Ridhwani Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete v/s Saif Al Islam Muammar Gaddafi

lengo hapa ni kujua nani kipanga, nani kilaza.

na wewe unaonekana kilaza vile vile kwa mawazo yako ya kulialia kama pinda

Nadhani wewe ndiye kilaza. Kumbe hujui hata elimu zao na unaingia hapa ili tukusaidie kukueleza nani ana elimu gani! Sasa kama ulikuwa na mashaka na elimu ya mtoto wa JK, basi kwa taarifa yako ana LLM tena aliyoichukulia Uingereza. Sasa ni vizuri ukauliza lingine na kama ulidhani kuwa umepata weak point basi umekosea. Halafu wewe unapimaje ukilaza wa mtu wakati hawa ni watu walio katika mazingira tofauti. Au unadhani kuonekana kwenye TV akijaribu kuokoa utawala wa kiimla wa baba yake ndiyo ukipanga? Kweli umethibitisha kauli ya kwamba bora uwe fukara lakini upate akili! Wewe umekosa vyote!
 
Heshima kwako mkuu! Dogo ni mwadilifu lakini wanaompaka matope ni wale wale wezi wetu wa rasilimali za nchi hii lakini baadhi yetu tunatumika kupaza sauti bila kujijua. Huyo mtoto wa Gaddafi alitakiwa afananishwe na huyo anayeutaka urais na ambaye tunaambiwa turnover ya biashara zao haramu na zisizojulikana ni shilingi milioni mia nane kwa wiki. Watu wako busy kutumika kubeba ajenda za watu ambao wamegundua kwamba namna nzuri ya kufika hapo na kuwazuga watanzania ni kusingizia watu maneno ili kuleta mkanganyiko. Hii haitakubalika

taarabu ndani ya JF.

sijaelewa kitu. post imejaa mafumbo kama kaposti Mzaramo
 
Kama anatumia hela za baba yake kwa ujiko; then nahisi hela si attribute ya Ridhwan au?

Heshima kwako mkuu! Dogo ni mwadilifu lakini wanaompaka matope ni wale wale wezi wetu wa rasilimali za nchi hii lakini baadhi yetu tunatumika kupaza sauti bila kujijua. Huyo mtoto wa Gaddafi alitakiwa afananishwe na huyo anayeutaka urais na ambaye tunaambiwa turnover ya biashara zao haramu na zisizojulikana ni shilingi milioni mia nane kwa wiki. Watu wako busy kutumika kubeba ajenda za watu ambao wamegundua kwamba namna nzuri ya kufika hapo na kuwazuga watanzania ni kusingizia watu maneno ili kuleta mkanganyiko. Hii haitakubalika
 
Nadhani wewe ndiye kilaza. Kumbe hujui hata elimu zao na unaingia hapa ili tukusaidie kukueleza nani ana elimu gani! Sasa kama ulikuwa na mashaka na elimu ya mtoto wa JK, basi kwa taarifa yako ana LLM tena aliyoichukulia Uingereza. Sasa ni vizuri ukauliza lingine na kama ulidhani kuwa umepata weak point basi umekosea. Halafu wewe unapimaje ukilaza wa mtu wakati hawa ni watu walio katika mazingira tofauti. Au unadhani kuonekana kwenye TV akijaribu kuokoa utawala wa kiimla wa baba yake ndiyo ukipanga? Kweli umethibitisha kauli ya kwamba bora uwe fukara lakini upate akili! Wewe umekosa vyote!

wewe ni mwehu.

kwani kuwa kilaza maana yake ni kukosa elimu tu?

ulisoma shule za kutwa nini?
 
Tayari kwa majibu yako wenye akili zao wameshajua nani kati yetu ni kilaza. Unahemuka nini bro? Kwani shule za kata siyo shule? Kwa taarifa yako shule walizosoma great thinkers zilikuwa duni kuliko hata hizo za kata na bado wali-excel! Hoja hujibiwa kwa hoja bro!
 
umesoma kwa papara. nimesema shule za kutwa.

baadhi yenu mliosoma shule hizo ni wabishi sana. sijui kwa nini?

ungesoma shule za kata ungekuwa huna hata ubavu wa kutumia internet
 
Hayo ni matusi kwa sisi wa shule za kutwa. Tena wenzio tumefaidika kwa kupata malezi ya wazazi kwa muda wote wewe ulipokuwa unakula makande boarding.
 
Haya ndo yale mambo tuliyoyakataa huko nyumba. This is a silly question na kulinganisha visivyolinganishika kama vile kuuliza farasi na panya nani ana mbio zaidi. Wewe (uliyeanzisha thread hii) kama umekosa la kuandika siyo lazima uingie humu JF. Hivi hamuwezi kuwa na kitu chochote constructive ili watu wachangie kwa haki? Hivi mnadhani huyo Dr. Slaa hana au hatakuwa na watoto. Kama watu mna tatizo na utawala huu ni vizuri mkaweka mipaka na kuacha kuiingilia first family pasipo na sababu.

