Rihanna Akumbwa na Skendo ya Picha za Ngono

Du mkuu hicho kibibi unadhani kuna kitu humo? nilidhani ungependa za vigoli akina flaviana matata, jokate and the likes. Du wakikusikia watoto wa RM watakushambulia hadi ujutie post hii.
hapo hakuna kitu..haitauza hiyo......nahitaji nione mitikisiko
 
Nimependa tiGo ya Rihana kwa kweli I think All the gold and diamond in the world are not enough to buy it....loooh! HEHEHEEH NIMEPENDA KUANGALIA TU...(herufi kubwa kama Exaud)!
aaah shem chriss kalikoroga sasa hivi yuko vodacom dakika moja 200.....

..umeona lakini makitu ya Hoopz
haya hapa
 
Nimependa tiGo ya Rihana kwa kweli I think All the gold and diamond in the world are not enough to buy it....loooh! HEHEHEEH NIMEPENDA KUANGALIA TU...(herufi kubwa kama Exaud)!

Please, usinipandishe presha asubuhi hii maana nitashindwa kuconcentrate na kazi hapa..Think of something to make me smile na mimi niamini umependa kwa kuangalia TU..
 
usife moyo jikaze lakini tambua mpo wengi kama unavyo jua soda ni jina moja lakini kuna fanta,sprite,coca cola na zingine zote soda lakini radha tofauti...shem naye anataka kuonja radha angalau kwa macho tu.
 
You are right shem, lazima usifie uumbaji na kuna kuzidiana kati ya watu na watu. Ndo mana nimetaka aniaminishe kuwa ame-appreciate mtoto alivyo bomba ila asijekuwa namimi huku imagine ya Rihanna inamjia, lol!..
 
kwikwikwikwikwikw
 
hahahahaha anapo kuwa na wewe anaweka kichwa cha Rihanna juu yako anajifeel yupo na yeye kumbe ni wewe. Usife moyo yote ni kupenda.
 
Naona nazidi kukatishwa tamaa..Sijakataa,Rihanna mkali kweli kweli..
Subiri nimsikie huyu Masa atasema nini..ha ha, yote ni wivu wa utani mkuu !Naamini unanisoma....
 
Kikuchekeshacho? share the laughter please!!!!!
shem wangu unamuonea...hivi vitoto bara barani vinazidi kuwa vikali na vinatega sana....unaangalia mara ya kwanza ya pili unapewa number ya simu.....sijilaumu goal kusogea
 
Naona nazidi kukatishwa tamaa..Sijakataa,Rihanna mkali kweli kweli..
Subiri nimsikie huyu Masa atasema nini..ha ha, yote ni wivu wa utani mkuu !Naamini unanisoma....

Ndo maana mi nakwambia usife moyo haya mambo yapo sijui Rihanna akitokea anga za Masa sijui atamwacha apite hivihivi? Nakusoma
 
Picha nyingine tuwe makini nazo ni za kutengeneza jamani. Hata madada zetu, marafiki na ndugu wanaopelekwa kule ze uchungu nyingi ni za kutengeneza. Nakumbuka kuna jamaa alimpost huko Jokate wa kutengeneza kumbe akasasau kuweka ile alama ya Jokate karibu na pua!!!! Hata ile ya Mkuu wa Kaya walisahamu kusawazisha vizuri ile shingo waliounga kiwiliwili. Msije mkavunja mahusiano kwa mapicha ya Internet/Photoshop ni lazima kabla ya kufikia uamuzi huo uwe umefanya utafiti au proof ya kutosha kujiridhisha kuwa picha ni halisi!!!!!
 
shem wangu unamuonea...hivi vitoto bara barani vinazidi kuwa vikali na vinatega sana....unaangalia mara ya kwanza ya pili unapewa number ya simu.....sijilaumu goal kusogea

Yo Yo, utasogeza goal mpaka lini??!! Maana kama watoto bomba kila siku wapo na wanazidi kuja, ifike mahali angalau uridhike na utakayempata hata kama hafanani na Rihanna,Beyonce nk.
Halafu ubaki ukithaminisha TU uumbaji.. na huyo shem wako,nakubali anaona wengi na mie naona wengi ila hapa amefika siyo kipapai wala juju ni natural attack ya kiufundi..ha ha
 
Ndo maana mi nakwambia usife moyo haya mambo yapo sijui Rihanna akitokea anga za Masa sijui atamwacha apite hivihivi? Nakusoma

Masa atamwangalia na kumtamani ila atamuachia apite tu maana mwenyewe niko hapo!..Labda imkute akiwa alone sijui baada ya kutamani atachukua hatua gani nyingine,huh!..

Kumbe hao kuvaa kote nusu uchi lakini wakitokea watupu kwenye vyomba vya habari ni ishu??!! Masikini Rihanna heshima yake itapungua,sijui atajiteteaje!
 
Please, usinipandishe presha asubuhi hii maana nitashindwa kuconcentrate na kazi hapa..Think of something to make me smile na mimi niamini umependa kwa kuangalia TU..

My Bellies sweet Cherries!

Huyo Rihanna is a mere ass hole, wewe ni kila kitu hakukaribii hata kidogo, kwanza tiGo yako imetulia zaidi loohh (Yo Yo ushindwe na ulegee ukitamani..) Bellinda siunajua the times we spend together are like precious gems that money cannot buy. Usiwe na pressure hapo ni macho tu wakla sijawazia cha zaidi...si unajua mapigo yako ni ya century hajawahi pata mwanaume mwingine ka mimi teh teh teh

Bellies and Masa for life....
 
Picha nyingine tuwe makini nazo ni za kutengeneza jamani. Hata madada zetu, marafiki na ndugu wanaopelekwa kule ze uchungu nyingi ni za kutengeneza. Nakumbuka kuna jamaa alimpost huko Jokate wa kutengeneza kumbe akasasau kuweka ile alama ya Jokate karibu na pua!!!! Hata ile ya Mkuu wa Kaya walisahamu kusawazisha vizuri ile shingo waliounga kiwiliwili. Msije mkavunja mahusiano kwa mapicha ya Internet/Photoshop ni lazima kabla ya kufikia uamuzi huo uwe umefanya utafiti au proof ya kutosha kujiridhisha kuwa picha ni halisi!!!!!
kwa hiyo na hizi zimetengenezwa?....mkuu uko nyuma sana au ulitaka mpaka IPP waandike?
 
Back
Top Bottom