kwa kweli I think All the gold and diamond in the world are not enough to buy it....loooh! HEHEHEEH NIMEPENDA KUANGALIA TU...(herufi kubwa kama Exaud)!
 
Nimependa tiGo ya Rihana kwa kweli I think All the gold and diamond in the world are not enough to buy it....loooh! HEHEHEEH NIMEPENDA KUANGALIA TU...(herufi kubwa kama Exaud)!

hehehe mkuu angalia usijichafulie shauri yako JF haita husika na kitu kitakacho kutokea...
 
Back
Top Bottom