Hakuna chochote ambacho JK amekifanya kwa mwanae ambacho kinakiuka dhamana yake au maslahi ya umma. Sasa kwa nini tusiipe amani familia yake badala ya kumwaga matusi kila wakati tena pasipo na sababu? Mimi nafikiri wenye sababu za kuukosoa uongozi na hata rais wafanye hivyo kama watu wenye akili timamu na siyo kuleta uendawazimu wa kuanza kuleta mashindano ya nani zaidi na kupambanisha mchana na usiku! Hivi hii JF mbona imeingiliwa hivi?
Mbopo,
I think it is legitimate to question how these fellows got their wealth. I know from experience that one cannot be filthy rich by working for the government. Mkapa made his money in Ikulu and it was debated in the newspapers and the blogs. It should be the same for Kikwete and all our leaders. And the interesting fact is that the country is becoming correspondingly poor as its leaders become wealthy.
 
Hayo ni matusi kwa sisi wa shule za kutwa. Tena wenzio tumefaidika kwa kupata malezi ya wazazi kwa muda wote wewe ulipokuwa unakula makande boarding.

nashukuru sana umekiri.

na mimi nasitisha rasmi kujibizana na wewe.
 
Gaddafi katawala miaka 42, na JK miaka ya 5, wapi na wapi? Huu ndiyo ujinga wa kufikiri (Critical Thinking). Watoto wa Nyerere wapo karibu zaidi na hao Watoto Gaddafi kuliko watoto wa JK.

acha kubwata banaaa!! we toa majibu ya kama kuna ufanano ama lah!! hizi blah blah zako hapa hazitusaidii
kwa kweli maana umekuja kwa jazba zaidi ama ndiyo kuitetea ajira yako kwa hiyo family?
 
Nadhani wewe ndiye kilaza. Kumbe hujui hata elimu zao na unaingia hapa ili tukusaidie kukueleza nani ana elimu gani! Sasa kama ulikuwa na mashaka na elimu ya mtoto wa JK, basi kwa taarifa yako ana LLM tena aliyoichukulia Uingereza. Sasa ni vizuri ukauliza lingine na kama ulidhani kuwa umepata weak point basi umekosea. Halafu wewe unapimaje ukilaza wa mtu wakati hawa ni watu walio katika mazingira tofauti. Au unadhani kuonekana kwenye TV akijaribu kuokoa utawala wa kiimla wa baba yake ndiyo ukipanga? Kweli umethibitisha kauli ya kwamba bora uwe fukara lakini upate akili! Wewe umekosa vyote!
hapo kwenye red hivi alitimiza na kufika hatima, nahisi kama alikula nduki huyu bila kutimiza haki yote ama?
 
Mbopo,
I think it is legitimate to question how these fellows got their wealth. I know from experience that one cannot be filthy rich by working for the government. Mkapa made his money in Ikulu and it was debated in the newspapers and the blogs. It should be the same for Kikwete and all our leaders. And the interesting fact is that the country is becoming correspondingly poor as its leaders become wealthy.

Legitimacy yes, but the right to discuss should be derived from facts that one may be having in relation to the issue under discussion. In the absence of any evidence supporting the allegation that one has fleeced and stashed some funds somewhere, the rest becomes a gossip that should not be entertained here or else where. We discussed Mkapa because a tangible evidence was unveiled for every one to see. We may not like the president or his style of leadership but it is sinful to impute that he has amassed wealth while we know nothing about this! He should be presumed innocent until and unless proven otherwise. We should stop this mob justice!
 
Any similarities? Any Differences?

Hao wawili wanahulka zinazofanana na wapenda makuuu, utajiri wa haraka haraka na kupenda kuridhi vyeo walivyopewa wazazi wao na wananchi. ila Islam Gaddafi ana phd wakati Riziwani ana shahada moja tu
 
Legitimacy yes, but the right to discuss should be derived from facts that one may be having in relation to the issue under discussion. In the absence of any evidence supporting the allegation that one has fleeced and stashed some funds somewhere, the rest becomes a gossip that should not be entertained here or else where. We discussed Mkapa because a tangible evidence was unveiled for every one to see. We may not like the president or his style of leadership but it is sinful to impute that he has amassed wealth while we know nothing about this! He should be presumed innocent until and unless proven otherwise. We should stop this mob justice!
Mbopo.
Don't go there. How do you know there is no evidence to support these allegations? Even Mkapa was deemed clean until Mengi's papers started pouring out infos that we heretofore did not have. I do not have evidence that Lowassa is corrupt. But it is not a well kept secret that Lowassa is filthy rich. My brother, you cannot be rich in today's Tanzania without anyone knowing how you amassed that wealth. That applies also to our esteemed President
 
Communist thinker
 
Back
Top Bottom